harmonize

  1. Bawabu wa pili

    Harmonize jana arudi kupiga show za club na sio kuandaa matamasha tena

    Wakuu jana usiku wa kuamkio leo Kondeboy ameonekana visiwa vya Zanzibar akipiga show kwenye club moja ambapo watu walikuwa akisherehekea Christmas. Limekuwa jambo la tofauti sana kutoka Harmonize yule wa kuandaa concert kubwa leo hii karejea mitaani tena. Naona kuvunga wameshindwa na kumbe sisi...
  2. mcTobby

    Kwahiyo Harmorapa anatembelea nyota ya Harmonize?

    Hebu shuhudieni hiki kituko
  3. Fbn

    Harmonize inakuwaje kusema wasanii tumewakosea wakati una album ya mtu aliyetukosea kabisa

    Huyu dogo umaskini ulikuwa haki yake na haki yake kabisa. Kukaa kimya watu wakufikirie bado unajikosha mbele ya maumivu ya watu walionyanyasika kwa kila aina ya maumivu. Kwa sasa dunia nzima ishawakataa mkaona kenya ni karibu,kumbe ghana nayo,ikaja naijeria na nchi nyengine. We si ndo ulikuwa...
  4. Mafyangula

    PostGE2025 Harmonize: Mimi siwalaumu mashabiki wanakataa kushiriki kwenye show, watu wanamaumivu na kilichotokea

    Kheri Konde ameelewa kwa namna yake kwamba muda huu si wakulaumiana tena, yote haya yanatokea ni kwasababu watanzania wanamaumivu yalitokea Oktoba 29. ================== Harmonize ameongea na wanasema hawaendi kwenye show Zake tuache kuwaombea msamaha kwani kabla ya kuimba yeye alikuwa mcheza mpira
  5. Waufukweni

    PostGE2025 Majizzo: Ni kweli tunataka kumpoteza Diamond, mtu muhimu; aliyewainua Harmonize na Rayvanny?

    Msamaha ninaoomba ni kwa sababu nafahamu kuna mahali wadogo zangu hawa walipitiliza na sio kwa sababu walifanya kampeni (ile ni haki yao na uamuzi wao). Najua kuna maneno yalikukera, sio katika level ya siasa, bali katika level ya utu. NAOMBA MSAMAHA. Soma: Diamond Platnumz: Fanyeni kazi...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    Nguvu ya Umma: Harmonize ashusha video yake huko Youtube baada ya raia kususia kuitazama na kuambulia viewers wachache

    Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana. Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa, Wananchi wameamua kuwapuuza the so called...
  7. Mafyangula

    Harmonize: Nampongeza Davido kwa kitendo cha kusimamisha show yake na kuiombea Tanzania

    Harmonize moja ya msanii ambaye anaungwana kwa raia mbali na kuwa upande wa CCM, ila anaheshimu sana watanzania wezanke tofauti na yule wa Tandale. Ndio maana hata maandamano ya Oktoba hakuna watu waliotaka kumuumiza konde, na kwahilo alilolifanya si mbaya! =========== Staa wa Muziki #Harmonize...
  8. McLaren

    Watanzania mmepeleka moto mpaka Harmonize kaahirisha show yake ya Dodoma. Naona ujumbe umefika

    Wakuu, Naona Watanzania mmepelekea moto wasanii mpaka sasa imefikia hatua wanaahirisha show zao Tuko kwenye first stage ya Cancel Culture. Tukiendelea hivi tunaenda kutengeneza wasanii ambao watakuwa wanaguswa na kuwapazia wananchi sauti pale wanapokuwa na matatizo Kama huyu Harmonize hata...
  9. Auto-Marvelt

    Wamataizy: Nimeumia sana kumuona kwenye interview ya Mwijaku

    Nyota ya mtu inaweza kufifia lakini bado kuna watu wataendelea kuithamini na kuiona ni nyota bora kuliko zote. Amonaizy Wamataizy ni jina maarufu sana mkoa wa Kigoma hususani wilaya ya Kasulu. Binafsi nimemfahamu 2009 kipindi nafanya kazi kambi ya shirika la GTZ, ngoma yake ya kwanza inaitwa Ua...
  10. Scared

    Harmonize kadanganya mashabiki wake kuhusu album?

    Huyu mmakonde alisema tarehe 8 mwezi huu anaachia album kama kawaida yake huwa anaachia usiku wa kuamkia ijumaa Sasa mpaka Sasa hivi yupo kimya hata majina ya nyimbo hajapost je amewafanya mashabiki wake ni wajinga?
  11. Heparin

    GE2025 Harmonize: Nimeghairi kugombea Ubunge, nitashindwa kutamka 'Bomboclaaaaty'

    Nimepitia Sheria za kamati ya Maadili ya Chama & Bunge Simuoni KONDEBOY kwa ninavyoona hata kusema BOMBOCLAAAATY sitoruhusiwa. Niwapongeze wana CCM mliojitoa Kutangaza Nia za Kugombea Nafasi Tofauti Tofauti Especially Vijanaa. DINI YENYE WAFUASI WENGI UJUE INAKUBALIKA. Tandahimba Chagua...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la Tandahimba 2025

    Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa. Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia agawa Bahasha za Maokoto kwa wasanii Rayvanny, Saida Karoli, Harmonize uzinduzi wa daraja la Magufuli jijini Mwanza

    Rais Samia amegawa bahasa za fedha kwa wasanii mbalimbali wa muziki nchini, akiwemo Rayvanny, Harmonize na Saida Karoli, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo–Busisi) lililofanyika leo Juni 19, 2025 mkoani Mwanza. Wasanii hao walipewa bahasha za fedha baada ya kumaliza...
  14. Mhafidhina07

    Harmonize aliishia wapi ile project ya kutoa chakula??

    Naona Jaden Smith Kapita nayo huko,je harmo amefeli wapi.
  15. H

    IBRA: harmonize amewekeza mil 6 pekee tu kwangu

    Msanii wa kondegang anaejulikana kwa jina la IBRA ambaye yupo chini ya msanii harmonize amefunguka kuwa mpaka kufika hapa boss wake amewekeza mil 6 tu na huwa anapatapa show nyingi za Dola 3000 anazikataa anasema sio zinazoendana na thamani yangu na label kiujumla wakati uwekezaji wake ni mdogo...
  16. Waufukweni

    Harmonize, Ibraah waitwa BASATA. Watakiwa kufika ofisini Jumatatu

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limechukua hatua ya kuingilia mvutano unaoendelea kati ya msanii Ibraah na bosi wake, Harmonize, kwa kuitaka pande zote mbili kufika ofisini kwao Jumatatu Mei 12, 2025 kwa lengo la kutafuta suluhu ya mgogoro huo. Taarifa hiyo ya BASATA inakuja kufuatia mvutano...
  17. Mr Why

    Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mwakani

    Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mpaka mwakani Ebana Ibraah anadai kidogo Harmonize ambutue na mkonge wake alipomuita Chumbani
  18. Mr Why

    Mr Pimbi ameeleza umma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni Sabini ili warudiane

    Mr Pimbi ameeleza uma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni sabini ili warudiane Ameenda mbali na kusema kuwa Kajala alitaka kulipwa milioni mia moja lakini baada ya negotiation dau la Harmonize likaishia milioni sabini, hii ni dhahiri kuwa Harmonize anaendekeza sana chini bila kufahamu kuwa...
  19. mdukuzi

    Pamoja na pesa na umaarufu,sura ya Harmonize imegoma kukaa kisupastaa

    Nina rafiki zangu identical twins,walizaliwa wanafanana kila kitu, Ilikuwa ngumu kuwatofautisha Kupanga ni kuchagua,Kurwa aliamua kusoma sasa yupo TRA Doto ni dalali tu mtaani Sasa tofauti yao iko bayana Kurwa anangara maana hapigwi jua maisha yake ni full kiyoyozi Doto kapauka Hawafanani...
Back
Top Bottom