hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kila siku kuna mtu anauawa au anajiua Njombe; nini mkakati wa Tanzania kudhibiti hali hiyo?

    Kasi ya watu kujiua Njombe ni kubwa sana kama ilivyo kasi ya wananchi kuwaua wenzao. Wengi wanadai ushirikina ni mkubwa sana na umepelekea hali hii kuongezeka. Kama tuliweza kuondoa mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi tunashindwa nini kuendesha msako wa kuwabaini wachawi? Naamini...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali Yatoa Tamko Hali Watanzania Nchini Israel

    Serikali imesema inaendelea kufuatilia kuhusu hali za Watanzania waliopo nchini Israel na kwamba taarifa zaidi zitatolewa pale itakapobidi. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 29, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi alipozungumza na wahariri na waandishi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Wakuu poleni na mapambano. sitaki niwapotezee wakati niende moja kwa moja kwenye mada. Kilio changu ni upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu mwaka 2023/2024 kumegubikwa na utata mkubwa kutokana na sababu zifuatazo 1.Account za waliokosa hazina notifications zozote kuwa kakosa...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Natumia hela katika hali zisizo rasmi

    Habarini wakuu, Kuna issue moja inaendelea kwenye maisha yangu na sihitaji kabisa kuichukulia kawaida ili isije kuniletea matokeo mabaya kwa ukubwa. Ipo hivi, picha limenza kwa mzunguko wa biashara yangu kusimama katika hali ambayo sio ya kawaida, Napishana sana na wateja na pia sometimes...
  5. JamiiForums Tanzania Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

    Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari. Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu wa Shule ya Gisela (Ukonga) tuna hali mbaya, hatulipwi mishahara wala malipo ya NSSF

    Mimi ni Mfanyakazi wa Shule ya Msingi Gisela N/P School (Private) iliyopo Kipunguni B Ukonga Ilala hapahapa Dar es Salaam, tunadai mishahara ya miezi 3 mfululizo, ya tangu mwezi wa 7 mpaka mwezi huu unaoenda wa kuwa wa 11, 2023. Sambamba na hilo tuna malimbikizo ya mishahara yetu ya nyuma tangu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Huduma na Mazingira katika Wodi No. 11 Jengo la Kibasila, Hospitali ya Taifa -Muhimbili hairidhishi

    Wodi namba 11 ni miongoni mwa wodi za wanaume zilizopo jengo la Kibasila katika Hospitali ya taifa Muhimbili (Upanga) Hali ya mazingira katika wodi hiyo sio nzuri 1. Sakafu ni chafu 2. Mashuka yamepauka 3. Vitanda vimechoka na vimepangwa kwa kusongamana 4. Vyandarua licha ya kuwa na rangi...
  8. JamiiForums Tanzania Mwakarobo Hali yao ni mbaya mpaka Sasa, sababu hizi kuwaacha uchi kesho

    Wamezoea kupenyeza ushirikina katikakati ya uwanja na kufukia uchawi lakini safari hii wale wanaowatumiaga wanajiita "makomandoo" uchwara wamepigwa marufuku kuingia ndani ya uwanja wakijifanya wanaulinda wakati tiyali uwanja una walinzi wake!!! Kitendo Cha kuifanyia marekebisho pitch ya uwanja...
  9. JamiiForums Tanzania Hii wiki hali ya mashabiki wa Yang ni mbaya kuliko maelezo

    hii ni wiki ya mateso,dhoruba,milipuko ya moyo na presha kupanda kwa mashabiki wa Utopolo. mashabiki wa Utopolo wanaumizwa na mafanikio ya Simba. kuna mmoja katangaza kwa uchungu kuachana na soka,tukio kubwa la soka Tanzania la uzinduzi wa michuano mikubwa Africa yeye kutokuwepo imemuuma...
  10. JamiiForums Tanzania Duh! hadi Putin anatembea na mkoba wa nyuklia, kweli hali mbaya

    Sio kawaida ya huu mkoba ambao unaitwa "Cheget" kuonekana hadharani, lakini imembidi Putin kutembea nawo baada ya kuhofia kamata yoyote kwa ajili ya ICC. ================== Russian President Vladimir Putin has been filmed in Beijing following his meeting with Chinese leader Xi Jinping –...
  11. JamiiForums Tanzania Hali ya SGR ni mbaya na mradi haujulikani utakamilika lini

    Kampuni ya Yapi Markezi haina uwezo tena wa kifedha kuendeleza huu mradi na ni wazi kuna mambo yanafichwafichwa sana juu ya nini chanzo na nani yuko nyuma ya hili jambo baya kabisa kuwahi kutokea. Yaani hela za mradi zimeibwa halafu tunakwenda kukopa nyingine kufidia zilizoibwa!. Mradi huu una...
  12. JamiiForums Tanzania Utajiri wako na hali nzuri ya maisha unayojisifu nayo si lolote kama jamii inayokuhusu ni masikini na fukara

    Fikiria huko sehemu na jamaa zako mkila bata alafu jamaa fulani amnong'oneze mwenzake "unamuona huyo jamaa! kwao ni masikini wa kutupwa". Au umekaa sehemu za ushuani kama "masaki" ukiwa na marafiki na wewe unaishi mbagara japo umejenga mjengo wa maana mbagara (ghorofa) alafu wakati...
  13. JamiiForums Tanzania Leo nimekumbuka sana maisah ya chuo,kinachozunguka kichwani mwangu viongozi wa wanafunzi(CCM wings) wapo kwenye hali gani?

    Maisha ya chuo yanaraha na karaha zake bhana yani ni sawa pepo na dunia unaishi muda mchache maisha magumu then unaambiwa bata lipo peponi unaishi katika uzima wa milele,naamini kabisa kwa mliosoma DODOMA UNIVERSIT -UDOSO sio kitu kigeni yaani mashauzi mengi na hasa mawaziri wa fedha(wanajiona...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mabadiliko ya hali hewa?

    Hapo zamani, sababu za asili, kama milipuko ya volkano na El Niño, zilisababisha kushuka kwa joto na mvua. Kilicho kipya, ni ushawishi wa wanadamu juu ya mabadiliko ya hali ya hewa. Tunaendesha magari yetu, tunapasha moto nyumba zetu wakati nje ni baridi, na tunatumia nishati kupika. Shughuli...
  15. JamiiForums Tanzania Watembea kwa miguu wanagongwa sana na bodaboda Mbagala Rangitatu na Zakhiem Dar es salaam, hali ni tete. Polisi wa usalama barabarani tusaidieni

    Ninaliomba jeshi la polisi usalama barabarani Dar es Salaam ikiwezekana wote mpige kambi kwa siku mbili eneo la Mbagala ili mdhibiti hili kundi la bodaboda wahalifu, ninaposema wote najua bodaboda ni wajeuri hawazuiliki. Tatizo ni nini, tatizo lililopo ni uhalifu unaotokana na madereva wa...
  16. JamiiForums Tanzania Hali ya Usafiri wa Mwendokasi Mbezi Luis asubuhi ya leo ni shida kama zote

    Ndugu zangu wana JF hii video ni ya leo asubuhi katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Luis, yaani kimekuwa na changamoto ya uhaba wa magari asubuhi ya leo Oktoba 16, 2023. Foleni imekuwa kubwa ya abiria kusubiri mabasi, wapo ambao wamelazimika kusubiri mabasi hayo kwa saa tatu. Upande wa...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa, Lazima walio watu wengi waipende 🇹🇿

    Kwa tunaofuatilia maisha ya mwanadamu, tunajua pasi na shaka kuwa dhambi ni asili kwa wanadamu wote. Na hiyo ndiyo sababu kila siku tunafundishwa kutenda mema. Ukiangalia yanayoendelea nchini na duniani kwa ujumla, utaona kuwa dhambi inashamiri kwa kasi kubwa sana kana kwamba imemwagiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii unadhani vizazi vya ufuska na maadili mabovu vitapungua?

    Vitu kama hivi mfanyie bwana yako mkiwa wote faragha, sio mbele za mtoto wenu na mna post jamii inaangalia, hata huyu mtoto akikuwa atakuwa akiona hii picha kupelekea EITHER kumtia aibu mbele ya wenzake OR kuona kufanya uchafu mitandaoni ni kawaida kwa maana hata baba na mama walifanyaga hivi...
  19. JamiiForums Tanzania Afrika tunaomba Mungu wa Israel atulinde. Israel inalindwa na mitambo ya teknolojia ya hali ya juu kuzuia mashambulizi ya anga

    Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui. Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndio hali halisi ya mambo huko Nachingwea

    Huku viongozi wa Nchi wakiendelea kusafiri na Mamia ya Wapambe kwa gharama za kutisha, huko Kwao Nachingwea hali ndio kama mnavyoiona. Tunashauri kwamba badala ya viongozi kusafiri na Umati wa Chawa wao , ni vema chawa hao wakapunguzwa ili hela itakayookolewa irekebishe umasikini huu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…