halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukigundua umeshachelewa kurekebisha inakubidi tu ujisogeze pembeni ukubaliane na hali halisi ya matokeo

    Ndio tayari umeshakuwa positive, kulia lia na kujifungia ndani kila siku haiwezi badirisha situation yako. Ndio tayari umeshazaa na kichomi. Kukaa kijiweni na kuwa diss kila siku wadada wa kileo haitabadirisha situation yako Ndio tayari umeshakuwa single mom. Kuwalaumu wanaume kila siku kwenye...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Meli vita za China zinafanya mazoezi halisi ya moto katika pwani ya Australia. Serikali ya Australia ijifunze yaliyoikuta Ukraine

    Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani. Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania? Chinese exercises 150km from Sydney Ikumbukwe kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ila wachambuzi wa Soccer wa bongo😂, mnakumbuka kipind kile Shaffih Dauda alikuwa anatuambia kuwa Rashford jina lake halisi ni Rashid na ni Mtanzania

    Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts. Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂
  4. JamiiForums Tanzania Hali halisi ilivyo Ajira portal: Hii ndiyo serikali ya CCM inayojinasibu kumwaga ajira kwa maelfu ya wahitimu

    Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
  5. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Majigambo ya waliojiita "wao ni wapiga kura halisi" wa Team Mbowe na eti Team Lissu ilikuwa na "wapiga kelele..."

    Huyu 👇👇jamaa anayejigamba hapa anajitambulisha kama Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bagamoyo. Haina shaka kuwa alikuwa "Team Mbowe..." https://youtube.com/shorts/ozPk6U2P45k?si=SZQVYkHgEETLKsf0 Jamaa alikuwa anajigamba na kujitapa kweli kuwa yeye "ndiye mpiga kura halisi" na wale wa upande ule...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Bado Yericko; Huenda kwa sasa kumtetea Mbowe ni hatari zaidi kuliko kulamba sumu kwa ulimi kilichompata Ntobi ni kielelezo cha nguvu halisi ya Lissu

    Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually) Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea Mbowe waziwazi kinaashiria tayari Mbowe si kiongozi tena Kwenye Ulimwengu wa roho(hapa watu wa Kiroho tu...
  7. JamiiForums Tanzania Soon tu aliyezaliwa 2002 hatokuwa mtoto tena

    HERI YA MWAKA MPYA 2025 aseeeeee siku zinaenda kasi sana. naona kizazi cha 90 nacho kishatoka kwenye enzi za utoto... na enzi za ujana zinaelekea kuisha kwa kizazi hichi chetu cha 90 sooon tuu hivi vidogo vyetu vya 1998,1999 ,2000,2001,2002 na hata 2003. navyo vitasema FINALY CHILDHOOD...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii ya kuku akiruka kutoka ghorofa moja hadi lingine ni halisi

    Nimeona video inayosambaa ikimuonesha kuku ameruka kutoka ghorofa moja hadi lingine huku watu wakisema kuwa kuku akiacha uvivu anaweza kufanya hivyo. Je, hii ni kweli?
  9. JamiiForums Tanzania Ipo siku mtakuja kunielewa kuwa CHADEMA sio chama halisi cha upinzani na top layer ya viongozi wa upinzani ni wa kwetu CCM

    PENGINE LISSU AMESHITUKIA HILO LIMCHEZO KONGWE NA ATATAKA SASA KUKIFANYA KIWE CHA UPINZANI HALISI CDM walioganda na Mbowe na kuona Lissu kugombea ni kama usaliti wajitafakari sana uelewa wao wa demokrasia ya kweli na kama wapo kwenye kundi la wadai katiba Mpya ya Tanzania basi Wakumbuke Kuwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya Uchawa/Upambe: ni derogatory term, ni matusi makubwa ya nafsi ya mtu/utu wa mtu

    definition ya wapambe /machawa ni watu wasiokuwa na tafakari, ni bendera fuata upepo. Hawana reasoning yoyote from higher mental faculties. Wanatumia matumbo yao kufikiri. Ni watu wa hovyo ambao wana very low level of thinking, especially RATIONAL THINKING!Hivyo mtu akikuita chawa, amekutukana!
  11. JamiiForums Tanzania Mbinu ipi inafaa kuwafunga vilabu vya kiarabu vinavyopoteza mda?

    Vilabu vya kiarabu hasa North Africa vimekuwa vya hovyo sana,naweza kusema wenye mpira mzuri ni Al Ahly tu, kupaki basi sio tatizo ni mbinu ya kujilinda hasa unapozidiwa,lakini kupoteza mda kuanzia kipindi cha kwanza ni ujinga, waarabu wanapenda kujiangusha angusha hata kama...
  12. JamiiForums Tanzania Na hii ndio maana halisi ya ule msemo wa kusema Mungu ni roho

    Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake. Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mitazamo hasi ya wanajamii mtandaoni na katika maisha halisi, huwasababisha wengine kutokuwa wakweli

    Baadhi ya wanajamii husababisha raia wenzao kushindwa kusema ukweli unaowahusu. Hii husababishwa na mtazamo hasi kutoka kwa jamii husika. Utakuta kwa mfano mtu anapitia changamoto fulani na angependa kuizungumzia ili kupata msaada au kuwasaidia wengine kujifunza; mtu huyo itambidi atumie nafsi...
  14. JamiiForums Tanzania Usiumize watu wenye mioyo halisi ya upendo

    USIUMIZE WATU WENYE MIOYO HALISI YA UPENDO : Unapowaumiza watu wenye mioyo halisi na ya upendo wa dhati Kwanza hautagundua matokeo yake mapema kwa yale maumivu unayo watia🥵🧐🥺 : Hawatanyanyua sauti zao juu kukupazia,Bali machozi na huzuni vitazuka ndani yao🤮🤫 Wala hawazusha kesi,wala kuleta...
  15. JamiiForums Tanzania Leo ndio nimejua jina halisi la Aunt Ezekiel

    Jina la kinyakyusa hili USSR
  16. JamiiForums Tanzania Umasikini ambao upo nchi za Africa ni umaskini bandia na sio umasikini unaotokana na Mazingira au umasikini halisi

    Umasikini ambao tunao katika bara la Africa ni umasikini bandia na sio kwamba unapatikana Kutokana na Mazingira. Katika post hii nitamui-invite ndugu Robert Heriel Mtibeli ambaye aliwahi kuzungumzia hili jambo . Umasikini - ni hile hali ya mtu kushindwa kukidhi mambo makuu matatu ambayo ni...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wananchi kupata elimu juu ya muonekano halisi wa vitambulisho vinavyowatambulisha Polisi

    Je, wananchi wanapaswa kutambua mounekano halisi wa vitambulisho vya jeshi la Polisi ili kuepuka hatari ya kutekwa na watu wasio julikana. Swali vitambulisho hivyo vinaonekanaje kwa mfano wa picha?
  18. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Teknolojia za Kisasa katika uokoaji: Funzo kutoka Matukio Halisi

    Utangulizi Majanga kama kuanguka kwa majengo, matetemeko ya ardhi, na moto yameendelea kuhatarisha maisha ya watu duniani kote. Katika nyakati kama hizi, uwepo wa teknolojia za kisasa unaweza kuwa tofauti kati ya kuokoa maisha na kupoteza maisha. Hata hivyo, hali inasikitisha kuona baadhi ya...
  19. JamiiForums Tanzania "Yanga ICU: Tafakari Jinsi Burudani Inavyotufumba Macho kwa Changamoto Halisi za Maisha"

    Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
  20. JamiiForums Tanzania Na huu ndio Uanaume Halisi (Karibu Kiumeni)

    Naam ni siku nyingine tulivu na angavu, ili uwe Mwanaume Halisi usiyeyumbishwa kaa hapa fuatana nami hadi mwisho 1: Chochote kile unachokifanya kujitenga na umasikini basi kifanye kwa weledi, Masikini hana dhamana, Masikini haaminiki popote pale, Masikini ni mtu wa malalamiko forever. 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…