Wafuatao wasalimiwe haraka sana kupitia mali zao

Wafuatao wasalimiwe haraka sana kupitia mali zao

Hisia zako peleka huko kwenu,huyo ni msaliti hapaswi kusamehewa ni lazima iwe fundisho
yaani mlivyo wajinga mnaacha kupambana na mafisadi papa mengi dr slaa polepole kawataja wale wale nyie mnahangaika na milard Ayo wakati hao hawana lolote wanalinda ugali wao tu , wao wamepewa maelekezo kuwa ukipost tunakufungia basi yeye anaacha
 
Wasalimiwe haraka hao bila kumsahau Gerson Msigwa
 
Back
Top Bottom