Hali ya maisha ni ngumu kuliko tunavyodhani

tekman

New Member
Joined
Aug 13, 2026
Posts
2
Reaction score
26
Leo nimeenda zahanati ya serikali bhana. Nikaandikiwa vipimo nilivyotakiwa kupima, nikapewa bili ya Sh16,000. Nikalipia na kwenda maabara. Huwezi kuamini, maabara wamechukua mkojo na damu, lakini walichopima ni malaria pekee.

Ningeenda hospitali binafsi, vipimo hivyo ningetumia hata Sh6,000 tu. Guys, huku ground hali sio nzuri, ngo'ombe tunakamuliwa haswa.

NB: Kuna wale walala hoi mnapenda kusema Sh16,000 nayo ni hela ya kulalamikia. Issue sio kiasi cha pesa, issue ni utajisikiaje ukipanda daladala kutoka Nyegezi hadi NATA, ukaambiwa nauli ni Sh50,000? Utalipa kwa moyo mkunjufu?
 
Hakika utajisikia vibaya na utakuwa na mawazo mengi,utajiuliza maswali mengi bila majibu hadi utatamani kulipiza kisasi.:ReallyMad: Usipokuwa makini presha inaweza kupanda au ukapasuka aorta.
 
Leo nimeenda zahanati ya serikali bhana. Nikaandikiwa vipimo nilivyotakiwa kupima, nikapewa bili ya Sh16,000. Nikalipia na kwenda maabara. Huwezi kuamini, maabara wamechukua mkojo na damu, lakini walichopima ni malaria pekee.

Ningeenda hospitali binafsi, vipimo hivyo ningetumia hata Sh6,000 tu. Guys, huku ground hali sio nzuri, ngo'ombe tunakamuliwa haswa.

NB: Kuna wale walala hoi mnapenda kusema Sh16,000 nayo ni hela ya kulalamikia. Issue sio kiasi cha pesa, issue ni utajisikiaje ukipanda daladala kutoka Nyegezi hadi NATA, ukaambiwa nauli ni Sh50,000? Utalipa kwa moyo mkunjufu?

Hapa naona kuna mambo matatu.

Moja umelalamika Bei.
Pili kwanini wakupime Malaria pekee wakati wamechukua na mkojo.
Na tatu umehoji hali ni ngumu na serikali inaamkandamiza wananchi wake isivyo haki na hali ni ngumu mtaani.

Turudi kwenye hoja ya kwanza na ya pili.
Una uhakika kwenye Cheti chako hakuna majibu ya urinalysis?.
hiyo damu wamechukulia mshipa mkubwa wa mkonon au kidoleni?.
Usikute wamekupima FBP ambayo ni 5k kwa zahanati nyingi.
Wakapima malaria 3k.
Wakapima VDRL ambayo huwa 5k na UTI na Gono kwa mkojo ambayo ni 3k.

ila majibu yakaja kuwa ni Malaria.
Angalia kwa makini Cheti chako.

Private ni gharama zaid. damu na mkojo haiwezi kuwa 6k.
 
Mkuu damu ivyo ndo vipimo uliambiwa umepimwa una uhakika?
1. Wahudumu walitakiwa walau wamweleze/wamjulishe/wamweleweshe. Hiyo pengine ingelimfanya ajisikie vizuri kwani atajua -pamoja na vipmo vingi alivyopimwa, ni malaria tu ndo imeonekana.
2. Mhusika angejipa ujasiri wa kuuliza Wahudumu kama alikuwa na shaka na kilichoendelea.
3. Wahudumu wa Afya mara nyingi huwa na majibu ya mkato sana kana kwamba Ugonjwa ni kosa la Mgonjwa na hakustahili kufika hapo zahanati/hospitali -hawana muda wa kuongea na kumsikiliza mgonjwa.
Aidha baadhi ya wagonjwa wanaweza kuuliza kitu ambacho kiko bayana(wazi) na kusababisha ucheleweshwaji wa kutoa huduma kwa wagonjwa wengine.
 
Hapa naona kuna mambo matatu.

Moja umelalamika Bei.
Pili kwanini wakupime Malaria pekee wakati wamechukua na mkojo.
Na tatu umehoji hali ni ngumu na serikali inaamkandamiza wananchi wake isivyo haki na hali ni ngumu mtaani.

Turudi kwenye hoja ya kwanza na ya pili.
Una uhakika kwenye Cheti chako hakuna majibu ya urinalysis?.
hiyo damu wamechukulia mshipa mkubwa wa mkonon au kidoleni?.
Usikute wamekupima FBP ambayo ni 5k kwa zahanati nyingi.
Wakapima malaria 3k.
Wakapima VDRL ambayo huwa 5k na UTI na Gono kwa mkojo ambayo ni 3k.

ila majibu yakaja kuwa ni Malaria.
Angalia kwa makini Cheti chako.

Private ni gharama zaid. damu na mkojo haiwezi kuwa 6k.
Ni kweli Private siku zote ni gharama kubwa-ukizingatia Huduma Private imekaa kibiashara zaidi; na biashara lengo mahsusi huwa ni kupata Faida.
 
Back
Top Bottom