Inatokea Rais samia, nae akaguswa na tonetone la chadema, akaamua kuchanga hata million 50,
Je chadema watapokea huo mchango?
Je watanzania wataona ni njia kuelekea maridhiano?
Je kweli Rais anaweza kuwachangia chadema, au ni jambo lisilowezekana
Mpira naurudisha kwenu ma great thinkers...