haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna kitu kinanishangaza. Kwanini watu waliotekwa kisha wakafariki inalazimishwa wazikwe haraka?

    Huu mchezo wa utekaji na kwa mtindo huu unazidi kuwa na nguvu sana. Nilishuudia mkoa X walitekwa watu zaidi ya wanne.Mmoja alipatikana kijiji cha mbele akiwa amefariki ila wanakijiji walipotoa taarifa polisi na polisi ikaamuru kuzikwa haraka bila kuuliza lolote. Ndugu wa marehemu walipojaribu...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utumishi Fire Tragedy: Serikali Yaagiza Ukaguzi wa Haraka wa Shule Zote za Boarding Nchini

    Baada ya moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 katika shule ya Utumishi Girls Academy, serikali imeagiza ukaguzi wa haraka wa shule zote za boarding nchini ili kuhakikisha usalama wa wanafunzi. Basic Education Principal Secretary, Julius Bitok, amesema kuwa shule zote za boarding zitafanyiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ninaunga mkono kutumbuliwa kwa kiongozi mwandamizi tuliyedokezwa na mbunge Sumai

    Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa. Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka nilipe deni au nikanunue kitendea kazi

    Nadaiwa 150 na nilikubaliana na mdeni namlipa hela yake tarehe 3 mwezi huu wa 6. Hela nimepata ila kifaa cha ofisini kimekufa leo leo na spea kupafa ni mpaka niagize chini haizidi 40 ila pia kifaa kama hicho hapa mjini wanauza 150. Hiki kifaa bila kuwepo ofisini ni sawa tu na nimefunfa ofisi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu za habbat soda au black seeds dawa ya haraka ya acid reflux

    Habari za weekend ndugu zangu Anayesumbuliwa na acid reflux atafute hizo mbegu kiswahil zinaitwa habat soda English zinaitwa black seeds....nimbegu ndogo ndogo nyeusi tii kama mkaa ukiziona haraka haraka utahis ni punje za mkaa....hiz mbegu nzur sana kwa acid reflux mimi binafsi zilinisaidia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya foleni NATTA Mwanza, mistari ya Zebra nayo imefutika, ni kero hasa asubuhi

    Tunaomba sana wahusika watutatulie kero ya usafiri katika eneo la NATTA jijini Mwanza. Mimi binafsi napitia eneo hili mara kwa mara, na hali ya foleni imekuwa mbaya sana. Pale kuna vituo viwili vya daladala—kimoja cha kwenda mjini na kingine cha kutoka mjini—lakini miundombinu iliyokuwepo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu inawezekana kupata NIDA Namba

    Wakuu inawezekana kupata NIDA NUMBER? Majina yake ninayo Mtu mwenyewe alishakufa mda mrefu Msaada wa haraka unahitajika
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vinasababisha Injini za magari kufa haraka?

    Wakuu, ni makosa gani mtu akiyafanya yatashusha umri wa injini ya gari yake yaani itawahi kufa kwa haraka? Kagari kangu haka ka mkopo nataka kukalinda kwa namna sahihi ili injini isiwahi kufa maana ikifa sina namna ya kuweka injini mpya kwa haraka hivyo naomba mnipe kabisa tahadhari ya vitu vya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  10. JamiiForums Tanzania Hofu ya Kupoteza Sauti za Umma: Taifa Linalosahau Haraka

    Kuna wakati unaamka na kuhisi hofu isiyoelezeka. Hofu ya kuona watu waliokuwa sauti ya jamii wakitoweka taratibu kwenye macho ya umma, halafu maisha yanaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea. Hiyo ndiyo hisia ninayopata kila ninaposikia kuhusu watu tunaoweza kuwapoteza kimya kimya, halafu...
  11. JamiiForums Tanzania Na hiki ndicho AI huweza kukifanya pindi unapoiacha ifanye kila kitu yenyewe

    Angalia hiyo code hapo imeandikwa na Claude AI, ni code ambayo ukiipitia mstari hadi mstari haina shida yoyote na hata ukiirun itafanya kazi vizuri kwa maana lengo la hiyo method litakua linatimia bila shida ambalo ni kutengeneza parent ambae ni user. Shida kubwa itaanza kujitokeza taratibu...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kutoka kwa wasajili LINE

    Wadau salam. Nahitaji kununua line ya kuuzia bando (HALOTEL) Nauliza je process zipi nifuate ili nikibadli umiliki (NIDA) line usipoteze sifa ya kuuza bando?
  13. 4

    JamiiForums Tanzania Mwachieni Lissu haraka, sio ombi ni sauti ya Mungu alie juu kupitia kwangu

    Amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja popote mlipo Rejea mada tajwa hapo juu Mungu anataka Lissu achiliwa haraka sana ndani ya siku 21 ni amri kuu sio ombi. Ujumbe huu ukamfikie kila mmoja na mhusika wa kuendelea mshikilia mtu uyu. Msipofanya hivi ndani ya siku 21 , kuanzia leo 1/5/ 2026, bila...
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka jana nilitoa wazo la kuanza mchakato wa haraka sana wa kujenga refinery Tanga

    Mwaka jana na hata mwaka huu baada ya straight of hormuz kufungwa nilitoa maoni yangu binafsi, Tuanze mchakato wa crude oil refinery haraka sana nashukuru dangote alikuwa na mawazo kama yangu na mchakato utaanza Kwanza ijengwe integrated refinery kama ile ya gujarati ambayo itakuwa na crude...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Value ya wanawake inapungua haraka, Yule binti aliekuwa too hot tukiwa rika la 20s leo anajitongozesha kwangu tukiwa 30s nimlipie deni la elf 50

    Miaka hio tukiwa kwenye 20s hii pisi haikuwa type ya kawaida, kuitongoza unywe maji koo liyakauka na huambulii kitu, kichwani smart anajijua ni mashine yenye hadhi ya watu wa aina flani, n.k. Niliwahi kujaribu kutupia nyavu lakini niliambulia virungu vya ugoko na kuishia kuwaita mashem...
  16. JamiiForums Tanzania Mwekezaji anahitajika haraka hapa

    Nyumba inahitajika mwekezaji Location KARIAKOO Mtaa wa Kipata na Kongo. sqm 260 Hati Safi. Anatakiwa muekezaji wa kuingia ubia ajenge anachotaka. 📱0754693556
  17. T

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa ni kwa nini watu kutoka upinzani wakihamia CCM wanapewa vyeo haraka sana tena vikubwa!

    Wanabodi kumekuwa na utaratibu licha ya ccm kujigamba kwamba Ina rasilimali watu ya kutosha lakini inaonekana watu smart sana wanapatikana upinzani. Mwanzo nilijua tu kuwa labda ni kivutio cha kuwashawishi wapinzani wengi kuhamia huko ila baada ya kuona jinsi mashabiki wa ccm wanavyojenga hoja...
  18. L

    JamiiForums Tanzania John Heche inatakiwa akamatwe haraka na kuwekwa ndani bila kupewa dhamana kwa uchochezi na uchonganishi mpaka athibitishe kwa vielelezo kauli zake

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazma kama Taifa Tujijengee Heshima ,utaratibu ,nidhamu ,adabu ya maneno na kauli za kuzungumza Hadharani. Siyo mtu anajitokea zake huko anaanza kuropoka ropoka Bila Breki vitu Hovyo hovyo bila ushahidi wala vielelezo vya aina yoyote ile ilimradi tu Ameona kamera...
  19. JamiiForums Tanzania Sadaka ya damu ni noma inajibu haraka sana

    wakati unamchinja sema maneno machache tu
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA Yapinga Uteuzi wa Jakaya Kikwete ndani ya AU, Yataka Mapitio ya Haraka

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiandikia Umoja wa Afrika (AU) kikitoa wito wa kufanyika kwa mapitio ya haraka kuhusu uteuzi wa Jakaya Kikwete kama Mwakilishi wa Ngazi ya Juu wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja huo kwa Ukanda wa Pembe ya Afrika na Bahari Nyekundu. Machi 25, 2026...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…