haki

  1. JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kupokea malalamiko zaidi ya 6000 ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amesema jumla ya malalamiko ya wananchi kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu 6,928 yalipokelewa katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2019. Dk Ndumbaro ameyasema hayo wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Tume ya Haki za...
  2. JamiiForums Tanzania Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

    Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni kauli ya vitisho visivyokuwa na msingi na ni kauli ambayo inakiuka Haki za Binadamu. Najua Mkuu wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utitiri na uholela wa ufungaji wa ‘cctv’ katika maeneo mbalimbali unavyohatarisha haki ya faragha ya taarifa za watu

    Suala la ulinzi binafsi ni jambo muhimu sana linalopaswa kupewa kipaumbele cha juu kwenye mtiririko wa Mahitaji ya binadamu katika kipindi hiki ili kujilinda na/au kuepukana na vitendo mbalimbali vya uhalifu ambavyo vimekuwa vikitokea katika jamii zetu kama vile ujambazi, uvamizi, ukatili na...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi wanachofanya Panya Road hakiwahusu Taasisi za Haki za Binadamu? Wapo kimya kama kila kitu kiko poa

    Kwa sasa Dar es Salaam ni kama imeanza kutikisika, haijafikia kiwango hicho lakini kiuhalisia kuna mambo hayako sawa hasa yanayohusu ulinzi. Hawa vijana wa Panya Road sijui niseme wanachekewa au mamlaka hazijapata jibu hasa la kudili nao, wenyewe mamlaka za ulinzi zinajua zinachokifanya. Juzi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded CCM lipeni haki za waandishi wenu (NSSF na madai mengine)

    Naandika hii taarifa kwa niaba ya wafanyakazi wa Uhuru Publications Limited ambao wapo na wale ambao walishaondoka hata waliokufa pia, pamoja na wastaafu. Kampuni hiyo yenye gazeti la Uhuru na Mzalendo inadaiwa mamilioni ya fedha za malipo ya mafao pamoja na michango ya wafanyakazi tena ni ile...
  6. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuwajibika ni haki yako

    HAKI NA WAJIBU Kuwajibika ni haki Haki na wajibu ni maneno ambayo huenda tumeyasikia mara kwa mara katika harakati za kutafuta maslahi katika sehemu za kazi na vibarua au jina lolote linalomaanisha sehemu ambayo watu hufanya kazi ili kujipatia chochote kitu cha kujimimu na maisha haya ya kila...
  7. JamiiForums Tanzania EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

    Wanabodi, Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe 'ujitambulishe', 'wakujue' ndio utapata kura za wajumbe!. Kusema ukweli, mimi sikumuona mjumbe yoyote...
  8. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Haki, elimu

    Katika Kijiji cha ntakuja kulikuwa na familia ya mzee chales ambaye alikuwa na watoto wawili wakike na wakiume mzee chales alikuwa na fikra mbaya na tamaduni zakizamani kwamba mtoto wa kike hatakiwi kusoma Bali wakiume kila siku binti yake alivyokuwa akimuomba ampeleke shule halimwambia...
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Shairi la Mwarubaini wa Haki

    Mtunzi wa Shairi- Anna Meleiya Mbise (annambise2015@gmail.com) Jina la Shairi – Mwarubaini wa Haki Mwarubaini wa Haki 1. Amani tunda la haki, kukua lataka wote, Wenye viti nazo dhiki, pamoja tunda liote, Na lenyewe si kisiki, halipendi hali tete, Lashamiri lanawiri, penye uongozi makini...
  10. JamiiForums Tanzania Haki ya mtoto pindi wazazi wanapotengana au kuachana

    HAKI YA MTOTO PINDI WAZAZI WANAPOTENGANA. Mtoto ana haki ya kupewa matunzo mazuri pindi wazazi wanapotengana, sawa na matunzo aliyoyapata pindi wazazi walipokuwa wakiishi pamoja. Mtoto atakuwa na haki ya kupata elimu yenye ubora uleule aliokuwa anaupata kabla wazazi wake hawajatengana au...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa pamoja tupinge dhulma na kutetea haki

    Huu upumbavu wa vijana, wazee na jamii kwa kuujumla kugeuka na kuwa mashabiki wa wanasiasa ambao wengi wao ndio chanzo cha mamilioni ya vifo na umasikini wa watu wa Tanganyika ni hatari na dhambi kubwa duniani na ahera. Ukiwa na akili timamu, pumzi na maisha aliyokujalia Mwenyezi Mungu jifunze...
  12. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wazee walizeekaje bila kukunua magari? Kwanini tuwaachie viti kwenye daladala ili sisi tusimame?

    Creative Monster Baraza la wazee liliwahi kuomba vijana wawe na heshima kwa wazee hususani kwenye daladala pale wazee wanapokosa viti basi vijana wasimame kuwapisha wazee wakae. Ni kweli na ni swala zuri sana na la kuenzi. Septemba mosi ndani ya daladala iliyokuwa ikitokea Mbagala kuelekea...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IEBC: Jinsi tulivyohakikisha mfumo wetu una ulinzi wa kutodukuliwa

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetoa mchanganuo wa kina wa hatua ilizoweka ili kuhakikisha kuwa mifumo yake ililindwa dhidi ya wadukuzi na watu ambao hawajaidhinishwa. Katika majibu iliyowasilisha kwa Mahakama ya Juu Jumamosi, Agosti 27, IEBC kupitia mawakili wake ilishikilia kuwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala wa haki si sheria Afrika

    UTAMBULISHO Andiko hili limeandikwa na Mkalimani Nyakaya, kama mwandishi mkuu wa andiko, kwa upana, linakwenda kuangazia nyanja ya utawala bora na demokrasia, likigusa sheria kandamizi na vitendo vya ukiukwaji wa haki na uhuru vinavyofanyika sehemu mbalimbali ndani ya bara la Afrika. Mwandishi...
  15. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya "acheni kulalamika tafuteni hela" ni mbinu ya kuzuia watu kusema ukweli au kudai haki zao?

    Kwa sasa kumekuwa na watu wengi sana wakitumia hiyo kauli. Je, inawezekana ni mojawapo ya mbinu ya kuwafanya wananchi waache kusema yanayowasibu kuhusiana na haki au stahiki zao?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amejaa hofu ya Mungu, ndiyo maana unaona akihubiri haki

    Ndugu zangu nadhani sote tumeendelee kusikia kile kinachojiri huko mkoani Kilimanjaro ambako Mh. Rais wetu yupo huko. Ndugu zangu ukimfuatilia Mh. Rais wetu hata kabla ya kuwa Rais wetu ni kiongozi aliyekuwa akipenda kuona haki ikitendeka kwa watu wengine bila kujali hali zao. Hali hiyo na...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania 0-1 Uganda, kipigo kilikuwa ni haki yetu Watanzania, kwa sababu hizi....

    Timu ya Tanzania imepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Uganga katika mchezo wa kuwania kufuzu CHA, leo Agosti 28, 2022 Japokuwa kuna mchezo wa marudio baina ya timu hiyo unaotarajiwa kuchezwa Septemba 3, 2022, lakini niwe mkweli ili kufanikiwa kufuzu basi kuna kitu kikubwa cha ziada kinatakiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi anaweza kushtakiwa kwa kosa la kuvunja haki za binadamu ikiwemo udhalilishaji

    Mange Kimambi anaweza kuishtakiwa kwa kuvunja haki za binadamu ikwemo udhalilishaji, ndio maana Instagram waliondoa account yake kwa kosa la kudhalilisha binadamu. Biashara ya kuuza video mtandaoni ni ngumu kwasababu Watumiaji wanaweza kuvujisha kwa kutumia simu nyingine kurekodi video hiyo...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya waitaka Uingereza kulipa Tsh. Tril 466 kama fidia ya Ukoloni

    Jopo la raia wa Kenya wamefungua kesi Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binadamu (ECHR) dhidi ya serikali ya Uingereza wakiituhumu kwa unyanyasaji wa kikoloni Kati ya madai yaliyotajwa ni pamoja na wizi wa ardhi ambayo wamedai bado inatumiwa na makampuni ya chai, pia jopo hilo limeilaumu serikali ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir

    Kelele zimepigwa sana. Kwa hakika zimesikika. Katokea Msigwa eti kutaka utulivu huku tozo zikiendelea. Kelele za kudai haki nazo zimeendelea kusikika huku zikiangukia kwenye masikio yaliyoziba. Ni nani aliye mgeni wa vilio hivi? Ni Samia, Majaliwa, Juma au Tulia? Tuende wapi kumbe? "Mtaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…