Kijana niko Dar natafuta kazi

Kijana niko Dar natafuta kazi

NoReformNoElection NoReformNoElection NoReformNoElection NoReformNoElection NoReformNoElection NoReformNoElection NoReformNoElection
 
Kijana niko dar natafuta mishe mimi sichaguii kazi ni kazi hata shamba nakaaa namba yangu 0685059306 mwenye kibarua tusaidiane na mungu awabariki sana
Mwenyezi Mungu akufungulie milango katika juhudi zako.
 
Mungu akuonekanie upate kazi na ukisha PATA kazi Fanya Kwa bidii maana sio kwamba kazi hamna ila hamuajiriki kijana. Ukipata kazi unataka uishi kama aliekuajiri, uendeshe gari nzuri ulale nyumba nzuri uwe na dem mzuri gafla tu hizo tamaa zinakufanya unaiba.

Omba Mungu kuwa mwaminifu utapata kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom