Kupitia Instagram ya Harmonize, Harmonize ameanza mwaka mpya kupitia kuandika ujumbe wake mrefu aliomuandikia Diamond kutoa appreciation yake kwa alichomfanyia mpaka kufika hapo alipo.
NB: Kiukweli jamaa kafanya Jambo zuri kama alichokiandika kinatoka moyoni maana watu wa Mtwara hawaaminiki...