haki

  1. JamiiForums Tanzania Maridhiano bila haki ni ubatili, tena ni ubatili mtupu!

    Kuna mkanganyiko mkubwa unaoenezwa kwa makusudi katika mjadala wa kisiasa nchini Tanzania kuhusu dhana ya maridhiano. Neno hili linatumika kana kwamba ni suluhisho la kila tatizo la kitaifa, bila kuzingatia misingi ya kisiasa, kisheria, na kimaadili inayopaswa kulitangulia. Kwa mtazamo wa...
  2. JamiiForums Tanzania Yanatafutwa maridhiano kati ya nani nani? Nani alidhulumiwa haki zake?

    Hili ndio swali kubwa la msingi linalopaswa kujibiwa. Maridhiano kati ya nani nani? Nani aliddhulumiwa mpaka marudhiano yatafutwe? Bila kuwekwa wazi kuwa wapo waliodhulumiwa haki zao za msingi na waliodhulumu wakakiri wazi kuwa walifanya makosa itakuwa ngumu kufika mwisho.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi ya amani, serikali isikilize kilio cha haki kwa raia wake. watu wakichoka kukemea mitandaoni kitachofuata ni vikundi vya "TIT FOR TAT"

    Tunakoelekea sasa tunaweza kuja kushuhudia Tanzania ambayo hatujawahi kuvidhania kabisa.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Godfrey Lema: Mzee Edwin Mtei hakuanzisha Chadema kupata madaraka, bali haki na heshima na utu wa watanzania

    CHADEMA Arusha. Kuna nyakati historia huwaita watu wake si kwa maneno, bali kwa dhamira. Jumamosi tarehe 24/01/2026, Tengeru Arusha haitakuwa tu mahali pa mazishi ya Mzee Edwin Mtei, itakuwa mahali pa kuhoji dhamiri zetu kama wanachama wa CHADEMA. Mzee Mtei na wenzake hawakuanzisha CHADEMA kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea. Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hatufanikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na haki ili taifa likae sawa ni kukosa hoja ? Mbowe bado kibaraka wa CCM

    Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani. Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
  7. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku na Wazee Wakizungumza Juu ya Haki, Umoja na Amani Kwa Watanzania Muda Huu

    https://www.youtube.com/live/C6io6iky7I0
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Ubelgiji kuendesha kesi Mauaji ya Patrice Lumumba, familia yadai haki

    Familia ya kiongozi wa uhuru wa Congo, Patrice Lumumba, imesema kuwa bado ina matumaini ya kupata haki, wakati mahakama ya Ubelgiji ikizingatia uwezekano wa kumfikisha mahakamani mshukiwa pekee aliyesalia hai kuhusiana na mauaji ya mwaka 1961. Kwa takribani miaka 15, familia ya Lumumba imekuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilianza kuvunjwa, je ni amani au haki ?

    Serikali, wengi wa wana CCM na baadhi ya watu,, wamesimamia upande mmoja tu. Kutuambia tudumishe amani., amani, amani na hawana neno jingine angalau la tofauti. Wapinzani, wanaharakati, na wadau baadhi, wamesema wanahitaji amani inayoambatana na haki. Angalau wao, wanaona mambo yote mawili...
  10. JamiiForums Tanzania Haki na amani: Mifano inayotolewa haifanani na hali halisi

    Wanajamvi; nimeamka nikaona niseme kidogo. Kumekuwa na matukio mawili ambayo yamekuwa yakielezwa kama kigezo cha taswira njema kwa yaliyotokea nchini mwetu wakati na baada ya uchaguzi. Matukio hayo mawili ni fainali za AFCON25 na uchaguzi wa Uganda. 1. Katika fainali za AFCON, watu humu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku awaita wazee kujadili amani, haki na maendeleo

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Foundation) imeandaa mkutano wa mazungumzo kuhusu amani, umoja, haki na maendeleo ya watu, mkutano unaotarajiwa kufanyika Alhamisi ya Januari 22 mwaka huu (2026) Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Januari 19.2025...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Senegal wametukumbusha umuhimu wa haki dhidi ya amani.

    Siku zote haki imekuwa ikitajwa kuwa inatafutwa, inapiganiwa. Huwezi kuletewa kwenye sahani. Kitendo cha kupinga dhulma, hatimae kikaleta maridhiano. Na mechi ikaendelea. Wameacha funzo kubwa hasa katika medani za siasa, maalum kwa Tanzania ambao tunapiga kelele za amani bila kujali haki...
  13. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watetezi wa Haki za Binadamu Uganda wataka tume ya uchaguzi kutoa ufafanuzi video ya tovuti inayoonyesha Matokeo Mgombea Bobi Wine kushinda urais

    Watetezi wa haki za binadamu wanaounda mtandao wa NUPUSA (Network of Public Interest Lawyers and Human Rights Defenders in Uganda) wameeleza wasiwasi mkubwa kufuatia taarifa zinazohusishwa na Mbunge wa Upinzani wa Jimbo la Kawempe North kuhusu kuwepo kwa tovuti ya mtandaoni ya matokeo ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mnyika: Vijana watumie nguvu yao kutetea haki na kuleta mabadiliko

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekichambua kizazi cha vijana (Gen-Z) kama silaha kuu na yenye nguvu zaidi katika harakati za kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini Tanzania, akitaja sifa tatu za kipekee zinazowafanya kuwa mstari wa mbele. Akizungumza leo...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Sauti, Maumivu na Machozi ya Haki

    Ee Mungu wa Haki na Amani ya kweli. Tunakupigia magoti. Ninakupigia magoti. Ninasujudu mbele yako ewe Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo. Ewe mwenye mamlaka pekee ya kutoa na kutwaa uhai wa mwanadamu uliemuumba. Taifa letu limepitia maumivu makali yasiyoisha wala kusahaulika katika uso...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji na Mbunge wamliza bibi ni kuhusu ghorofa lililopo Kariakoo, aomba Serikali Kuu imsaidie apate haki yake

    BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia. Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wametakiwa waheshimu na kulinda amani. Lakini viongozi walioko madarakani wao wanavunja katiba na sheria haki za kibinadamu.

    Amani imetafsiliwa na viongozi walioko madarakani ni. ▪︎ kutokuwepo kwa migomo au maandamano ya kupinga ama kukataa jambo lolote. Iwe kwa watumishi wafanyakazi,wafanya biashara na wakulima. ▪︎ kutokuwepo kwa mawazo au fikra huru tofauti wala kuhoji kosoaji jambo lolote. ▪︎ kutokuwepo kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Inachekesha sana Trump kashindwa kupambana na waandamanaji wanaodai haki eti yupo na Wairan

    Inachekesha sana Rais Trump. Kashindwa kuwapa haki wamarekani ambao wanafanya maandamano makubwa katika miji ya Marekani baada utawala wa Trump kuwakandamiza. Trump anasema anawalinda waandamaji wa Iran😀 https://x.com/haiderali099/status/2011674805972701583?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  19. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Huduma kwa mwananchi si hisani, ni haki kwa kuwa amelipa kodi

    Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha Watendaji Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya pamoja na watumishi wa sekta ya afya wa Mkoa wa Dodoma Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa Kutoa huduma kwa wananchi si kitendo cha hisani, ni Haki kwakuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mchinjita: Wananchi wawe wa kwanza kulinda haki zao sio viongozi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, ametoa wito kwa Watanzania kutokubali kukata tamaa kufuatia matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa silaha kubwa ya "mkandamizaji" ni kuuvunja moyo na mtazamo wa wanaokandamizwa. Akizungumza jana, Januari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…