Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,710
- 63,393
Ipi kwako ni jibu sahihi, ukifikisha miaka 80?
- Afya imara
- Utajiri wa kutupa
- Umasikini wa kutupa
- Huwezi kutembea
- Ukiishi kijamaa
- Ukiishi kibepari
- Utakuwa umetengwa
- Utakuwa umekufa
- Ukifurahi na wajukuu na vitukuu
- Utaonekana mchawi
- Utakuwa ombaomba
- Utatubu dhambi zako zote ulizofanya katika maisha
- Nitaendelea kutafuta hela
- Nitakuwa muhubiri wa mambo ya imani/injili
- Nitakuwa mbishi na mjeuri