halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshwaji wa pesa ya kujikimu halmashauri ya Nyang’hwale

    Mnamo tarehe 4 Juni 2026, Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitoa barua iliyoonesha kiasi cha fedha zilizotolewa kwa ajili ya malipo ya posho za kujikimu na nauli kwa watumishi wapya wa afya walioajiriwa kati ya Januari 2025 na Aprili 2026. Katika barua hiyo, Wakurugenzi wa Halmashauri walitakiwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imeanza kurekebisha Barabara ya Kibaha–Mpiji na ile ya Tankini–Muheza

    Nikiwa mmoja wa Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha tunapongeza hatua ya kuanza kwa ukarabati wa Barabara ya Kibaha–Mpiji pamoja na Barabara ya Tankini–Muheza, kufuatia malalamiko niliyowasilisha kuhusu ubovu wa miundombinu hiyo. Pia soma ~ Halmashauri ya Kibaha hizo Tsh. 420M za...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Chomete atembelewa na madiwani wa halmashauri ya mji wa Tarime-Bungeni Dodoma

    MHE. GHATI CHOMETE ATEMBELEWA NA MADIWANI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME-BUNGENI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ametembelewa na Wahe.Madiwani wakiongozwa na Mhe.Thobias Elias Ghaty- M/Kiti wa Halmashauri ya Mji wa Tarime. Madiwani hao walifika Bungeni...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Maafisa Rasilimali watu katika Halmashauri wanaendelea kukaa kimya kuhusu Recategorisation

    Habari. Watumishi tuliojiendeleza kielimu tukiwa kwenye halmashauri tunakumbana na changamoto kubwa katika kufanyiwa re-categorization (recate) kutoka kada moja kwenda nyingine. Maafisa Rasilimali Watu (HR) mara nyingi hutoa sababu mbalimbali, zikiwemo ukosefu wa kutokuwepo kwa ruhusa ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya Halmashauri ya wilaya ya Sikonge

    Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya halmashauri ya wilaya ya Sikonge. 1. Katibu mkuu aliwandikia barua halmashauri zote zenye maelekezo maalumu kwa ajili ya fedha za kujikimu na barua hiyo ilielekeza bayana kuwa watumishi wa ajira mpya kwanzia Januari 2025 hadi Aprili...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa halmashauri ya Nachingwea tunapitia changamoto nyingi ikiwemo kucheleweshewa posho za vikao

    Sisi watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea tunapitia kipindi kigumu kutokana na kucheleweshwa kwa stahiki zetu mbalimbali, hususan malipo ya posho za kuhudhuria vikao. Tatizo kubwa linalolalamikiwa ni kwamba Mkurugenzi wa Fedha (DT) amekuwa hapitishi malipo hayo kwa wakati. Kuna...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi ajira mpya Ukerewe (kada ya elimu) hatujalipwa pesa za kujikimu

    Ahsanteni sana JamiiForums kwa kuendelea kutupatia habari na kutupa nafasi ya kufikisha sauti zetu. Sisi watumishi wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, kada ya elimu, hadi sasa hatujapokea fedha za kujikimu. Jambo hili linatupa wasiwasi, hasa ikizingatiwa kwamba wenzetu wa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Mji TARIME imekaidi agizo la Katibu Mkuu TAMISEMI kulipa posho za pesa za KUJIKIMU watumishi wapya

    Habari, mm nimwajiriwa mpya wa serikali katika Halmashauri ya Mji Tarime ajira za mwezi January 2026, pamoja na katibu mkuu TAMISEMI kutoa waraka wa kuelekeza watumishi wapya wote walipewe pesa za kujikimu kufikia tarehe 15 June 2026 lakini mpaka leo hatujalipwa pesa hizo, wametufanyia danganya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko yangu kuhusu Kampuni ya Ulinzi ya Rampart iliyopo Nyakato, Mwanza juu ya kazi, mishahara na mazingira

    Ninafanya kazi katika kampuni hii kwa zaidi ya miaka mitatu, lakini hadi sasa bado ninadai mishahara ya kipindi kilichopita ambayo sijalipwa. Mbali na kucheleweshwa kwa mishahara, hivi karibuni uongozi wa kampuni ulifanya kikao na kutangaza kuwa wafanyakazi waliokuwa wakilipwa mshahara wa...
  10. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha: Tumetenga Tsh. 50 kuboresha barabara za Mtaa Kibaha Mwaka wa Fedha 2026/2027

    Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Mkoani Pwani imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya Barabara kutoka Sheli hadi Mpigi na ile ya kuelekea Tankini na Muheza katika Kata ya Mailimoja kwa kusema kuwa ilipeleka kiasi cha Shilingi Milioni 420 kwa mgawo wa Shilingi Milioni 30 kwa kila kata. Taarifa ya...
  11. JamiiForums Tanzania Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo ni tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya - Mbeya

    Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu wa misitu katika wilaya hiyo. Kilimo cha Tumbaku na Nishati ya Kuni Sehemu kubwa ya misitu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe: Milioni 10 itatumika kuboresha madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi

    Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imetoa ufafanuzi kuhusu uchakavu wa madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Kata ya Kyimo kwa kueleza kuwa kuna kiasi cha Tsh. Milioni 10 kimetengwa kwaajili ya maboresho. Hatua hiyo inakuja baada ya Mwananchi kuhoji kupitia JamiiForums.com kuwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna kampuni naidai si chini ya milioni 37 na halmashauri inanishauri niachane na hiyo kesi, mdeni anaweza kuhonga hela nyingi ili kuifuta kesi hiyo

    Kuna namna fulani ya halmashauri pamoja na tume yetu ya kazi/ajira hapa nchini Tanzania inachangia kwa asilimia kubwa sana wafanyakazi kukosa stahiki zao kutoka kwa Waajiri wao hususani private sector. Nlikuwa nafanya kazi Kampuni fulani ambayo makao makuu yapo Dar es salaam ila kituo cha kazi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Familia ya Rostam, Mwenyekiti Halmashauri ya Monduli kwenye kashfa ya rushwa

    Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka maelfu ya ekari za ardhi ya Wilaya za Longido na Monduli mkoani Arusha. Akram ambaye pia...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madaktari Halmashauri ya Mpimbwe na kutolipwa Call Allowance kwa zaidi ya mwaka mmoja

    Madaktari hospitali ya wilaya katika Halmashauri ya Mpimbwe wanadai kunyimwa malipo ya call allowance tangu Februari mwaka jana, huku wakielezwa kuwa OC haijaingiziwa fedha hizo. Hata hivyo, fedha zimekuwa zikipokelewa lakini zinabadilishwa matumizi kinyume na kusudio lake na bila utaratibu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO DED wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga hatulii ofisini na hakaimishi majukumu, tunasota kupata huduma yake

    Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Wananchi na Watumishi tunapata changamoto sana hasa tunapohitaji huduma ya Mkurugenzi (DED), zinaweza pita siku 5 hupati huduma unaambiwa hayupo na hajakaimisha mtu. Kinachokera zaidi ni kuwa Halmashauri ni mbali kiasi kwamba hizo siku zote unaweza tumia zaidi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mazingira ya rushwa katika mikopo inayotolewa Hazina kwa Watumishi ngazi ya Halmashauri ya Kakonko

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji na uidhinishaji wa mikopo maalumu kwa watumishi inayotolewa kupitia Hazina. Nimeomba mkopo huo mara tatu katika vipindi tofauti ndani ya miaka mitatu iliyopita. Kila mara ninapowasilisha ombi langu kupitia mfumo wa mtandao, ombi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Busega ajira ya kuanzia January 2025 hadi April 2026 hatujalipwa pesa za kujikimu

    HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA KUNA UTAPELI MWINGI KWA VIONGOZI TUNAOMBA WACHUNGUZWE. Mimi ni mwajiriwa kada ya afya ni nurse by professional, niliajiriwa mwaka Jana lakini cha kushangaza Toka turipoti kazini ni mwaka sasa na miezi umepita hatujalipwa pesa za kujikimu. Tumekuwa tukifatilia...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Halmashauri ya Wilaya ya Siha, ajira ya Julai 2021 bado tunadai mshahara wa kwanza

    Baadhi ya watumishi walioajiriwa wilaya ya Siha mwaka 2021, hatukulipwa mshahara wa kwanza wa July 2021. Imepita miaka minne sasa unaenda mwaka wa tano. Tumeshaandika sana barua na kujaza fomu za kulipwa mshahara huo lakini hakuna majibu yoyote ya kuridhisha.
  20. M

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO nalia na nyie! Mmehalalisha wizi kupitia makato ya kodi ya pango

    Jamani, Tanesco, nalia na nyie! Mtatutoa roho nyie. Yaani mtu unanunua umeme wa shilingi elfu 20, unapewa umeme wa shilingi elfu 10? Hivi nyie mna matatizo gani? Iko hivi, juzi umeme kwangu uliisha usiku, nikasema ninunue umeme wa elfu 5, ukagoma. Nikajua labda pesa haitoshi, nikiongeza elfu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…