haki

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mifumo wa kudai haki jinai nchini imeharibika kutokana na kupuuza mifumo ya maadili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai chini Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 31 Januari, 2023 Katibu Mkuu kiongozi Moses Kusiluka Jukumu kubwa la tume ni kufanya tathmini ya kina ya mfumo wa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania WANAOJISIFU NI WATENDA HAKI, KUMBE WAO NDIO WAPINDA HAKI KULIKO

    Angalia sana kila anaejisifu na kujidai kutenda haki, sio wote wapo kama wasemavyo, Huku wanasema hivi na kule wanasema vingine, Chukua tahadhari sana Ikibidi chambua sana mpaka upate kitu safi 100% halafu ndio uunge mkono Wengi huwenda kwa maslahi yao zaidi Angalieni wasiwapoteze Haki hutendwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Afrika Haki za Binaadamu yakutanishwa na wahuni wa Arusha?

    WAKUU, Tangu asubuhi leo Watu wa haki za binaadam wamejifungia wanaojiita The commission on human and peoples' rights wamejifungia chumbani na baadhi ya watu waliookotwa na wanaharakati wanaotumika kulichafua taifa letu na kumchafua Rais Samia kuhusiana na masuala mbalimbali yenye tija kwa...
  4. JamiiForums Tanzania HakiElimu yakemea tukio la ukatili wa Mwalimu Mkuu Kagera, yatoa mapendekezo kwa Serikali

    Mkurugenzi wa HakiElimu, John Kalage amesema tukio la mtoto wa Shule ya Msingi Kakanja, Wilayani Kyera Mkoani Kagera kuchapwa katika njia ambayo ilionekana ni ya kikatili limewasikitisha kwa kiwango kikubwa. Ameeleza tukio hilo lililotekelezwa na Mwalimu Mkuu wa shule husika ambapo picha za...
  5. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi ni Haki ya Msingi ya Binadamu

    Siku ya Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi (Data Privacy Day) inaadhimishwa kila Januari 28 Haki ya Faragha inawezesha Raia kufurahia Haki nyingine kama: - Uhuru wa Mawazo - Uhuru wa Kujieleza - Uhuru wa Kukusanyika Ni Msingi wa Jamii ya Kidemokrasia Katika Nchi nyingi, Faragha...
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe yupo kibiashara zaidi na siyo kuwapigania maskini na wanyoge. Kauli yake imewaudhi wapigania haki

    Huwezi kutoa kauli kama hii kisa tu ulitia pesa zako kujenga chama. Unatamka hadharani kuwa ulishaumia sana. Ina maana sasa unafanya michongo ya kurudisha pesa zako? N.b Ndio maana makamanda wapo kimya hata kama bil 10z ilipigwa maana wanajua mkuu wetu anapiga na faida.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Je, Mtu mwenye Kansa, anaweza akapewa Bima Binafsi?

    Ubaguzi mwengine wizara ya Afya. Nina jirani yangu kapatikana na kansa. Tiba yake kaambiwa ajiandae na zaidi ya sh mil 5 cash. Kaulizia iwapo akikata bima kama ataweza kupata tiba. Kaambiwa so ya private; labda apatikane mfanyakazi aliyeajiriwa hivi karibuni na amwandikishe kama mke wake...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mimi ndio boss we mfanyakazi unataka haki sawa ufanane na mimi

    POVU: KUNA KIMTU KIMENIKERA ASUBUHI ASUBUHI Kuna kamtu kananiletea hoja za haki sawa. Yaani katoto ka 2003, ana miaka 20 kasoro miezi kadhaa kananihangaisha mzee mkubwa na ndevu zangu. Yani nikaajiri, kasifanye kazi nnayotaka, kajipangie siku za kuingia kazini na muda wa kutoka halafu...
  10. JamiiForums Tanzania Haki ya faragha Mtandaoni lazima izingatiwe

    Kila mtu ana haki ya faragha akiwa Mtandaoni. Hii inajumuisha uhuru wa kutofuatiliwa, haki ya kutumia msimbo (encryption), na haki ya kutokujitambulisha kwa majina halisi. Kulindwa kwa haki hizi siyo tu huongeza uhuru wa kujieleza bali huongeza ushiriki wa watu katika kupasa sauti zao wawapo...
  11. JamiiForums Tanzania Kampuni zafungua kesi kudai haki za kipekee katika uwanja wa ndege wa Zanzibar

    Sakata la mgogoro wa kimkataba wa utoaji huduma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume umeiweka matatani Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) baada ya mwekezaji katika uwanja huo kufungua maombi mahakamani akiomba ridhaa ya kuishtaki. Mwekezaji huyo kampuni ya Transworld...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Intaneti ina nafasi muhimu katika kuwawezesha Watu wenye Ulemavu kufurahia Haki ya Kupata Taarifa

    Asilimia kubwa ya Watu wenye Ulemavu bado wapo nje ya Mitandao kwasababu wanashindwa kumudu gharama na kukosa Miundombinu ya kuwasaidia kutumia Vifaa vya Kidigitali. Hatua zinatakiwa kuchukuliwa kuhakikisha wanaweza kumudu na kufikiwa na Intaneti. Pia ni muhimu kuimarisha Matumizi ya Teknolojia...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi wajengewe uwezo wa kutambua changamoto zao na wajue kuwa ni wajibu wao kudai haki

    Pemba, ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha jamii inakuwa na uwezo wa kutambua umuhimu wa kudai upatikanaji wa haki zao za msingi, kamati za wananchi kutoka shehia za Wilaya za Micheweni, Wete, Mkoani na Chake Chake Pemba zimeshauriwa kuendelea kuwashirikisha wananchi kujadili changamoto zinazowakabili...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

    Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu. Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari. Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe. Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru lakini si haki: Kuitwa kwenye usaili kwa majina ya nyongeza na tume ya ajira

    Kwa sasa imekuwa kama utaratibu. Kwa mfano ulio hai kuna baadhi ya waombaji wa ajira MDA's na LGA's walipewa taarifa ya kuitwa kwenye usajili tarehe 07/01/2023 na wengine wakaitwa kama majina ya nyongeza siku tano baadaye yaani tarehe 12/01/2023. Na wote hao watafanya usaili tarehe 15/01/2023...
  16. JamiiForums Tanzania Wizi wa haki miliki za sanaa (movies and series) kukithiri Tanzania (copyrights infringements) ina maana Serikali haioni??

    Hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa sana na uhalifu wa mtandaoni serikali ikishirikiana na jeshi la polisi, kwa pamoja wamechukua jitihada za wazi kupambana na tatizo hili. Lakini kuna tatizo sugu ambalo binafsi naona ni kosa kubla sana na serikali imelikalia kimya. Wizi wa haki miliki za sanaa...
  17. JamiiForums Tanzania Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa

    Wanabodi, Hii ni makala ya Leo kwenye Nipashe Jumapili ya June 8, mwaka 2021, katika safu hii, niliandika makala ya kumpongeza Rais Samia, kwa kuwasisitiza watendaji wa serikali kutenda haki, kufuatia baadhi ya haki zilizotolewa na katiba yetu na kugeuzwa ni hisani, Asante Rais Samia kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, TISS ya Diwani haikuwa na mawaa; ni moja kati ya waliopambana na timu ya jiwe iheshimu katiba. Kongole kwake!

    TISS ya Diwani Athumani ndio walau ilitulia, kutekana kukaisha, mambo ya hovyo hovyo yakapungua, hata Jiwe naye akapunguza machachari. Tofauti na Ile ya kipilimba na wenzake walioshughulika kwelikweli na akina Mdude na wengine. Ni TISS ya Diwani Athumani, pamoja na taasisi nyingine...
  19. JamiiForums Tanzania Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?

    Wanabodi, Baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, sasa ni nderemo na vifijo nchi mzima!. Na mimi kama Mtanzania mzalendo wa taifa letu, pale linapofanywa jambo jema lolote la kheri kwa mustakabali mwema kwa taifa letu, sina budi kujiunga na wengine wote wanaolitakia mema taifa hili kwa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania TFF yapokea barua ya Malalamiko ya Yanga dhidi ya Feisal

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Kamati) limepokea malalamiko dhidi yako (FEISAL SALUM ABDALLAH) kutoka kwa Young Africans Sports Club (Klabu) kuhusu hali ya mkataba wako na Klabu. Kwa barua hii, unaitwa kufika binafsi na mshauri wako wa kisheria mbele ya Kamati siku ya Jumatano, tarehe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…