handeni

Handeni is a town located in the Handeni Urban District, Tanga Region, Tanzania. It is the capital of both Handeni Town Council and Handeni District. The 2012 national census estimated the population of Handeni Town Council at 79,056.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    Napinga Uteuzi wa Saitoti Zelothe Stephen kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri Handeni, hana Sifa

    Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi. Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama. Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha...
  2. A

    Mkuu Wilaya ya Handeni Albert Msando amepotoka

    Inashangaza na kustaajibisha DC Albert Msando kutushikilia wachimbaji wadogo ili tusulubishwe na mwekezaji mwenye leseni ndogo ya uchimbaji ndugu Godfrey Bitesigwire... Mkoani Tanga Wilaya ya Handeni katika machimbo ya dhahabu kijiji cha Kwa ndege pamekuweko na mgogoro wa muda mrefu kati ya...
  3. B

    Habari naomba kujua hali ya kimaisha, kimazingira na fusra za Handeni mkoani Tanga

    Kama title inavyojieleza hapo naomba kujua fursa, changamoto na hali ya ujumla ya wilaya ya handeni mkoani tanga, uwe mwenyeji, mzeofu au uliewahi kuishi au kufika Handeni karibu na msaada tafadhali
  4. F

    Shamba Linauzwa 100Acres -Mkata Handeni

    Umuofia kwenu! Shamba lenye ukubwa ya Ekari 100 Linauzwa.Shamba lipo Kijiji Cha Kwandugwa.Umbali wa Km 14 toka Mkata Centre. Shamba ni pori.Halijawahi kusafishwa.Linauzwa kwa Tsh 18M.Mazungumzo kidogo yapo.Shamba lina hati ya mauziano ya serikali ya Kijiji na mnunuzi atapata haki ya...
  5. Hamduni

    Nukuu za Viongozi wa Sekretarieti ya CCM mkoani Tanga

    NUKUU ZA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA CCM HANDENI MKOANI TANGA. Baadhi ya #NUKUU Hotuba ya Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia E. Mjema na Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndg. Issa Haji Ussi (GAVU) wakati wakizungumza kwenye ukaguzi wa Jengo la huduma za Mama na Mtoto...
  6. Kinoamiguu

    Tetesi: Handeni, walioiba silaha Ofisi za TAKUKURU ni TAKUKURU wenyewe

    Habari za mapumziko, Inasemekana walioiba Silaha kwenye ofisi za TAKUKURU huko Handeni ni maafisa TAKUKURU wenyewe. Chanzo chetu kutoka Handeni kinasema maafisa hao wakishirikiana na watu wa ishu/Majambazi walisuka njama za kuziiba silaha hizo huku wakiahidiwa kupewa donge nono. Inasemekana...
  7. F

    CHADEMA kushiriki Uchaguzi wa Diwani Handeni

    Nimeona mahali mtu aliyetambulishwa kama Katibu wa CHADEMA Handeni, Kombo Matulu akihimiza wananchi wakampigie kura mgombea wa CUF. Inaelekea CHADEMA wamebadilisha msimamo wao kuhusu kutoshiriki katika katika uchaguzi wowote mpaka Katiba mpya itakapopatikana. Amandla.
  8. Kinoamiguu

    Kuibwa kwa silaha ofisi za TAKUKURU Handeni Maswali ni mengi kuliko majibu

    Habari za mapumziko wana jamvi Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti la mwananchi silaha zilizoibwa ni mbili na zenye risasi ndani. hatujui zimeenda wapi na zinaenda...
  9. peno hasegawa

    Wezi waiba silaha ofisi za TAKUKURU

    Tanga. Watu wasiojulikana wamevunja mlango wa ofisi ya Kamanda wa Takukuru wilayani Handeni na kuiba bastola mbili zilizokuwa na jumla ya risasi 21. Habari zilizolifikia Mwananchi jana na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga, Henry Mwaibambe zinasema tukio hilo lilitokea usiku wa...
  10. BARD AI

    Watumishi wanne wakamatwa Handeni, 27 wasakwa

    Jeshi la Polisi limewakamata viongozi wanne wa Serikali wilayani Handeni mkoani Tanga kwa tuhuma za kuuza ardhi ekari zaidi ya 500 na mbao 1,000 kinyume na utaratibu. Viongozi hao wamekamatwa leo Jumapili Novemba 13, 20 kufuatia agizo la Mkuu wa mkoa wa Tanga, Omary Mgumba. Mgumba ametoa agizo...
  11. Marathon day

    Rais uendapo Tanga jaribu pia kufatilia shida ya maji Handeni hasa mji mdogo wa Kabuku

    Katika Wilaya ya HANDENI tatizo kubwa ni shida ya maji, niliwahi kununua shamba Kijiji cha KABUKU, Nimepitia sehemu nyingi za maeneo hayo, kwakweli watu wanaishi kama wanyama, huwa najiuliza mbunge wa pale hii kero haitambui? Sijawahi kusikia akiizungumzia bungeni, kule Kila mtu anaejenga...
  12. J

    Wamasai watakaochelewa kuhamia Handeni, kitakachowapata hawataamini

    kwa sasa nimeona Wamasai wengi wakihamishwa na Costa kupelekwa huko Handeni na ng'ombe zao kuhamishwa kwa malori, ikielezwa kuwa wanahama kwa hiyari Najua kuna amboa wanaweza kuweka msimamo mwanzo mwisho kuwa hawatahama kwa kuwa kuhama ni hiyari Sasa hawa hawataamini kitakachowakuta...
  13. Monica Mgeni

    Tazama shangwe la Wakazi wa Handeni baada ya kupokea wageni

    Wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wameonesha kufurahia ujio wa wageni waliohamiawilayani humo kutokea Ngorongoro. Pamoja na kutaja faida kadhaa wameeleza pia kuwa, ujio wao umeanza kukuza Mnada wa Nderema kwamba utakuwa ni moja ya mnada kubwa Afrika Mashariki. Tayari Serikali imeanza...
  14. SOVIET UNION

    Wamasai wa Ngorongoro wanaopelekwa Handeni hawataweza ku-survive pale

    Kwenye Hifadhi za Taifa, ukiachana na Zoo, huwa kuna vibao vimeandikwa Dont feed birds or animal. Kwamba usiwalishe ndege na wanyama wengine na ni kosa kubwa sana ndani ya hifadhi kuwatupia hata nyani ndizi. Hii ni suala la kisayansi zaidi na sio suala la kiusalama kwamba unaweza kuwalisha sumu...
  15. peno hasegawa

    Nini hatma ya Ubunge wa Mbunge wa Ngorongoro baada ya wapiga kura wake kuhamishiwa Handeni?

    Ninajiuliza huyu mbunge atapigiwa kura na nani huko Ngorongoro baada ta wapiga kura wake kuhamishiwa Handeni? Sijasikia familia ya huyo Mbunge imehamishiwa Handeni kutoka Ngorongoro. Pili baada ya Wamaasai kuhamishwa Ngorongoro hiyo wilaya itafutwa kiutawala au nini hatima yake?
  16. Taifa Digital Forum

    Wakazi wa eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wawasili Handeni, Tanga

    Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Mhe. Dkt Pindi Chana akiwakaribisha wananchi waliohama kwa Hiari kupisha shughuli za uhifadhi katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro. Leo Juni 16, 2022 Kaya takribani 20 zimewasili katika kijiji cha Msomera kilichopo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga eneo...
  17. K

    Serikali iwasaidie wakulima wa mihogo wa Wilaya ya Handeni

    Jioni hii kupitia taarifa ya habari nimeshuhudia taarifa ya kuhuzunisha sana jinsi wakulima wa mihogo kutoka Wilaya ya Handeni walivyopata hasara ya kuharibikiwa kwa tano 200 za mihogo. Wakulima hawa waliingia mkataba na Kampuni moja ya Dar es Salaam kununua mihogo yao yote watakayolima...
  18. S

    Kinana apata mapokezi ya kishindo Handeni mkoani Tanga

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Ndg Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi waliojitokeza kumlaki Mkata, wilayani Handeni leo, Jukapili 24 Aprili, 2022 alipowasili mkoani Tanga kwa ziara ya siku moja ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika mikoa minne. #ChamaImara #KaziIendelee
  19. Chachu Ombara

    Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi wanne Handeni kisa bwawa la Kwankambala

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao na wadau wa Sekta ya Maji wa Handeni na kuelekeza hatua za haraka kuchukuliwa, ikiwamo kusimamishwa kazi kwa Watumishi wanne wa Wizara ya Maji kufuatia kusuasua kwa kazi ya ujenzi wa bwawa la Kwankambala. Kikao hicho kilichofanyika Jijini...
  20. JanguKamaJangu

    Handeni: Ajali mbaya ya magari imetokea, wanne wafariki, mashuhuda wa ajali nao wapitiwa na Coaster

    Ajali mbaya imetokea Sindeni, Handeni mkoani Tanga usiku wa kuamkia leo, idadi ya vifo na majeruhi haijatajwa, usiku wa kuamkia lo Machi 16, 2022. “Coaster ilivamia Hiace ilivyokuwa imeharibika pembeni na kuwasomba abiria wote. Ajali ni mbaya kwa kweli,” amesema Siriel Mchembe, Mkuu wa Wilaya...
Back
Top Bottom