hamas

Hamas (Arabic: حماس Ḥamās, an acronym of حركة المقاومة الاسلامية Ḥarakat al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah [Islamic Resistance Movement]) is a Palestinian Sunni-Islamic fundamentalist but pragmatic, militant, and nationalist organization. It has a social service wing, Dawah, and a military wing, the Izz ad-Din al-Qassam Brigades. It won the 2006 Palestinian legislative election and became the de facto governing authority of the Gaza Strip following the 2007 Battle of Gaza. Israel and Hamas have since engaged in several wars of varying intensity. Canada, the European Union, Israel, Japan and the United States classify Hamas as a terrorist organization. Australia, New Zealand, Paraguay and the United Kingdom classify only its military wing as a terrorist organization. It is not considered a terrorist organization by Brazil, China, Egypt, Iran, Norway, Qatar, Russia, Syria and Turkey. In December 2018, the United Nations General Assembly rejected a U.S. resolution condemning Hamas as a terrorist organization.Hamas was founded in 1987, soon after the First Intifada broke out, as an offshoot of the Egyptian Muslim Brotherhood which in its Gaza branch had previously been nonconfrontational toward Israel and hostile to the Palestine Liberation Organization (PLO). Co-founder Sheik Ahmed Yassin said in 1987, and the Hamas Charter affirmed in 1988, that Hamas was founded to liberate Palestine, including modern-day Israel, from Israeli occupation and to establish an Islamic state in the area that is now Israel, the West Bank and the Gaza Strip. Since 1994, the group has frequently stated that it would accept a truce if Israel withdraws to the 1967 borders paid reparations, allowed free elections in the territories, and the right of return of Palestinian refugees.Hamas's military wing has launched attacks against Israeli civilians and soldiers, often describing them as retaliatory, in particular for assassinations of the upper echelon of their leadership. Tactics have included suicide bombings and, since 2001, rocket attacks Hamas's rocket arsenal, though mainly consisting of short-range homemade Qassam rockets with a range of 16 km, also includes Grad-type rockets (21 km by 2009) and longer-range (40 km) if unreliably aimed rockets that have reached major Israeli towns such as Beer Sheva and Ashdod, and some that have struck cities like Tel Aviv and Haifa. Human Rights Watch has condemned as war crimes and crimes against humanity both Hamas and Israel for attacks on civilians during the conflict, stating that the rationale of reprisals is never valid when civilians are targeted.In the January 2006 Palestinian parliamentary elections, Hamas won a majority in the Palestinian Parliament, defeating the PLO-affiliated Fatah party. After the elections, the Quartet (the European Union, Russia, the United Nations and the United States) made future foreign assistance to the Palestinian National Authority (PNA) conditional upon the PNA's commitment to nonviolence, recognition of the state of Israel, and acceptance of previous agreements. Hamas rejected those conditions, which led the Quartet to suspend its foreign assistance program and Israel to impose economic sanctions on the Hamas-led administration. In March 2007, a national unity government headed by Prime Minister Ismail Haniyeh of Hamas was briefly formed, but this failed to restart international financial assistance. Tensions over control of Palestinian security forces soon erupted in the 2007 Battle of Gaza, after which Hamas took control of Gaza, while its officials were ousted from government positions in the West Bank. Israel and Egypt then imposed an economic blockade of the Gaza Strip on the grounds that Fatah forces were no longer providing security there.

View More On Wikipedia.org
  1. Kijana wa Kisrael aandika barua kugoma kujiunga na jeshi la nchi yake kupigana na Hamas. Hii imekaaje?

  2. Shaka imezidi kuongezeka kuwa Israel haitoweza kuifuta Hamas

    Wachambuzi mbali mbali wa kivita akiwemo raisi wa Ufaransa wamesema lengo la Israel kuifuta Hamas ni miongoni mwa malengo dhaifu ya vita vinavyoendelea Gaza. Raisi huyo baada ya kushuhudia hali ya vita inavyojikokota amesema wakati umefika kwa mamlaka ya Israel kutoa maelezo ya wazi kuhusu vita...
  3. AL JAZEERA ni kituo cha HAMAS

    Utoaji wake wa habari umeegemea upande mmoja wa kupendelea kikundi cha kigaidi cha HAMAS. Al Jazeera ni kituo cha habari cha hovyo.
  4. Israel inawasihi China kusaidia mateka waachiwe na Hamas

    Wanaukumbi. Maneno mengi majingambo ya Netanyahu na wenzake wamekimbilia China kuomba msaada wa mateka wake huko Gaza, Hamas wao wapo kimya wanatoa kichapo tu huko Gaza. 🇮🇱🇨🇳 ISRAEL PLEADS CHINA TO HELP FREE HOSTAGE Netanyahu has reportedly asked Xi to assist in freeing Israeli hostage Noa...
  5. Yahya Sinwar baada ya kuwaponyoka Israel aibuka na kusema Hamas imeshaua zaidi ya elfu askari wa IDF

    Kiongozi mkazi wa Hamas ndani ya Gaza ameibuka kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya oktoba 7 na kusema jeshi lake linapigana vita vikali na ambavyo havijawahi kutokea. Matamko yake hayo yamekuja kwa njia ya maandishi na kuonesha ni matamko ya muda unaoendelea ametoa matamko kuashiria...
  6. Vita kati ya Hamas na Israel ni kati ya dini na dini au ni kati ya Taifa na Taifa??

    Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!?? Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini??? Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael?? Uislam na Ukristo unahusikaje na...
  7. B

    HAMAS yatuma salamu za Christmas kwa wakristo

    1. Hapa chini ni salamu za Christmas kwenda Kwa nduguze wakristo: 2. Ama kwa hakika ukitaka kumwua nyani usimwangalie usoni. 3. Ukitaka kumwamgamiza mtu mtafutie jina baya. 4. Mbowe, Slaa, Mwabukubusi na kina Mdude waliitwa magaidi "to justify the end." 5. Ningali na scan kutafuta salamu...
  8. Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu amekiri moto wa Hamas ni mkali

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kuwa vita vya Gaza vinawagharimu sana wakati idadi ya vifo vya wapiganaji wa IDF ikiongezeka katika ardhi ya Palestina iliyozingirwa. Matamshi ya Netanyahu yamekuja baada ya IDF kutangaza kwamba wanajeshi 14 wa Israel waliuawa mwishoni mwa wiki...
  9. Video: Kubwa la HAMAS bwana Hassan Atresh lapigwa shaba na kuuawa

    Hawa wanaisha hadi basi tu.... An Israeli fighter jet successfully assassinated Hamas leader Hassan Atrash, the IDF and Shin Bet announced on Saturday. The assassination took place in the Rafah area in southern Gaza. Atrash was responsible for the trade, production, and equipping of the...
  10. The Guardian: Israel inapoteza vita dhidi ya Hamas lakini Netanyahu na serikali yake kamwe hawataki kukubali

    Wanakumbi. Siku kumi zilizopita, kiongozi mkuu wa kila siku wa Israeli, Yedioth Ahronoth, alichapisha habari zilizopatikana kutoka kwa idara ya urekebishaji ya wizara ya ulinzi. Mkuu wa idara hiyo, Limor Luria, aliripotiwa kusema kuwa zaidi ya wanajeshi 2,000 wa IDF wameandikishwa kuwa walemavu...
  11. Hivi nini kimemchukua mkuu wa UN muda wote hii hadi leo ndio analaani ugaidi uliofanywa na HAMAS

    Leo ndio amekurupuka na kuanza kuwa mkali dhidi ya HAMAS na kulaani walichokifanya na kuamuru waachie mateka. Nakumbuka jamaa alikua analalamika lalamika Israel kuua Wapalestina lakini hakua analaani HAMAS. Israel kamatieni hapo hapo piga....... ======================= UN Secretary-General...
  12. Asilimia 72 ya wapalestina waiunga mkono Hamas kupigana na Israel

    Utafiti wa Khalil Shikaki,mpalestina mwenye ofisi zake Ramallah ameweka wazi utafiti wake unaobainisha kuwa idadi kubwa ya wapalestina wanaunga mkono maamuzi ya Hamas kupambana na Israel. Kwa mujibu wa utafiti huo ambao umefanyika pande zote za Palestina,jumla ya 72% ya waliohojiwa wamesema...
  13. Msio waislamu na mnaunga mikono ugaidi wa HAMAS, isomeni hii agano

    Hili hapa ni agano la HAMAS, ambalo linasema uislamu utaifuta Israel, kwa kifupi HAMAS hawana haja na maelewano au kuishi pamoja na Wayahudi kwa amani au hata ujirani kwa amani ila kuwafuta Wayahudi kama ambavyo wanaamini dini yao imewaagiza. Hivyo kwa asiye muislamu na unasema unawaunga mikono...
  14. Marekani inajifanya janja sana.Eti Israel iwamalize Hamas wote lakini ipunguze vifo vya wapalestina wengine.Hiyo si huruma bali ni kuakhirisha kifo.

    Siku za karibuni Marekani imejifanya ina huruma na wapalestina na huku anapeleka silaha na anahimiza Israel iendeleze kazi yake. Kuanzia raisi Biden ,Blinke mpaka wairi wa ulinzi Lord Austin wote wmejifanya wana huruma na kurudia ziara za mazungumzo ya siri na Israel.Wakiibuka hadharani wanasema...
  15. Israel yakatalia mbali ombi la HAMAS kwamba iache vita kabisa ili mateka waachiwe

    Hivi kwa anayejua atusaidie kuelewa, baada ya HAMAS kuteka hao watu, walitoa sharti gani mwanzo ili kuwaachia, maana naona sasa wamekubali yaishe almradi Israel iache mapigo zaidi, na hii ni baada ya Israel kuua Wapalestina 20,000 na kuifanya Gaza kuwa shamba. Je sharti la mwanzo la HAMAS kabla...
  16. Picha: IDF wameua makamanda wanne wa HAMAS, wamesalia watatu ambao wameamrishwa wajisalimishe

    Hawa hapa wameshawahishwa kwa mabikira.... The IDF has successfully targeted four out of seven senior Hamas brigade commanders, the Israeli military's Arabic spokesperson Avichay Adraee wrote Thursday on X. "The IDF continued to dismantle Hamas's Gaza brigades," Adraee wrote...
  17. M

    Hamas yasema haitawaachilia tena mateka hadi Israel ikomeshe vita

    Hamas inasema kuwa makundi ya Wapalestina yamepinga matarajio ya kuachiliwa zaidi kwa mateka hadi Israel ikubali kumaliza vita Gaza. Katika taarifa ya Kiarabu iliyosambazwa kwenye Telegram, Hamas ilisema: "Kuna uamuzi wa kitaifa wa Palestina kwamba kusiwe na mazungumzo kuhusu wafungwa au...
  18. B

    Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS

    Huu ndiyo ulio ukweli mchungu. Ikumbukwe; 1. Israel anajinasibu kupambana na HAMAS akisema hana taabu na wapalestina huku wahanga wakiwa wapalestina; hadi West Bank ambako hakuna HAMAS. 3. Kila vita vinapotaka kusimama, maafisa wazito wazito wa Marekani huenda Israel na vita hurundima upya kwa...
  19. Wanooeneza Picha na Habari za uongo kuhusu Kijana Joshua aliyeuawa na Hamas wanafaidika Nini?

    Nimeshangaaa kuona baadhi ya watu wanashea habari na picha za uongo kuwa kijana molel alijiunga na jeshi la isael, watu Hawa wasio na akili wamekuwa wakituma picha zilizoeditiwa kiasi Cha Mimi kuzifanyia uchunguzi nikabaini Ni upotoshaji, lakini nikajiuliza wanapata faida gani kufanya hivyo? Au...
  20. Naftal Benet: Tusipoifuta Hamas na kuwapiga islamists terrorists wataipiga mabomu London na New York

    NAFTAL BENET anahojiwa sasahivi kwenye kipindi cha hard talk BBC anasema yeye mwenyewe kama komando alishiriki vita ya 2002 na kuwateketeza magaidi. Pia anasema waaipoipiga HAMAS sasa na kuvunja vunja magaidi ya kiislamu basi kuna siku yatazilipua LONDON NA NEW YORK. Na mwisho amemalizia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…