hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Mchina aingilia Miundombinu ya TCRA na kusababisha hasara Tsh. Milioni 221

    Raia wa China Li Naiyong amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita likiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh221 milioni. Naiyong amesomewa mashtaka yake leo, Februari 15, 2023 na...
  2. Leo kutawaka moto...

    Namtizama nasema hiiiiiiiih. Hatari sana. Lazima game ipigwe hata kama uwanja utakuwa umejaa maji. Lazima. Nasubiria tu aseme ameshafika nikampokee. Maandalizi yake ni bab kubwa.
  3. Nimeisababishia hasara kampuni milioni 500 kwa kuziiba nasubiri kikao cha bodi ya kampuni

    Yaani sio poa kabisa ndugu zangu nimefanikiwa kuziiba pesa taslimu milioni 500 za kampuni x na kuisababishia hasara kampuni ya hiyo pesa na sasa niko njia panda either nikimbie nchi au nitulie tu nikisubiria hatima yangu ya kesi ila najua hii kesi mimi siwezi kuchomoka hapa ni kufungwa kifungo...
  4. Nini faida au hasara za kuiba, katika harakati za kutoka kimaisha

    Msaada jamani 🙏🙏
  5. Ripoti ya bunge la Marekani kuhusu "return" za kodi za TRUMP zinaonyesha biashara zake zinatengeneza hasara

    Wakati anatangaza nia na hatimaye kuteuliwa na kushida kuwa rais wa Marekani Trump alijipambanua kuwa ni mfanya bishara makini aliyekuwa anatengeneza faida kubwa kutoka kwenye biashara zake. Ili kulinda taarifa hizo alihakikisha taarifa zake za kodi kupita 'RETURN ZA KODI" haziweki wazi. Jambo...
  6. J

    Mifugo yavamia shamba la utafiti la Tari Ilonga na kusababisha uharibifu na hasara ya millioni 600

    ..Tari ni taasisi ya utafiti mbegu hapa Tanzania. ..shamba lao wanalofanyia utafiti wa mbegu limevamiwa na mifugo na kuharibiwa. ..watumishi wa Tari walipojaribu kuwadhibiti wafugaji na mifugo yao, waliishia kushambuliwa, na wafugaji wakatoroka na baadhi ya mifugo hiyo. ..serikali ni kama...
  7. Kununua bando kwa sasa ni hasara iliyowazi

    Kila siku data zinazidi kupunguzwa huku gharama ikibaki kuwa ile wananchi wengi kwa sasa wamepunguza matumizi ya intanet ikiwa pamoja na mimi nanunua bando la elfu moja mara moja kwa wiki tofauti na miaka ya nyuma nilikuwa natumia elfu 5000 kwa wiki Swali la kujiuliza mitandao ya simu kuongeza...
  8. Kaniingiza hasara kubwa sana, leo ndiyo nimegundua nimeumia sana

    Huyu binti ni miezi kama miwili naomba nipate naye japo nafasi ndogo. Nikamshawishi Jumamosi tukaenda Bagamoyo. Aliniambia kabisa tunaenda ili niondoe wazo la kumla. Alinipa angalizo hilo nisahau. Jumamosi tukalala kawaida nikiteseka sana. Jumapili pia, jana jioni homa ilinizidia nikaanza...
  9. Facebook yafukuza wafanyakazi 11,000 baada ya hasara ya Tsh. Tilioni 13

    Kampuni mama ya Facebook imetangaza uamuzi huo leo kwa maelezo kuwa inalazimika kuondoa 13% ya wafanyakazi wake ili kubana matumizi. Mkurugenzi Mtendaji Mark Zuckerberg amesema katika robo ya 3 ya mwaka mapato yameshuka kwa 46% sawa na Tsh. Trilioni 13. Wafanyakazi walioathiriwa watalipwa...
  10. W

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa, yadondosha makontena baharini

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa * Yadondosha makontena matatu baharini * Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha...
  11. Rais Samia, mbolea ya ruzuku ikichelewa wakulima wa kutotegemea mvua tutapata hasara kubwa

    Ombi kwa mheshimiwa Raisi Mama Samia. Mpango wa mbolea ya ruzuku ni mzuri sana na wenye tija kama utatekelezwa kwa wakati. Serikali yako imesikiliza kilio cha wakulima cha muda mrefu. Hongera sana. Pongezi pia ziwafikie washauri wako na wazira ya kilimo kwa ujumla. Mpango huu umeanza kuwa...
  12. Zipi faida na hasara za pikipiki za umeme za kuchaji?

    Nimeona wengi waliozinunua wanaziuza tena... Nikapata maswali kidogo. Shida ni nini tena? Faida ipo kuwa sasa badala ya kununua Petrol utakuwa una charge. Nyingi kwa maelezo ni kuwa una charge masaa 5 unatembea kms 60. Lakini nikajiuliza inatumia Units ngapi kuicharge hayo masaa matano? Maana...
  13. Gwajima: Taifa tumekosa maono, inakuwaje kujenga reli kabla ya kuchimba chuma? Waziri Mwigulu ampinga

    Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika. Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
  14. Ukraine walipua ngome tano za Urusi na kusababisha hasara kubwa

    Wazalendo wa Ukraine waendelea na mashambulizi makali, wamelipua ngome ya Urusi iliyokua na ghala kadhaa za silaha, na wanajeshi na ndege na zana zingine nyingi, Warusi walikua wamejichimbia kwamba hapo ndio mwisho wa Ukraine, ila kilichowakuta ni balaa.... The General Staff of the Armed...
  15. Kenya: Wafanyabiashara wa Pombe waomba Poh, watangaza kupata hasara ya Tsh. Bilioni 309.5

    Wafanyabiashara wanaojihusisha na uuzaji wa vileo wameitaka Mamlaka ya Kodi (KRA) kusitisha marekebisho ya kodi yaliyopangwa kwaajili ya bidhaa ili kupisha mfumuko wa bei. Wafanyabiashara hao, ambao ni pamoja na Chama cha Vinywaji vya Pombe nchini (ABAK) na Baa, Burudani na Migahawa ya Kenya...
  16. N

    Miradi ya majengo iliyotelekezwa na mashirika kama NHC ni hasara ya nani?

    Juzi kati nilipita maeneo ya kawe nikashuhudia majengo ya maghorofa yakiwa magofu yakionyesha hali ya kutelekezwa, kuulizia nikaambiwa ni majengo ya NHC. Hivi ni kwa nini pesa za umma zitumike kuanzisha miradi ambayo haifiki mwisho ili kuleta tija na wala hakuna mtu yoyote anayewajibika kwa...
  17. Dah! Urusi wameachia hiki kifaa kikachukuliwa kizembe sana, hii hasara sasa

    Wanajeshi wa Urusi sasa hivi hawajali, wanatoroka na kuacha vitu vya gharama sana almradi wanusuru maisha yao, nafikiri mpaka hapo, mataifa yote duniani yana cha kujifunza.... Hiki kifaa hatari cha kukanganya au kuzuia miale au signal jamming kimeachwa Ukraine wajichukulie tu.. Ukrainian...
  18. Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija. Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama...
  19. Tozo zaisababishia Vodacom hasara ya Tsh. Bilioni 103.8

    Kampuni hiyo ya Mawasiliano ilipanga kukusanya Tsh. Trilioni 1.06 katika mwaka ulioisha March 2022 lakini kutokana na athari za Tozo imepoteza 9.8% ya mapato na kukusanya Tsh. Bilioni 956 ambayo ni pungufu ya matarajio. Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Jaji Mstaafu Thomas Mihayo amesema tozo hizo...
  20. N

    Nigeria wazuia tozo za simu, Vodacom Tanzania wapata hasara ya bilioni 103 sababu ya tozo, bado mabenki kilio chao very soon

    Naam waziri wa mawasiliano na uchumi wa kidigital Isa pantami ilibidi aunde kamati ku review proposal ya kuongeza asilimia 5 ya Tozo hiyo ni mbali na VAT 7.5 wanayopigwa makampuni hayo ya simu ikaonekana ni OVER over taxation, waziri kaamua kuachana nayo. Hapo ni baada ya kuona kilio kikubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…