hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Marekani Wanafanya Mashambulizi Makubwa ya Maangamizi Ndani ya Iran Muda Huu. Hali Inatisha Sana

    Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭 Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani yaishambulia Iran kijeshi na kuweka vikwazo vipya vya mafuta, hali yachafuka Mashariki ya Kati

    Wakuu, hali ya usalama duniani inazidi kuwa ya wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za hivi punde kutoka Mashariki ya Kati. Jeshi la Marekani kupitia Kamandi yake Kuu (CENTCOM) limethibitisha kufanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya maeneo ya kimkakati nchini Iran (ikiwemo Bandar Abbas na...
  3. JamiiForums Tanzania Ukifikisha miaka 80 utakuwa katika hali gani?

    Ipi kwako ni jibu sahihi, ukifikisha miaka 80? Afya imara Utajiri wa kutupa Umasikini wa kutupa Huwezi kutembea Ukiishi kijamaa Ukiishi kibepari Utakuwa umetengwa Utakuwa umekufa Ukifurahi na wajukuu na vitukuu Utaonekana mchawi Utakuwa ombaomba Utatubu dhambi zako zote ulizofanya katika maisha...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Huko kwenye viwanja vya Saba Saba hali ikoje?

    Vipi huko kwenye viwanja vya Saba Saba nini kinaendelea? Maonyesho yanaendelea ? Majibu tafadhali
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia awajulia hali Pacome Zouzoua wa Yanga na Mlezi wa ACT Wazalendo, Sheikh Rashid Hamad Othman

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam. Akiwa hospitalini hapo Rais Dkt...
  6. JamiiForums Tanzania Kila mtu amechoka na hali ilivyo na hakuna mtu ambaye anafurahia lakini tusiichome nchi yetu wanaoumia tena ni sisi

    Jeshi la Polisi Tanzania limefichua kuwepo kwa mipango ya siri ya vikundi vya watu wachache wanaotumia mitandao ya kijamii kuhamasisha vurugu, vifo kwa viongozi na wananchi, pamoja na mpango wa kushambulia askari ili kupora silaha kwa lengo la kuvuruga amani ya nchi. Katika taarifa rasmi kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Tumeweka askari wa kutosha sana Mtaani, hali hiyo itaendelea mpaka tutakapoona tarehe iliyopangwa tumepita kwa Usalama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa kama watu wanazo taarifa zinazoashiria uvunjivu wa amani ni...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi hii hali inawapata hawa gen zee wala kiepe?

    Nikiwa nje ya mkoa kikaz bibi anabaki darisalama. Ikiwa nimekata mwezi mzima bila kukutana na bibi enu najikuta kuna muda napata ashiki hata niking'ang'ania nguzo ya umeme namwaga wazungu. Na vilevile mida ya asb kama saa Kumi na moja wazungu wanamwagika kama balaa. Nikawa najiuliza kwa kula...
  9. JamiiForums Tanzania Hali yangu baada ya kujibiidisha na kusoma na kufuatilia makala za kifalsafa

    Habari wanajf. Najihisi kuwa na furaha na amani tele.Nimejikuta ninaOVERCONFIDENCE hatari mbaya kabisa😀😀😀. Sielewi ni kwanini ila nametokea kuwa mpenzi wa makala na maandiko ya wanafalsafa wale watukutu,RADICALS. Baada ya kukutana na vitu ambavyo nimekuwa najiuliza maswali na kukosa majibu...
  10. JamiiForums Tanzania Nani wako nyuma ya hizi ID mpya hapa JF maana zinapost non-sense za kiwango cha juu sana

    Kila siku kuna ingizo jipya Nani yuko nyuma ya hizi ID au ni mpango maalum wa kupoteza maboya decoy NB : Jf is threat to the throne
  11. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

    cha kushangaa ili ionekane ni offside anaonyenyeshwa mwenye jezi no. 9 wakati kule mwisho kuna mchezaji mwingine wa Misri. Jamani hii offside kivipi au mimi ndio sioni au sijui? Wachambuzi karibuni mnieleweshe hapa mana tutakesha. Nashukuru sana naona media kubwa imeona kama nilivyoona mimi...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi mnajua hii hali kunyamaziana kujifanya tunalinda 'brand' tunapoteza watu sahihi sema tu hatujui?

    Mimi na demu wangu wote tunalinda brand hakuna anayemtafuta mwenzie tunaishi kuangalia status😂😂🙌 dah kweli hapa za kichwa tu vp wewe ndugu yangu hali yako uko…
  13. JamiiForums Tanzania WATU WENYE UCHU MKUBWA WA NGONO MNAPAMBANA VIPI NA HALI HIYO

    Wengi wanapunguza uchu wa ngono kwa kujichua mara kwa mara au tendo la ndoa. wengine wanapendekeza kuoa mtu mwenza mwenye uchu kama wako. Baadhi wanashauri kufanya mazoezi au kununua vifaa ngono (sex toys).
  14. B

    JamiiForums Tanzania Je, serikali yatangaza hali ya dharura kuelekea tarehe 7/7 (Sabasaba)?

    26 June 2026 Dodoma, Tanzania Kupitia bunge la chama kimoja mjini Dodoma waziri wa mambo ya ndani atangaza hali yadharura? https://m.youtube.com/watch?v=W4nFM7gRgKs Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amemuelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura, kusitisha kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo aisee sitamshangaa wala kumbeza mtu anaejiunga na freemason!

    Ndio hivyo wakuu maisha yamekuwa magumu mno aisee! Hamna hata chembe ya tumaini!
  16. JamiiForums Tanzania Mchango wangu juu ya hali ya Tanzania hasa kipindi hiki kigumu.

    Nimejaribu kumsikiliza professor Tibaijuka ambaye anafanya constructive criticism juu ya mambo mbalimbali nchini pia kufuatia hali ya nchi sasa ilivyo nimekuja na mtazamo wangu binafsi. 1.Nchi yetu sasa hivi imeparanganyika .Hakuna ukaribu kati ya wananchi hasa tabaka la chini na watu wa tabaka...
  17. JamiiForums Tanzania Kutamani Dunia ifike mwisho, Nani mwingine aliwahi pitia hali hii?

    Habari, za muda huu ndugu zangu wana JF. Kwenye maisha, kuna mambo mengi tunapitia mazuri na mabaya. Naamini sio wote tumewahi pitia mambo magumu kiasi cha kutamani kufa au Dunia ifike mwisho kulingana na sittuation ya wakati huo. Binafsi nimewahi pitia vipindi viwili vingumu sana kwenye maisha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kama hali itakwenda kama hivi, chaguzi za 2029 na 2030 zitakuwaje?

    Najaribu kufikiri kidogo hapa. Hali ikiwa kama hivi ilivyo mpaka 2029 na 2030, unafikiri chaguzi ztafanyikaje na hali itakuwaje kitaifa na kimataifa?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hali ya biashara huko kwenu ipoje.....

    Najiuliza tu kwa mikoa mingine huko Hali ipoje ndugu zangu. Sisi huku tunaangalia tu madukani . Tunajihoji ni mkoa wetu tu au na huko hali ipoje.
  20. JamiiForums Tanzania Madhara makubwa zaidi ya bawasiri ni hali ya bawasiri kubadilika na kuwa seli Za KANSA

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…