hana

  1. JamiiForums Tanzania Sakata la vitendanishi; Aliyerekodi ageukwa, Rose hana kosa

    Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimesema kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii tarehe 05 January 2023, na kuzua taharuki kwa jamii ikiwahusisha Watumishi wa Kada ya Afya wawili ambao ni Rose Shirima (Muuguzi Mkunga) na James Getogo Chuchu...
  2. JamiiForums Tanzania Rose Shirima hana kosa lolote, mwenye Makosa ni James Getogo kuibua makosa ya serikali/mwajiri wake

    ROSE SHIRIMA HANA KOSA LOLOTE, MWENYE MAKOSA NI JAMES GETOGO KUIBUA MAKOSA YA SERIKALI/MWAJIRI WAKE Anaandika, Robert Heriel. Watanzania Wengi tunapenda Sana mambo ya kudandia dandia mambo. Kufuata Mkumbo. Kwenye nchi hii ni rahisi Sana kumchafua MTU na watu wakaamini na kumuona MTU Fulani ni...
  3. JamiiForums Tanzania Ikiwa binadamu hana uwezo wa kutambua kinachoenda kumtokea dakika zijazo kwanini binadamu huyu huyu amekuwa mtu wa chuki sana?

    Mfano Leo tupo hai twachukiana Sana. Usoni twacheka hila ni rohoni vita vikali Sana. Nasema hivi kwanini mwaka 2013 mtoto wa Mama Mdogo ambaye alitabiriwa kuja kuwa Mwangaza wa Maisha na aliyeonekana Kama Nyota ya Familiya, na aliyekuwa anaweka bidii kwa masomo na kuipambania future yake...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

    Kuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba. Anayemjua vizuri atupe za ndani
  5. JamiiForums Tanzania Unamshauri Nini Mtu ambaye Hana Habari na wazazi wake ?

    Binafsi tangu nianze kuwa karibu na wazazi na kuwa karibu na Mungu nimeona Mabadiliko Katika Maisha yangu. Je Endapo ukifanya kinyume chake je ntarudi Kwenye msoto na kuanza kuishi Maisha ya bahati nasibu ? Kufikia hatua ya kushindwa kulipa Bima Kama Mwanzo na je ntarudi kupanga uswahilini na...
  6. JamiiForums Tanzania Mwambieni Katelephone, bahari hii siyo ile. Hii hawahitajiki samaki wenye meno ni ama ayang'oe au ajifanye hana!

    Nadhani tunaelewana kwamba kwenye ukumbi huu dj ni mmoja TU! Na muziki unaotakiwa kuchezwa humu ni taarabu TU au mziki wowote wenye mahadhi ya kingazija! Haiitajiki kelele au kutupatupa mikono ama kuruka majoka. Ma dj wetu kutoka bara wamechemka wakapigwa benchi, si mnamkumbuka lukuvo na...
  7. JamiiForums Tanzania Zumaridi hana kesi ya kujibu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imesema Washtakiwa 81 kati ya 84 akiwemo Diana Bundala maarufu Zumaridi katika kesi namba 12 ya kufanya kusanyiko lisilohalali na shambulio la kudhuru mwili hawana kesi ya kujibu. Hakimu Mkazi Mwandamizi Clescensia Mushi akisoma uamuzi huo amesema...
  8. JamiiForums Tanzania SBF hajapoteza utajiri wa USD 16 billion bali walomwamini ndo wamepoteza na yeye ame-gain, Hana tofauti na Ivar Kreuger "The Match King" wa 1920s

    Hello bosses... Kipindi cha nyuma TerraUSD na Luna zilipopata anguko niliandika uzi humu kwa sababu hilo tukio nlikua nategemea lije kutokea kutokana na mechanics za namna hizo coins zilivokua zinafanya kazi uzi uko hapa CRYPTO-FUNZO KWA WAKURUPUKAJI: Luna coin ilikua ni sawa na $85 wiki...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Simba, achaneni na Ceazer Lobi Manzoki

    Simba wana mpango wa kumsajili siza lobi manzoki, mchezaji wa Dalian Pro ya China, kwenye dirisha dogo la usajili linaloanza December 1, 2022. Ni jambo jema. Hata hivyo, huyu Manzoki toka amejiunga na Dalian, amecheza mechi moja tu, na hajafunga bao lolote Kwa muda mrefu sasa hajapangwa kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Kama una kijana hana la kufanya nyumbani, usimuache na watoto wa kike au wa kiume peke yao

    Kisa cha kweli, Mtoto alikuwa analelewa na bibi yake Naye bibi kalundika vijana wasio na kazi wanakula bure na kulala bure, mmoja wa vijana ana tabia ya kuwalawiti watoto huyu wa sasa ni watatu. Issue ikajulikana Mara kutahamaki bibi wa aliyelatiwa anamaliza tatizo kifamilia mwenye mtoto...
  11. JamiiForums Tanzania Mgunda hana uwezo, atuachie timu yetu

    Nyie viumbe naamini mmeamka salama japo Mihogo FC wanatupigia sana kelele. Kwa wale mnaofatilia mpira wa Simba hivi karibuni mtaona kabisa Mgunda ana uwezo mdogo sana, kiufupi anabebwa na uwezo binafsi wa baadhi ya wachezaji. Kabla hatujapata aibu zaidi naombeni uongozi wangu/wetu umtimue mara...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla amshukia Profesa Mkenda Bungeni, amtuhumu kwa kulidanganya Bunge. Amtaka ajiuzulu

    Bunge ni moto Dr Kigwangala amesema Waziri wa Elimu Prof Mkenda amelidanganya Bunge kwamba Bodi ya Mikopo imekuwa inamdharau Spika Tulia amzuia Dr Kigwangalla kwa sababu kabla ya kuongea Bungeni Kigwangalla ameshaliongea hili kwenye mitandao ya Jamii Aidha Spika Tulia amesema inafahamika wazi...
  13. JamiiForums Tanzania Eng. Hersi hana uchungu na Yanga, atolewe kwa nguvu

    Hizi jeuri zinatoka wapi. Huku ni kulewa madaraka na kutukana watu kuita wala mihogo. Kwani mihogo ina tatizo gani mpaka uitumie kutukania? 😂😂😂😂
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto hana chama, chama ni cha Wapemba na wafuasi wa Maalimu Seif

    ACT - Wazalendo haina wanachama wala jengo la ofisi inalomiliki Bara. ACT inategemea nguvu ya wanachama kutoka Zanzibar wengi wakiwa ni wale waliokuwa wafuasi wa CUF- Maalimu Seif. ACT -Wazalendo haina Jengo la Chama kwa maana ya umiliki, jengo walilopewa na Maalimu Seif Foundation ni lile...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Hivi inampasa mtoto kumtumia fedha mzazi wake hata kama mzazi hana shida ya pesa?

    Nipo na ajira nashkuru mungu inayofanya nisogeze maisha. Nina mshahara mdogo tu lkn kwa ubachela wangu unanitosha. Mdingi wangu (mzazi pekee nliyebaki nae kwa sasa) ana kipato cha uhakika na hana shida ya pesa ndogondogo. Kipato chake ni mara 5 zaidi ya changu kwa mwezi. Nimekuwa nikiumiza...
  16. JamiiForums Tanzania Mume wa dada ni yule ambaye Hana hela .

    Ukiona unaitwa mume wa dada fahamu kuwa wanakuchukulia poa yaani huna hela. Masikini wanaongoza kwa dharau tangu Dunia kuumbwa kwake na wanaongoza kuita watu majina ya Ajabu mara tolu mara n.k
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania mwenye timamu anaweza kumsikiliza Nape. Ni mnafiki na hana credibility kujifanya ana huruma na upinzani

    Mmesahau zile sauti zilipodukuliwa? Mmesahau alivyojifanya kujipendekeza kwa hayati JPM na kuomba msamaha. Leo anajinasibu ni mwanasiasa msafi na anahuruma ya upinzani ili iweze kufanya mikutano. Huyu ni hyocrite politician mwenye roho mbaya. Ana huruma gani na upinzani. Kwa nini hakusema hii...
  18. JamiiForums Tanzania Biswalo Mganga hana makosa. Plea bargaining ni kwa mujibu wa sheria. Hakuna pesa iliyoingia mfukoni kwa mtu. Zitto ni mpenda sifa za kijinga

    Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika. Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo...
  19. JamiiForums Tanzania Shetani hana akili. Anafaidika nini nikizini?

    Wakuu tangu niamue kuokoka nimepata changamoto kubwa sana, leo nimezini mara ya pili hata wiki haijaisha. Yani ni kama kasi imeongezeka, halafu niliye zini naye leo ni demu aliye nipiga chenga muda mrefu sana nikakata tamaa nikaacha kumfukuzia. Jana akanitafuta akaniambia yupo Moro nikamjibu...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hana mgogoro na utawala, ana mgogoro na chama chake. Hata akirudi hajui atafanya nini

    Huku centre boulevards of Brussels bila shaka hii ni mitaa maarufu ambako Lissu anapendelea zaidi kutembelea! Au Kama yupo nje na Brussels huko Antwerp au Le ROI centre hawezi kukumbuka tena kurudi kwenye siasa za Tanzania. Miezi michache nyuma kilio Cha tundu Lissu ilikuwa ni kulipwa stahiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…