Hali ya umeme ikoje huko kwako uliko..???

Hali ya umeme ikoje huko kwako uliko..???

General Nguli

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
1,275
Reaction score
2,642
Huku kwetu NGERNGER MOROGORO BADO TUNA TESEKA SANA NA TATIZO LA UMEME BILA TAARIFA WALA MAELEZO YOYOTE.

BADO TUNAISHI GIZANI KAMA ZAMA ZA MAWE.
MAREKEBISHO NI JIBU FUPI TANESCO NDILO WANALO JIBU.

HAWANA MUDA WALA SAA MAALUMU NA BILA KUJALI WAO WANA SITISHA HUDUMA VILE WAONAVYO.
 
Tanesco hawajali maumivu ya mteja. Kila kukicha wanazidi kutuungishia vifaa vyetu na hawaoni kama ni tatizo.
 
TANESCO NJOONI HAPA, MNA UPUMBAVU SANA. ILA WAACHE WATU WAUZE MAJENERETA NA SOLA BHANA
 
H
Labda wako katika hatua ya kuchanneli upya mifumo ya umeme. Tuwape muda
HUU NI MWAKA WA 10 NGERENGERE MOROGORO haijawahi tokea umeme ukawaka siku saba mfululizo masaa 24.

Wao watakujibu tunarekebisha mitambo na tunakata Umeme
 
HILI NI JUKWAA LA KUSEMEA UKATIKAJI NA UPATIKANAJI WA UMEME HUKO ULIKO
 
Huku kwetu NGERNGER MOROGORO BADO TUNA TESEKA SANA NA TATIZO LA UMEME BILA TAARIFA WALA MAELEZO YOYOTE.

BADO TUNAISHI GIZANI KAMA ZAMA ZA MAWE.
MAREKEBISHO NI JIBU FUPI TANESCO NDILO WANALO JIBU.

HAWANA MUDA WALA SAA MAALUMU NA BILA KUJALI WAO WANA SITISHA HUDUMA VILE WAONAVYO.
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie taarifa zifuatazo kwa msaada zaidi,
Jina
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Kitu maarufu karibu na wewe
Namba ya nyumba
TANESCO Huduma Kwa Wateja
SIMU: 180
WhatApp: 0758346869.^MY
 
H

HUU NI MWAKA WA 10 NGERENGERE MOROGORO haijawahi tokea umeme ukawaka siku saba mfululizo masaa 24.

Wao watakujibu tunarekebisha mitambo na tunakata Umeme
Serekali ya mtaa/kijiji wao wamefuatilia,
 
Back
Top Bottom