haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Habarini wapenzi. Naombeni msaada wa Mwanasheria wa Moshi mjini. Ni dharura sana naombeni msaada wa haraka.

    Natanguliza shukrani🙏🙏
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio mishe nyeusi (black money) unazoweza kupata kibunda cha fasta ila unaweza kupotea haraka

    Kwenda kununua madini Congo - Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi, watu wengi maeneo hayo ni masikini kwa sababu hawana njia bora za kuuza au kusindika madini hayo. Mara nyingi huuza kwa bei ya chini sana kwasababu ya ukosefu wa miundombinu, soko na amani. kwenda utaenda vizuri tu lakini kutoka ni...
  3. JamiiForums Tanzania Polepole asiendelee kupuuzwa na CCM, nati kichwani mwake zilishafyatuka, atimuliwa kwenye chama haraka

    Huyu Humphrey Polepole ambaye sasa ni mzee wa miaka 55 kuna kitu kwenye akili yake kichwani hakiko sawa. Hata mwonekano wako wa usoni (facial appearance) na mood yake ikilinganishwa na thinking logic capacity ya anayoyaongelea mtu yeyote mwenye werevu wa psychology, psychology and psychiatry...
  4. JamiiForums Tanzania Fanya zoezi hili kama unajihisi una tatizo la kumwaga haraka wakati wa tendo

    Hili ni moja ya zoezi dogo sana lakini ukilifanya mara kwa mara na ikawa mazoea huleta matokeo chanya, zoezi lenyewe:- Ukitaka kwenda haja ndogo yaani kukojoa kwanza usikojoe kwa kusimama fanya kuchuchumaa kisha wakati wa kumwaga mkojo usiutoe moja kwa moja hata kama umekubana kiasi gani fanya...
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri WA haraka

    B
  6. JamiiForums Tanzania Mbinguni hakuna kuoa – kama hujaoa, oa sasa ufurahie maisha!

    Kama hujaoa kwa kufikiri kwamba ukienda mbinguni ndio utapata mke mrembo, sahau kabisa hilo. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Hayo yamesemwa na Yesu mwenyewe. Kumbuka, Yesu anaheshimiwa sio tu na Wakristo, bali anakubaliwa hata katika maandiko na mitazamo ya dini nyingine duniani. Kwa hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Inakuwaje polisi mseme mabaki yana miaka 11 haraka na kukamata watu wakati picha zinaonesha ni wakati huu

    Kuna mambo nawaza majibu rahisi ambayo polisi uchukulia. Mfano kesi ambazo wanapotea bado zipo kwenye uchunguzi mpaka zikawa giza. Leo hii kama taharuki mshawahi kutoa taarifa kujua miaka 11 ni wapi taatifa iliwekwa miaka 11 iliyopita. Yani mguu bado nyama zipo na bichwa macho yapo na kichwa...
  8. JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  9. JamiiForums Tanzania Ukitoa rangi, ni upi muonekano mzuri wa nyumba kwa nje ambao hautozeeka haraka wala kupitwa na wakati

    Ndugu zangu . Kama kichwa cha habari kinavyosema Ni upi muonekano mzuri wa nyumba kwa nje ukitoa rangi.
  10. JamiiForums Tanzania KWELI? Dunia imeanza kuzunguka haraka zaidi, sekunde moja kufutwa mwaka 2029

    Shalom shalom Wanasayansi wanasema Dunia yetu imeanza kuzunguka kwa kasi zaidi kuliko kawaida. Kwa kawaida, Dunia huchukua sekunde 86,400 kumaliza mzunguko mmoja (siku moja kamili). Lakini hivi sasa, kasi hiyo imeongezeka kidogo sana, kiasi kwamba siku moja inaweza kuwa sekunde chache fupi...
  11. JamiiForums Tanzania TAFITI: Wanaume walio single wanafanikiwa haraka

    Utafiti mpya unaonesha wanaume wengi walio chini ya umri wa miaka 30 ni Hawako kwenye mahusiano ya kimapenz na wengi hawatafuti kabisa,na kwa sasa wanaume wengi wanaishi bila shinikizo la mahusiano wala ndoa sasa kutokana na hilo wanasaikolojia wanasema mwanaume anapokuwa single anapata muda...
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anahitaji msaada wa haraka wa kisaikolojia

    Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti...
  13. JamiiForums Tanzania Ukimuuliza mdada yoyote, hivi ni kiumbe gani haswa una hisi kinadhalalisha wanawake, atajibu haraka "wanaume", ila ukweli halisi wanaujua moyoni mwao.

    Hivi ni kweli kuna kiumbe ambacho kinaongoza kujidhalalisha chenyewe alafu tena kilalamikia matokeo yake🤣
  14. JamiiForums Tanzania Ukisikia haya majina yanatajwa nini hukujia akilini kwa haraka?

    1. Shirima 2. Chacha 3. Mwakipesile 4. Rweyemamu 5. Masanja 6. Mwashambwa
  15. JamiiForums Tanzania Haya fuatilieni haraka tayari Basi la KIDINILO limeshaleta Maafa huko Ubena Zomozi na nasikia kuna Taarifa si nzuri

    Tukisema kutwa hapa kuwa Wakagueni vizuri Madereva kama hawavuti Bangi na Mabasi yao yako Imara hamtuelewi tu.
  16. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu mawasiliano ya Ofisi za Rita Ilemela

    Habari za Leo Wadau, Nina shida na namba za Ofisi ya Rita- Ilemela. Hata nikipata za mtu anayefanya Kazi Halmashauri ya Ilemela it's good for further follow up. Hearing from you guys, it's urgent.
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufanya Wateja Wakuamini na Kununua Haraka

    Wafanyabiashara wengi wanaingia sokoni wakiwa na matumaini makubwa ya kuuza, lakini wanashindwa kuelewa kwamba wateja hawapo tayari kununua kwa sababu tu bidhaa ni nzuri au bei ni rafiki. Ukweli ni kwamba, mteja hanunui tu bidhaa ananunua uaminifu, ananunua uhakika, ananunua hisia ya kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Sawa Haraka pesa hamjui kalaga baho ni nani, mmeshindwa hata kuwauliza jirani zenu Pesa X na bahari cash au popo cash wananijua kivipi?

    Kausha damu Haraka pesa wamejichanganya kunikopesha elfu 40 wakajua kinyonge. Pesa ile nimepita nayo na hapa wanatumia mbinu walitotumia Wenzao waliopita wakashindwa. Ilifika kipindi mpaka mfanyakaz wa boba cash alikuwa analia anaomba nirudishe japo nusu ya pesa yao nyingine wamenisamehe na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wanalalamikia sana muundo wa muungano na kusahau muungano ulifanywa haraka sana bila majadiliano ya kina ili kuwaokoa wasichinjwe

    Ilikuwa hivi, tarehe 12 January, wazalendo wa Zanzibar, karibu wote weusi, walichukua silaha za jadi na kuteka ghala la silaha kisha kfanya mapinduzi kuuondoa utawala wa Kiarabu visiwani. Wakiwa wamejaa shamra shamra za mapinduzi walianza kuwachinja waarabu na kufanya mauaji makubwa mengi yasiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yaamriwa kufanya maamuzi haraka kesi ya Lissu

    Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…