hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali inekana inautamani sana ugaidi maana sio kwa kesi hizi wanazo tupiwa hawa watu wawatu ambao hawajui hata majina ya bunduki.

    Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
  2. JamiiForums Tanzania Boniphace Mwabukusi ni kibaraka na pandikizi la CCM. Hafai kuaminika hata kidogo

    Ukisikiliza mpaka mwisho utakubaliana na mimi Idugunde 👇
  3. JamiiForums Tanzania Hata kama atalipa ukishamkopea pesa ukwisha

    Ukishamkopea mtu pesa na akachelewesha kulipa , hiyo tayari inatoka kwenye malengo yako na unaona kama umeokota pesa. Nilimkopea mtu mil 2 , leo kalipa baada ya miezi sita ya kumsumbua sana , sasa nimeona kama nimeokota pesa na nipo bar mda huu nazilamba bia kwa furaha , huku nikipotezea...
  4. JamiiForums Tanzania Hata huyu yumo kwenye orodha ya chadema ya waliotekwa na serikali?

    Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi...
  5. JamiiForums Tanzania GSM akichekewa atakuja kumsajili hata Mo dewj

    Wananchi wameamka asubuhi, Kisha wamechagua ukatili. Matumizi makubwa sana ya nguvu kumuua mbu, aliye juu ya nyeti za aliyetahiriwa bila ganzi. Pesa zipo bank? GSM zipo mfuko wa shati. Watu wa motoni hao. Sele Gomez ni Mwananchi, Kuna sajili zina maanisha "Mimi ni Giant kwenye hii nchi" Yanga...
  6. JamiiForums Tanzania CCM , Nionyesheni Picha hata ya Mwandamanaji mwenye Bunduki, aliyeua Watanzania Oktoba 29?

    Kila siku CCM wapuuzi walia liaa, ohooo Kuna watu walilipwa, ohoooo kimeenda kimerudi. Upande wa pili, Watanzania Wana picha mbalimbali za Genge la Mauaji Sasa na nyie CCM, tuonyésheni picha hata Moja tu ya Mwandamanaji akipiga Risasi watu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Madeleka: Nashangaa mpaka leo Polisi wameshindwa kukamata mtu hata 1 wa mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Peter Madeleka:"Sasa kwa nini kwenye tukio hili kubwa, tena ambalo linahusisha mauaji ya watu zaidi ya mia tano, Polisi hawafanyi kazi yao, TISS pia inafanya kazi gani? Eh? Kwa hiyo kwenda kujificha kwenye kivuli kwamba kuna Tume yenye sura ya kimataifa, kuna majaji kutoka Uganda, na wengine...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa kijaluo ni wazito wa kurudi vijijini ilipo asili yao na hata kama wakirudi wanaenda kwa kujificha jificha?

    Inasemekana kuwa maeneo deep ya ujaluoni kuna uchawi ulio kithiri sana. Inasemekana hata maendeleo yamedumaa maana anaeunuka anadondoshwa in no time. Je hii ndio inaweza kuwa sababu kuu ya vijana hawa kutorudi vijijini?
  10. JamiiForums Tanzania Hata kama Tanzania ikijitoa kwenye Mahakama ya ICC leo, Mahakama hiyo ina mamlaka ya kuchunguza makosa yaliyofanywa wakati nchi ikiwa mwanachama

    Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya hivyo, gazeti la Le Monde liliripoti Jumanne. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ukanda pwani kuoa na kuacha ni kama kumsukuma mlevi. Yaani mwanamke anaachika nakuolewa hata mara tano, kwao kawaida sana

    Wadau myimwike, Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo. Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana mambo mengi. Hao masingo maza wanaolewa kila siku na wanaachika Kila siku. Kumkuta mwanamke...
  12. JamiiForums Tanzania Siku 100 zimepita, Meli ya Uvuvi aliyoizindua Samia, Imeshindwa kuvua samaki hata mmoja

    Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini? Leo ni siku 106 tangu izinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja...
  13. JamiiForums Tanzania Kukwepa kwao hata kutaja neno ‘mauaji’ ni jibu tosha kabisa

    Leo imezinduliwa tume nyingine kuhusu kilichotokea Oktoba 29! Sijui hizo tume zinazohusu Oktoba 29 zimefika ngapi na sijui ngapi zitaendelea kuundwa. Hii ya leo inaitwa “Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria” katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi...
  14. JamiiForums Tanzania Samia/CCM hata mkimtoa Nchimbi aminini ya kwamba kuna mwingine mnaemuamini ni mwenzenu ataibuka

    Ujue haya mambo inatakiwa kukaa kwa makini na kuyataftia ufumbuzi wa kina. Alianza Ndugai akaona Mwanga kama Sauli akawa Paulo...mkamshinikiza na kina Msukuma wakiwa mstari wa mbele.. Mzee wa watu mkapita nae..ikaenda mkahisi mmetibu tatizo..na wakat huo polepole hakuonekana kama threat ila...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaweza Kuongoza Taifa Kwa Mafanikio Makubwa Hata Bila Katiba

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile . Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanahalisi: Nchimbi agoma kujiuzulu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi. Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Sio mzuri, Hana shepu nzuri bado hata mapenzi kitandani hajui, huyu unafanyaje?

    Mchagua Jembe sio Mkulima na wahenga wakaongeza kuwa penye Miti mingi hapana wajenzi. Wanaume halisi huwa hatuchagui wanawake kutokana na Genes zetu purely ni za Kiume hivyo basi kila kiumbe kinachoitwa Mwanamke ni halali yetu. Ni ktk mtindo huo tunawapa heshima na thamani wanawake wote, Sisi...
  18. JamiiForums Tanzania Ardhi yako ni yako hata bila Hati? Rasimu hii inasema ndiyo, na inaweka Ukuta dhidi ya Unyang'anyi

    Kila mkoa nchini Tanzania una hadithi yake ya ardhi. Kijiji kinachoambiwa kihame kwa ajili ya uwekezaji. Familia inayonyang'anywa ardhi ya mababu kwa sababu haina hati. Mwekezaji wa kigeni anayepewa maeneo makubwa huku wenyeji wakisukumwa pembeni. Swali linalorudia kila mara ni hili: je ardhi ni...
  19. JamiiForums Tanzania Hata kama uko nje ya nchi usiamini sana watu wa karibu ndo wauza Taarifa na kukamatishana

    Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si rahis, labda iwe kesi ya Jinai Mataifa hayo hayana mambo ya Uhuru wa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: Hata Mkininyima Kura Malaika Wataniongezea, lazima nitashinda Urais

    Harafu unakutana wale wapumbavu huko mtaani wanajazwa upepo na Wapinzani Hadi wanapoteza maisha,wanakuwa vilema nk kisa vurugu za kuwapigania Wanasiasa Kwa ahadi kwamba Katiba Mpya itawapa maisha. Haya kiko wapi? Kinachoitwa Katiba Mpya ni scam ya kuwa fool wajinga na wapumbavu Kwa maslahi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…