halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt Stergomena Tax ashiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Magu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), jana Juni 18, 2025 ameshiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Magu Mkoani Mwanza. Kikao hicho cha kawaida ngazi ya Chama kiliongozwa na Komredi Jamal Abdul Babu (Mnec Wilaya Magu)...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika makusanyo

    Rais Samia wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu amesema ni lazima maendeleo yetu tujizatiti wenyewe. Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA wanajitahidi sana lakini kwa Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru kuhusu tuhuma za wanafunzi kusahihishiana mitihani S/M Kimandafu

    Ndugu mkurugenzi napenda kukutaarifu kama mtanzania mzalendo na mwenye wivu mkubwa na ubora wa elimu yetu niliandika kupitia mtandao huu wa Jamii Forums juu ya matendo yasiyofaa yanayofanyika ktk shule ya msingi Kimandafu iliyoko ndani ya halmashauri ya wilaya ya Meru unayoiongoza hivi sasa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO TARURA wilaya ya Kinondoni wananizungusha malipo yangu

    Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, habari ya leo? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Ningependa kujuzwa, hivi raia anapoidai serikali (halmashauri) inachukua muda gani kulipwa stahiki zake? Ninawadai Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni pesa kwa mradi wao wa Tarura uliopita kiwanjani...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Halmashauri zote kuhusu Hotel Levy

    Kufuatana na Bajeti ya Serikali ya 2025/26 iliyosomwa na Mhe. Waziri wa Fedha kuanzia 1 JulaI, 2025 HOTEL lEVY itatozwa kwa kiwango cha 2% badala ya 10%. Hivyo kwa Halmashauri zote mnatakiwa muwe na taarifa hii msije mkawanyanyasa wafanyabiashara wasiojua taarifa hii. Nawasilisha.
  6. JamiiForums Tanzania Kama sehemu ya kurudisha faida za kiuchumi daraja la Kigongo Busisi, Wizara ya Ardhi kwa kushirikiana na Halmashauri wapange na kupima maeneo jirani

    Nashauri upimaji mkubwa ufanyike wa ardhi upande wa Wilaya ya Segerema na Misungwi ili kuongeza mvuto na kuleta faida za kiuchumi za daraja. Haipendezi billions 700 zilale hapo halafu pajae squatter. Huo ni ukanda wa ziwa, hotel zinafaa, prime plots kama Capri point zinaweza kutengenezwa. Hii...
  7. JamiiForums Tanzania Singida: Halmashauri ya Mkalama yafafanua madai ya baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kuchelewesha vibali vya Uhamisho

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI Halmashauri imetoa ufafanuzi kuhusu hoja hiyo... TAARIFA KWA UMMA YAH: UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA POTOFU INAYOSAMBAA...
  8. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Missenyi yasema inachunguza madai ya baadhi ya Walimu Wilayani hapo kuwaagiza Wanafunzi vyuma chakavu

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja kuwa Baadhi ya Shule za Msingi Wilaya Missenyi-Kagera, Walimu wanawaagiza Wanafunzi vyuma chakavu kwa manufaa yao binafsi Mamlaka ya Wilaya hiyo imejibu madai hayo kwa kueleza kuwa inatuatilia suala hilo. Taarifa rasmi ya Halmashauri ya...
  9. JamiiForums Tanzania Zifahamu Halmashauri 10 zilizoongoza kwa kukusanya mapato ya ndani 2023/2024

    Wakuu, Zifahamu Halmashauri 10 zilizoongoza kukusanya mapato ya ndani 2023/24: 1. Dar es Salaam CC (Ilala) - Bilioni 111.7 2. Kinondoni MC- Bilioni 64.7 3. Dodoma CC-Bilioni 51.5 4. Temeke MC-Bilioni 47.9 5. Ubungo MC-Bilioni 33.8 6. Arusha CC-Bilioni 33.4 7. Mwanza CC-Bilioni 21.0 8. Mbeya...
  10. JamiiForums Tanzania Aende wapi kati ya TARURA kwa Mkataba ama HALMASHAURI ila Perment!

    WanaJF! Kwema? Moja kwa moja niende kwenye Mada. Mdogo wangu kapata kazi ya Uhandisi ya Mkataba TARURA ila pia kapata Kazi Permenent HALMASHAURI. TARURA atapata kama 2M na marupurpu mengine kwa anabyodai Wakati Halmashauri ni 1M pia kwa ufatiliaji wake Halmashauri marupuru ni kwa manati...
  11. JamiiForums Tanzania Dodoma: Wananchi kata ya Mtumba wanufaika na mikopo asilimia 10 ya halmashauri

    Kata ya Mtumba, Halmashauri ya Jiji la Dodoma yapatiwa jumla ya shilingi 83,000,000 kwaajili ya mikopo ya asilimia 10 kwa makundi maalum ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa lengo la kuwainua kiuchumi na kuboresha maisha yao. Hayo yalielezwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Kata ya Mtumba...
  12. JamiiForums Tanzania Ndejembi aagiza kuundwa timu kushughulikia mgogoro wa ardhi kati ya wananchi na halmashauri

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga kupitia ofisi ya Kamishna wa ardhi nchini kuunda timu kushughulikia mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Kitongoji cha Luhafwe na...
  13. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya mji Rufiji(utete)

    Serikali imeipandisha hadhi mamlaka ya mji mdogo utete(Rufiji) kua halmashauri ya mji huku ikiwa na idadi ndogo sana ya watu(6600) Kwa mujibu wa sensa ya 2022 ,lakini moja ya kigezo kikubwa ni watu angalau 30,000 wanaoishi eneo la mji ,but miji yenye hadhi na idadi kubwa ya watu haipewi hadhi...
  14. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) Ndugu Solomon O. Kimilike, Msalaba Mzito kwa Maendeleo ya Halmashauri yetu ya Ngara

    Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Halmashauri ya Buchosa toeni mikopo kwa Vikundi vilivyojisajili, mbona mmeishia kutoa kwa Viongozi wenu tu?

    Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa Viongozi wa juu wa Halmashauri lakini upande wa pili wameshindwa kutoa mikopo hiyo kwa vikundi husika...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza umri, sifa ya kupata mikopo ya Asilimia 10 ya Halmashauri

    Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vijana kutoka miaka 35 hadi 45 ili kuweza kufikia vijana wengi zaidi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo wakati wa akijibu...
  17. JamiiForums Tanzania Various HALMASHAURI Jobs April, 2025

    Various HALMASHAURI Jobs April, 2025 Halmashauri recruitment Welcome to our page about HALMASHAURI Jobs April, 2025! Here, you will discover all Jobs from from HALMASHAURI (Nafasi za kazi HALMASHAURI April, 2025) in Tanzania. HALMASHAURI / A council is a group of people who come together to...
  18. JamiiForums Tanzania Je, nikweli kwamba Rais Samia amemtuma mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro kuwaadhibu walimu watakaoshindwa kutoa hela ya mwenge?

    Mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro ndugu Jeshi Lipembe amesema kwamba ameagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwaadhibu walimu na watumishi wa sekta ya afya watakaoshindwa kutoa mchango wa mwenge (10,000/=) Aidha ameagiza walimu wakuu, wakuu wa shule, na viongozi katika idara ya afya...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Standi ya Kisasa Katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya

    SERIKALI KUJENGA STANDI YA KISASA KATIKA HALMASHAURI YA WIRAYA YA RORYA Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imepanga kujenga standi ya Kisasa katika Halmashauri ya wilaya ya Rorya ili kusaidia upatikana wa huduma za usafiri na kuongeza mapato katika...
  20. JamiiForums Tanzania CHAKAMWATA kwenda Mahakamani kuzishtaki Halmashauri nchini kwa kutowalipa Walimu Tsh. Bilioni 12

    Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), kimetangaza kutua mahakamani kuzishtaki Halmashauri mbalimbali nchini kwa madai ya kushindwa kulipa stahiki za walimu zaidi ya Tsh. Billion 12. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya, Aprili 08, 2025, Katibu Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…