haki

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaopinga Serikali ya Rais Samia wapo wengi tofauti na matarajio yake kama Rais Mpenda haki na usawa

    Ni miezi michache tu tangu bibi yetu achukue kijiti hiki.Mwanzoni alionekana kukubalika saana hasa na wapinzani na wenye mlengo tofauti na aliye kuwa rais wakati huo. Lakini hali imebadilika ghafla na kila mmoja wetu ana hofu nna mashaka juu ya hatima ya kesho. Wengine wanajaribu hadi kumpinga...
  3. JamiiForums Tanzania Nyanja za haki za binadamu

    Kwenye Nyanja ya Haki za binadamu. Kila binadamu ana haki ya kupata huduma za kilazima kama maji,Chakula na mahala pakuishi lakini kila binadamu ana haki ya kupata huduma za Ki afya pindi anapohitaji huduma hizo l #StoriesOfChange #CitizenJournalisim Lakini pia kila binadamu ana haki ya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Haki za Binadamu na Utawala Bora

    HAKI ZA BINAADAMU. Haki za binaadamu zinajumuisha mahitaji yote ya muhimu/stahiki za kila binaadamu pamoja na sheria maalumu za kumlinda na kumpa muongozo binaadamu yeyote katika utekelezaji wa maamuzi kulingana na mazingira au utaratibu wa maisha. Baada ya kuona umuhimu wa kila binaadamu ipo...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Kuna mama aliolewa na mume wake kwa ndoa ya kanisa katoliki,wakazaa na mumewe watoto wawili, then mume wake akamuacha kwao (kwa kina mwanaume) mume alipomaliza chuo hakurudi kumchukua mkewe, akaenda kuishi wilaya nyingine na mwanamke mwingine akazaa nae watoto. Baba mkwe baada ya kujua mwanae...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Sifa yetu mbaya kwenye utoaji wa Demokrasia na Haki za Raia ndio zitapunguza idadi ya watalii nchini

    Tunapoteza mabilioni kutembeza msafara wa rais nchi nzima kutangaza vivutio vyetu vya utalii!? Tumesahau kwamba utangazaji wa vivutio vya kitalii ni fani inayofanywa na wenye weledi mkubwa na pia watu wenye kukubalika duniani sio kwa madaraka yao bali kwa moral authority yao. Ni vizuri rais...
  7. JamiiForums Tanzania Taliban yatawanyisha maandamano ya Wanawake kudai haki

    Maafisa wa Taliban wamevunja maandamano ya Wanawake kadhaa huko Kabul. Imeelezwa Wanawake hao walikuwa wanadai Haki ya kufanya kazi na kujumuishwa kwenye Serikali. Kundi hilo limesema mabomu ya machozi yalifumika kuwasambaratisha wakati wakijaribu kutembea kwenda Ikulu ya Rais. Huu ni...
  8. JamiiForums Tanzania Haki huinua Taifa na kuleta upendo

    Usiku huu nimeshindwa kuomba! Nimejikuta nikitokwa na machozi! Si machozi ya huzuni wala si machozi ya furaha! Ni machozi ya mshangao nikimshangaa Mungu! Nilikuwa nikitaka kuwaombea baadhi ya viongozi akiwemo Rais mpya wa Zambia! Ilipofika zamu yake nihimizwa moyoni kuwa niangalie kwanza taarifa...
  9. JamiiForums Tanzania Haki iliyocheleweshwa inamuumiza Mbowe

    Wapenzi na mashabiki wa soka, wanajua ikitokea timu imeshinda huku timu pinzani ikicheza kwa kasi na kiu ya kubadili matokeo, delaying tactic hutumiwa na timu inayofaidika na matokeo ya wakati huo, na huwa kawaida mwamuzi hutoa adhabu kwa wanaochelewesha mchezo. Ikitokea wachezaji wa timu iliyo...
  10. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

    Gwiji la siasa za Mageuzi Nchini Tanzania Freeman Mbowe, ama Mtemi Isike, Laingwanan au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, sasa anatajwa kama ndiye mpigania haki, demokrasia na uhuru anayeheshimika zaidi barani Africa, wachunguzi wa siasa za dunia wanamuweka Mbowe juu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi alitembelea nyota ya Dkt. Magufuli, hana uwezo nje ya dola na mbele ya msingi wa haki

    Mhe. Lukuvi awamu iliyopita alikuwa anazunguka na kutoa amri zakufuta hati kila siku huku akiwatetemesha makampuni ya upimaji wa ardhi yakimbizane na deadlines. Alionekana Kama anajua kazi yake na ana uwezo wakusimamia kazi ikaenda. Leo hii ameondoka aliyekuwa bosi wake na yeye amepotea Kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania TAMWA: Vipigo hupingana na Haki za Binadamu

    Utafiti wa viashiria vya afya (TDHS 2015/2016) ulibaini kuwa asilimia 58 ya wanawake na 40 ya wanaume wanakubali kwamba ni sahihi mume kumpiga mke kwa sababu mbalimbali Tafiti hizi zinadhihirisha wazi, kuwa jamii inahitaji elimu zaidi ya kufahamu madhara ya upigaji ni kupingana na haki za...
  13. JamiiForums Tanzania Mahakama ya haki ya Afrika: Wagombea huru ruksa nchini Tanzania

    Ile kesi ya mda mrefu ilieanzishwa na Mchungaji Mtikila imepatiwa ufumbuzi na Sasa serikali ya Tanzania inatakiwa iruhusu Wagombea huru kwenye chaguzi zetu ikiwemo wa uraisi === Baada ya Mahakama ya Rufani mwaka 2009 kutengua uamuzi wa Mahakama Kuu uliotamka kuwa wagombea binafsi wana haki ya...
  14. JamiiForums Tanzania Nchi hii Hakuna Daraja la Kwanza wala la pili. Wote Wana haki Sawa

    Kwema Wakuu!! Moja ya mambo ambayo yananikera, yananifanya nisiishi Kwa Amani, nisiishi Kwa furaha ni kuona kundi Fulani linanyanyaswa. Kwa kweli katika vitu navichukia kuliko vyote ni kuona uonevu, unyanyasaji, ukandamizaji pamoja na dhulma ndani ya jamii. Mimi hata awe mzazi wangu akileta...
  15. JamiiForums Tanzania Denmark wanasema wanataka kuhakikisha watu wao wako SALAMA kwenye Dunia inayozidi kupoteza muelekeo wa kidemokrasia na HAKI za Binadamu

    Mdau mkubwa wa maendeleo wa Tanzania Denmark anasema kuwa wanataka kuhakikisha watu wao wako salama kwenye Dunia inayozidi kupoteza muelekeo wa kidemokrasia na HAKI za Binadamu. Wameyasema haya baada ya kutoa tangazo kuwa watafunga balozi zao Tanzania. Ikumbukwe kuwa Denmark imekuwa mdau...
  16. JamiiForums Tanzania Kati ya polisi na raia nani anatakiwa kutenda haki?

    Jeshi la polisi ni chombo muhimu sana kwa ulinzi wa taifa lolote lile. Hiki ni chombo amabacho kina jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao. Lakini katika kulinda usalama wa raia na mali zao polisi wanatakiwa kutimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria ili kulinda haki za raia. Raia nao...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wenye madaraka na mamlaka tendeni haki

    Haya yanayozungumzwa juu ya ukosefu wa haki yanatia doa na dosari nchi yetu. Jeshi la polisi limekuwa ni mtuhimiwa namba moja kwa ajili ya uonevu. Ipo mifano hai huko barabarani jinsi rushwa ilivyotamalaki. Lakini pia kuna vituo km Oysterbay na Central DSM, kule wamejaza mali za watu kama...
  18. JamiiForums Tanzania Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

    Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020. Tetesi zilizopo ni kwamba Bwana Hamza amelipiza kisasi baada ya kudhulumiwa madini yake na Polisi...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Huenda kesi zimepungua Polisi kwasababu wananchi wamekata tamaa kupata haki zao

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema huenda makosa yamepungua Polisi Watanzania hawaendi Vituoni kuripoti kwasababu wamekata tamaa kutokana na kutopata Haki zao. Ameeleza hayo leo Jijini Dar es Salaam katika ufunguzi wa Kikao Kazi cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Makongamano ya kudai Katiba Mpya, Haki za Msingi ziheshimiwe

    Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa. Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa. Mlalamikaji na ategemee machungu kamili kutoka kwa mlalamikiwa, ujira wa kutokuchoka kwake ni kupatikana kwa haki husika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…