hana

  1. G

    JamiiForums Tanzania Makongorosi Chunya mdada ambaye Hana phycologist PM Iko wazi.

    Husika na kichwa tajwa hapo juu. Asante.
  2. JamiiForums Tanzania Mungu hana dini

    "Muumba alitupatia uzima - sio mafundisho na hekaya za kidini "Ukweli haumilikiwi na vitabu, mahekalu, au wanadamu. Ukweli unapatikana kwa kupatana na Nuru - katika matendo, nia, na ukumbusho." "Kila dini ilianza na mtu ambaye alikumbuka. Lakini mara tulipogeuza ujumbe wao kuwa udhibiti...
  3. R

    JamiiForums Tanzania RC Tanga unahangaika na nini kusema na kuupamba uongo ? Yuko peke yake, hana mshindani ameshapita. kwanini utende dhambi ya kusema UONGO

    Arsenals zote ziko at her disposal, such as so-called tume "huru" ya uchaguzi, polisi, fedha zote za nchi and all oppressive machinery you can think of are at her disposal, sasa RC unahangaika nini na uongo wa data za social services mkoani Tanga? upuuzi kama huu.............Tanga...
  4. JamiiForums Tanzania Tunahitaji kiongozi ambaye hana hasira

    Baada ya Gen Z kumtukana Rais Samia mtandaoni,Wakenya wamefungiwa biashara. Hiyo ni trade war. Tumeona balaa iliyotokea kati ya USA na China. Hasira ni jambo baya. Kiongozi anawaangusha Watanzania na Wakenya pia. Katuni ya kipanya isiruhusiwe kubadili economic policy
  5. JamiiForums Tanzania Trump alivyogundua Putin hana 'uswahiba' inapofika maslahi ya Urusi

    Rais wa Marekani Donald Trump ameamua kuiuzia Ukraine silaha za kukabiliana na makombora ya Urusi pamoja na kushambulia pia vikosi vya Urusi. Vifaa hivi vitalipiwa na nchi za Ulaya. Haya ni mabadiliko makubwa katika msimamo wa Trump dhidi ya ushiriki wa Marekani katika vita vya Urusi na...
  6. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Samia Suluhu asema hana wazo la kuwania Urais 2025

    Katika kumbukumbu za Siasa za Tanzania, Rais Samia Suluhu aliwahi kusema kwamba hana wazo la kuwania Urais 2025. Habari hiyo ikachapishwa na Gazeti la CCM linaitwa Gazeti la Uhuru. Japo Gazeti watendaji wake walipata Misukosuko kwa kuandika nukuu ya kweli. Swali langu kwa Samia leo Tarehe 19...
  7. JamiiForums Tanzania Tusimwonee Samia, Tusimbeze Polepole - Katiba ya nchi inasemaje? SAMIA HANA KOSA!

    Team! Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani. # Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao...
  8. JamiiForums Tanzania Polepole hawezi kukemea utekaji na mambo mengine ya kihuni ya serikali ya sita. Maana yote yanayotendeka sasa yalitendeka pia 2015-2021

    Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine. Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho Polepole alikuwa mezani akila pamoja na Rais Magufuli. Hazungumzii jinsi wapinzani wanavyonyimwa haki...
  9. JamiiForums Tanzania Ukikutana na mwana Simba SC anayejificha katika hiki Kivuli jua hana Akili na ukimmudu mzabe kabisa cha Kibao cha Kutukuka akome....

    Eti Simba SC kufungwa na Yanga SC mara 5 mfululizo siyo Kosa au Jambo la Kushangaa kwani hata Real Madrid nayo imefungwa na FC Barcelona mara 4 au mara 5 mfululizo. Pumbavu Wahed zenu wenye hii Fikra hivi ukiwa kabisa na Akil Timamu Kichwani utaweza kulinganisha Mafanikio ya Real Madrid ya...
  10. JamiiForums Tanzania Polepole angekuwa anajijua kuwa hana mvuto wa kisiasa asijengejiuzulu, kwa kutoa shutuma za uongo na upotoshaji amejipoteza kisiasa

    Kuna watu wakishapata madaraka basi wanajiona washakuwa maarufu kiasi cha kuanza dharau na majigambo, kiasi cha kuona wao ndiyo wenye sifa zaidi kuliko wengine kitu ambacho si sikweli ni ulimbukeni tu wa madaraka. Mbaya zaidi wanafikia hatua hata ya kutowaheshimu wale waliowaheshimisha kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nahisi hakimu wa kesi ya Lissu ni Layman katika sheria hana anachoelewa je kwanini Lissu asimkatae maana hajui anachofanya.

    This guy is layman kwanini Chadema hawalioni hili swala.?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kama Mangungu alijua hana nguvu yoyote Simba,kwa nini alitoa ahadi ya kuwafunga yanga?

    Ninaona baadhi ya waandishi nadhani waliolipwa kuchochea moto pale Simba wakitumia nguvu kubwa kumtetea mangungu. Wakati Mangungu akiahidi kuifunga yanga,hakuna aliyeleta uchambuzi kumsuta mtoa ahadi kwa kujaribu kuwarubuni wanachama huku akijua wazi kwamba hana hizo nguvu za kuamua Simba...
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

    Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future. Pampuchi sio kitu cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano. Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi. Mwanamke akupe peace of mind. Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa. Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku. Awe na ofu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa ufupi ni kwamba maskini hana chake hapa Bongo.

    Maskini ajitahidi apeleke watoto wake VETA kama alivyosema PM Majaliwa. Huko kwenye siasa hawana chao, huko kwenye ajira tamu tamu hawana chao. Wameachiwa ajira zile za milango ya fahamu nadhani mnazijua.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mangungu hana makosa yeyote

    I will be short Nitasimama kwenye haki, na kwenye haki Mangungu hana makosa kabisa. 1 good reason, Mangungu hana Sauti kubwa Simba kama mashabiki wanavyodhani, In short bodi inayoteuliwa na tajiri ndio wanatatizo. mangungu yupo kusema sawa tu. Mangungu 2029
  16. JamiiForums Tanzania Je, Russia hana ubavu kama Iran?

    Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Amina Chifupa na Mpakanjia hana makuu

    Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaa
  18. JamiiForums Tanzania Kama hana uchungu nasi na nyie hamna?

    Kama yeye hana uchungu nasi kwa kuwa yeye sio sisi , yeye ni kule sio huku , Hana ndugu huku na amevuka maji kuja huku . Je na nyie hamna uchungu na sisi? Mwenzenu wa Buhigwe nafsi ilimsuta muda mrefu akaamua kujiondoa kwa staili Ile maana ana familia inamtegemea hivyo asingeweza ondoka kwa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangia Milioni 150 na wafanyakazi ofisi yake wachangia milioni 100 Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT

    Rais Samia akishiriki Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maluum Kanisa la KKKT Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam, leo tarehe 5 Juni, 2025. =============================== RC Chalamila: "Nikupe pole Rais Samia. Tunaona kwenye mitandao wachache katika Taifa...
  20. JamiiForums Tanzania Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu. Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…