halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Unapojenga nyumba ya kuishi fikiria sana mahitaji yako halisi, vyumba vitatu vinatutesa wengi

    kipindi hiki cha likizo, mimi kama mwalimu ili kupunguza zarau maana tunaonekana walimu ndio watu maskini na hatuna akili nchi hii,so kama kawaida likizo hii nimendelea kufanya biashara zangu za mazao na nimejikuta nipo zambia , hulka yangu napenda kudadisi na kujifunza vitu vipya...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati wa taifa kuhakikisha ukuaji wa uchumi unaendana na hali halisi ya maisha ya watanzania

    Utangulizi Uchumi, kwa maana fupi ni msingi muhimu wa maendeleo ya taifa. Tanzania inakadiriwa kuwa uchumi wake kwa mwaka 2022 utaongezeka hadi kufikia asilimia 5.5 % kutoka 4.9% ya mwaka 2021, kulingana na makadirio kutoka benki kuu ya dunia. " worldbank.org" (Tovuti ya benki kuu ya dunia WB)...
  3. JamiiForums Tanzania Historia Halisi yenye kusisimua kuhusu rapa Juice WRLD

    Whatsup! Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua. Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea kujuzana hata yale ambayo unayajua na humu sijaweza kuyaandika kwasababu sio rahisi maisha ya miaka...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Fatma Mwasa na Halima Dendego taswira halisi ya 'unamjua nani'

    Uteuzi wa wamama hawa wawili unadhihirisha tatizo kubwa la Mamlaka ya Urais wa Kisultani hapa Tanzania. Miaka yote Marais wetu wamekuwa wakigawa nafasi za URC na UDC kwa marafiki , maswahiba na hata wapenzi wao. Inachukia sana . Tabia hizi zilikuwa bayana wakati wa JK, zikaota mizizi kwa JPM...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa

    Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala yao, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa ya soko la ajira.
  6. L

    JamiiForums Tanzania “Fanya kazi halisi ili kutangulia mbele” - Rais Xi Jinping wa China

    Xi Jinping, Mwaka 1989 alipokuwa Katibu wa Kamati ya Chama ya Eneo la Ningde la Mkoa wa Fujian alishiriki kazi kijijini. “Maneno matupu yanaleta madhara kwa taifa, juhudi halisi zinastawisha taifa.” Siku 15 tu baada ya kuwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, Bw. Xi...
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli: Kiongozi wa mfano Karne ya 21

    Afrika na Dunia nzima inakiri kuwa Dr. JPM (Hayati) ndie kiongozi bora na mzalendo kwlikweli kuwahi kutokea katika karne ya ishirini na moja. Ni rais pekee aliyethubutu kutoa maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania. Katika awamu yake, alithubutu kukingia kifua raslimali za watanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Kesho viongozi wa simba wanakwenda kuitambua rangi halisi ya mashabiki wa Simba

    Sijaona kama wameliona hilo lakini kesho ndio kesho,mema yote yaliyofanywa kwa misimu mitano hayatahesabika kama simba atashindwa kufunzu final. Kila kitu kitaharibika na kuvurugika na kwasabau sioni dalili za simba kufunzu. Ziandaliwe propaganda mapema kwaajili ya demage control japokuwa...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mitaala ya shule ifundishe maisha halisi Ili kumfanya mwanafunzi kuyamudu maisha pindi arudipo mtaani

    Ni wazo langu kwamba Serikali iangalie mitaala yetu Ili kuwafundisha WATOTO maisha halisi Ili warudipo mtaani wasihangaike kutafuta ajira. Kwa mfano masomo ambayo yamechukua nafasi ya SoMo la sayansikimu ya miaka ya tisini kwa sasa ni butu kabisa kwa sababu WATOTO hawajui hata kufua na kupasi...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni thamani halisi ya mbususu?

    Habari za muda huu JF Leo mwenzenu nimekuja na swali, je ipi ni thamani halisi ya mbususu? Ipo hivi Dereva bodaboda ataila Mbususu ya mariamu kwa kuwa Mariam anataka offer ya hizo buku buku za Bodaboda akiwa anaenda kwenye kazi yake pale halimashauri. Akifika ndani kazini kwake atataka...
  11. JamiiForums Tanzania Mipaka halisi ya urusi ya Putin baada ya 1990 ni ipi?

    Ndugu zangu Wana jf mpaka leo wikipedia na vyanzo vingi vya mtandao vinaitambua urusi ile kubwa Kwenye ramani sasa swali langu mipaka halisi ya urusi ya sasa ni ipi? Naambatanisha picha kuonyesha urusi inavyotambulika Kwenye ramani
  12. JamiiForums Tanzania Maisha halisi nchini Marekani

    Habari JF leo Katika mada yangu kichwa tajwa hapo juu, Ningependa nishare nanyi Uzoefu wangu wa maisha ya marekani, maana nimeona watu wengi sana wakijadili namna watu wanavyoishi nje, ajabu kati ya mia, tano tu ndo wanaelewa maisha halisi ya marekani. Licha mimi huwa sipendi kuishi Marekani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kisiasa yasiyozingatia maslahi ya wananchi: Bulgaria ni mfano halisi, yaachana na gesi rahisi na kugeukia gesi ya bei kubwa!

    Huwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi. Kisa tu ni kuwa haikubali kulipa kwa ruble! Hawajali kuwabebesha mzigo mkubwa zaidi wananchi wao ili...
  14. JamiiForums Tanzania Plan halisi na zao linalotoka hutofautiana, sababu ziko nyingi

    Sababu kubwa ni mjengaji kumudu gharama. Kwanza fundi akiiona picha na ramani anakutajia gharama yake. Gharama anakutajia kwakuwa anaijua kazi na anaujua ugumu wake. Unaamua kumtafuta fundi Maiko mnaekewana. Umeshatoka nje yaoriginal plan. Fundi anakuambia double glazing ni bora, wala...
  15. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya kufunga Mkanda karne hii

  16. JamiiForums Tanzania Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

    Bujibuji Simba Nyanaume a.k a Deebo... mapafu ya Faru mbavu 109
  17. JamiiForums Tanzania Gharama halisi za kutoa gari bandarini, 2022

    Habari wakuu, Baada ya kupitia threads kadhaa zilizojaribu kuonyesha gharama halisi za kutoa gari bandarini, nimepata 'mawili-matatu' lakini bado kuna vitu vinanitatiza. Mchangiaji wa kwanza ameorodhesha; Shipping lines=150,000 Wharfage =115,000 Port charges =250,000 Plate number =30,000...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Tarehe halisi ya Ijumaa Kuu mwaka huu ni ipi hasa kati ya Aprili 8 na 15?

    Wakuu heshima mbele, Binafsi nilikuwa nataka kujiridhisha kwa usahihi zaidi ijumaa kuu ya mwaka huu na pasaka yake itakuwa tarehe ngapi hasa. Ikizingatia jumatano ya majivu ilianza tarehe 2/3/2022 na kwa mfumo uliozoeleka wa mfungo wa kwaresima huwa ni siku 40 na kwa hesabu hiyo ya siku...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuishi maisha yetu halisi tuache maigizo tutaumbuka

    Habari zenu wakuu. Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF. Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi ambao tuna pata kidogo lakin tunatumia kingi, nikimaanisha tunafanya saana anasa, hatuna tafakari...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unaanzaje kuwaza kuoa au kuolewa wakati hujui maana halisi ya ndoa?

    Hi, WanaJF nimeboreka nimekutana na bonge la ufufu, mdada kaniletea kadi ya harusi nikampongeza, ila nikampa swali bwagizi, Best ndio utaolewa je unafahamu maana ya ndoa, naomba majibu nione kama unafuzu ndoa. Katoa majibu mafufu matupu, nikapata fursa tena ya mtarajiwa mwenza nae kaleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…