hana

  1. JamiiForums Tanzania Case Study: Kaka Yangu hana marafiki hata wa kumtembelea, ni super introvertm Baba alimlea kwa namna aliyodhani itamlinda kumbe ni kumletea matatizo

    Na mimi nililelewa kwa staili hii lakini nilipokuja kuona tunaishi tofauti na jamii nilimkaidi mzee na ndio ponea yangu, (nilishaweka uzi huu). Ipo hivi yani, Mzee ni mtu ambae alikuwa anatulea katika mtindo ambao ulitufanya tuwaone watu nje ya familia kama vile hawahitajiki. Kufungiwa ndani...
  2. JamiiForums Tanzania Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

    Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli, alitakalo likitimia hana muda na wewe. Usilogwe kumpenda mume wa mtu, mwisho wa siku atakuacha peke yako. Bora kupambana na hawa papatu papatu.
  3. JamiiForums Tanzania Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

    Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar. Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi. Uwezo wa fikra ni mdogo mno. Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nje ya silaha za nyuklia, Urusi haIna kingine cha kuitishia Marekani

    Baada ya mgogoro wa kivita wa Ukraine kuanza, waziri wa mambo ya nje wa Urusi Bwana Sergey Lavrov alitahadharisha kuhusu matumizi ya Nyuklia na kusema Urusi haitasita kutumia silaha za nyuklia pale itakapobidi. Sasa naanza kuelewa kwamba ile ilikua ni defense mechanism ili kuficha udhaifu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Marehemu Benard Membe hana mchango mkubwa kwenye taifa hili kama alivyokuwa Lyatonga Mrema

    Naona tribute zimekuwa nyingi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya? Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe. Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi. Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letu
  6. JamiiForums Tanzania Musiba amemponyoka Membe lakini Shangazi na mama wa hela ya mboga wamemng’ang’ania; hana pa kuchomokea, anadaiwa jumla ya Tsh bilioni 15.58!

    Subiri kwanza, bado mapema. Cyprian Musiba Majura Muingereza popote alipo anaweza akawa anachekelea kuwa Membe kafariki, hivyo amenusurika kulipa mabilioni aliyokuwa anadaiwa. Anajidanganya sana. Hii ni sawa na kuchekelea kuruka majivu halafu ukatua motoni. Hii ngoma bado mbichi sana! Hukumu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Maumivu ya mwanamke kusalitiwa: Hana wa kumtetea, jamii inaona ni haki yake

    Maumivu ya mwanamke anaposalitiwa yanaweza kuwa na athari kubwa sana kihisia. Hali hii inaweza kusababisha machungu na kuumiza moyo. Kila mwanamke anaweza kuhisi maumivu tofauti na kuonesha hisia tofauti kulingana na uzoefu wake binafsi na mazingira ya kijamii. Mbaya zaidi mwanamke amezungukwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwasasa hana mvuto tena ndani na nje ya chama

    Tundu Antipas Lissu wa 2015 -2020 sio huyu wa Leo 2023. Lissu wa Sasa ameporomoka hata hoja anazojenga hazina nguvu tena. Labda ni kwa sababu mara nyingi amekuwa akirudia hoja zile zile!! Sijajua wazungu wamemfanyaje Huko alikotoka!! Ajitafute upya huyu sio Lissu tunayemjua
  9. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Sina uhusiano wowote, na sipendi kuhusishwa na mtu anayejiita Kigogo

    Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi TAARIFA KWA UMMA MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi anapenda kuuhakikishia umma kwamba hana uhusiano wowote na asingependa kuhusishwa kwa namna yoyote na mtu anayejiita Kigogo katika mitandao ya kijamii...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

    Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi...
  11. JamiiForums Tanzania Mungu hana msemaji wala dalali huku duniani

    Nawafokea kwa karipio kali watu wote wanao tumia maandiko kuwahadaa walimwengu Wapo watu wanaodhani ni ujanja au uwerevu ku-take advantage ya ujinga wa wenzao kwa kuwahadaa kwamba wao ni mitume au manabii au madalali au mawakala au wasemaji wa Mungu Wanakusanya makundi makubwa ya watu...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mason Greenwood hana mpango wa kuichezea Manchester United tena

    Inadaiwa mshambuliaji Mason Greenwood ameitoa kauli hilo kwa marafiki zake Kutokana na kutofurahishwa na kuendelea kuwekwa nje wakati anataka kucheza. Greenwood (21) alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya ubakaji ambayo yalifutwa Februari, lakini bado yupo nje ya uwanja baada ya klabu kudai...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu hana upinzani,akiamua kugombea urais 2025

    Atateuliwa na Chama chake,na atachaguliwa na wananchi. Kwa hiyo,kama political analysis,we can safely say Samia Suluhu atakuwa rais mpaka 2030. Kwa sababu huyu ni rais amefanya vizuri,better than expected. Hana upinzani katika Chama. Na katika kipindi hiki kifupi kilichobaki kabla ya...
  14. JamiiForums Tanzania Uaminifu wa mwanamke hujaribiwa wakati mwanamume wake hana chochote na Uaminifu wa mwanaume hujaribiwa wakati ana kila kitu

    Inawezekana kwamba msemo huu unashiria kwamba mwanamke anakuwa na uaminifu mdogo wakati mume wake hana utajiri, wakati mwanaume anapokuwa na kila kitu, anahitaji kujaribiwa kuhusu uaminifu wake kwa sababu anaweza kuwa na fursa nyingi za kuwa na wanawake wengine. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka...
  15. JamiiForums Tanzania Bakhmut bado ni kimbembe, mfupa uliomshinda fisi, Mrusi hana hamu

    Mrusi ametupia kila kitu hapo Bakhmut, "mizoga" ya Warusi kila siku inaongezeka kwa maelfu lakini wazalendo wa Ukraine wamesimama kidete, wanapambana kuingia kwenye historia kama Daudi dhidi ya Goliathi, tuliaminishwa siku zote Urusi ni jitu............ =================== Kiev, April 11...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Aliyeshtakiwa kuua mke kwa kumchoma moto aomba mahakama imwachie huru

    Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa, ameiomba Mahakama Kuu imuachie huru kwa sababu hadi sasa hakuna ushahidi wa kutosha wa kumshtaki. Luwonga aliwasilisha ombi hilo jana mbele ya Jaji Obadia Bwegoge...
  17. JamiiForums Tanzania Money is the King of Love. My money is my ego

    Wasalaam JF, Money is the king of love. Money is the only magnet that women have since failed to resist. Nawakumbusha wanaume tafuta pesa wanawake watakutafuta wewe. Chase money and women will Chase you. Thank me later. Wadiz
  18. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021-2022; Waziri Mkuu hana msaada kwa Rais, Baraza livunjwe

    Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Mithali 6 : 32

  20. JamiiForums Tanzania Si busara kumruhusu mtoto aanze kujitegemea wakati hana chochote

    Kuna dhana imezoeleka na wazazi ambao vijana wao wamefikia umri wa kujitegemea kuwaruhu ama kuwataka waondoke nyumbani ili hali hawana chochote na inawezekana hata kazi hana inayoeleweka. Hii hali ina athari nyingi sana kwa vijana wa jinsia zote ila kwa wakike ndio zaidi. Kijana kuhitimu chuo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…