haki

  1. Majibu yangu kwa Balile wa TEF kuhusu barua yake. Lini ulikemea, utekaji, uuaji na uminywaji wa haki kwa watu na vyama vya siasa?

    Tunakujua Ndani nje , tunajua Maisha yako na Mali zako ambazo umezipata Kwa Hila , tukikaa vijiweni unajitamba Kwa majumba yako uloyapata au sio ?. Mara ya Mwisho tumekaa Butiama. Ujifungue mwenyewe Chumbani kwako, Mkeo akikupikia Chai, kwakua tu wee ni TISS na Mwenyekiti wa TEF ndio uje na...
  2. "Ooh mimi nawajua watanzania.." kibao. Unamjua nani???Hakuna unayemjua mkuu, na mikoani tutadai haki zetu zaidi

    Wewe ni nani ujifanye unamjua mTanzania na uvumilivu wake? Yani mimi nivumilie watu wanauwawa nchini kwangu? Watu wanatekwa kila siku, alafu nitulie tu kisa sio familia yangu? Ripoti za CAG ufisadi wa kutisha,, nitulie tu??? We pokea hiyo hela kale, hizo propaganda hazifanyi kazi tena
  3. Watu wa Arusha acheni wivu na ubaguzi.. kila mtanzania ana haki ya kuishi popote ndani ya Tanzania.

    Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe. Halafu...
  4. B

    Haki nchini kuelekea uchaguzi mkuu, haki za wapalestina Gaza: Kanisa katoliki ni la kupigiwa mfano dhidi ya madhehebu za kilokole, waisilamu nk!

    Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi: Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana: Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
  5. H

    Apostle Mtalemwa: Tuna vijana foolish wasioweza kudai hata haki zao

    Mchungaji amesema kuwa hana neno na wazee, ana shida na vijana. Asema vijana wa nchi hii ni foolish, hawawezi hata kusoma katiba na kudai haki zao, vijana wanahongwa elfu 5, tshirt, nyama na wali, baiskeli, eti ndiyo wakapige kura. Vijana hawa ni foolish. Anasema neno la Mungu linasema vijana...
  6. GE2025 Madeleka: Uchaguzi unafanyika kwa haki, amani, uhuru na kuaminika

    Wakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka...
  7. GE2025 Kama uchaguzi ungekuwa Dec2021 Ulikuwa na uwezo wa kupata hata zaidi ya kura 60% za haki kabisa, leo ndani ya chama chako bila ya kujiteua usingetoboa

    Unatafuta nani wa kumlaumu ni wewe mwenyewe. Ni moja ya kiongozi uliingia madarakani ukiwa unapendwa na sifa kedekede, ila baadae ukituona mafala na kutuzunguka. Imekucost wewe,legacy yako, chama chako, familia yako na kila kitu chako. Wewe ni mmama na umezaa ila serikali yako ilivyohandle...
  8. Nampenda Haki, Uhuru, Usawa na Uzalendo kusema ukweli ni mabinti wazuri. Nimewaza nimchague nani kati yao, Wazazi wanasema ninaweza kuoa wote

    Nimekuwa namuvitiwa na hawa mabinti wanne huku ughaibuni na nina mpango wa kurudi nyumbani na kuoa. Hao mabinti ni Haki, USawa, Uzalendo na Uhuru, nyie mnaita sijui pisi kali ni kweli ni mabinti wazuri na naamini watazalisha kizazi bora. Ila imekuwa ngumu sana kwangu nikiwaza inabidi nichague...
  9. POTOSHI Dkt. Slaa amethibitisha kuwa CHADEMA Haikufanya uchaguzi huru na wa haki

  10. Wife kaniomba anataka naye ashiriki kupania UHURU wa nchi, nimetoka kumwambia hiyo ni haki yake

    Nimefurahi mke wangu kachoma vitenge anaunga juhudi jambo la kiungwana na utu.
  11. GE2025 Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasiasa wasiotutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe

    Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasaiasa wasio tutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe. Au polisi sio watu kama wewe, kama ni kupagania haki yako dhidi ya utawala mbovu haina majadala na haiwezi kuwa kosa la jinai. Watu mtakao andamana msifanye vurugu...
  12. GE2025 Lolote litakalonikuta Oktoba 29, 2025 waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta haki na uhuru

    Mimi 29/10/2025. Naomba mnizike pamoja na bendera ya Tanganyika. Kisha waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta HAKI na UHURU. Mimi Noel naahidi mbele yenu na pia nitakuwa tayari kufa ili mradi haki na uhuru inakuwa ni sehemu yetu salama. Ewe mwenyezi Mungu nisaidie. Amina
  13. S

    Majaji wa Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu, wanatosha? Wanatenda haki?

    Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu? Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha,? Labda niulize: Je, maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kwa kesi za aina hii zilizotangulia, hayatoshi kufuta...
  14. Kwenye Kudai kwetu Haki Zetu tusiwaangalie USA kama mfano; Case in Point: The capitulation of the US media is not an aberration

    Mara nyingi tumekuwa tukiweka mifano ya USA kama ndio Target, lakini kwa wakati husika inabidi tupatumie kama what not to became; na upuuzi unaofanyika sasa unaweza kupelekea ionekane kama ni the norm, hivyo hata kama tumepotea sasa hivi kama target ni Current USA basi huenda ndio tutadumbukia...
  15. L

    Wataalamu wa Afrika wapongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo ya Afrika

    Wataalamu wa Afrika wamepongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo katika bara zima la Afrika, wakisisitiza namna inavyoheshimu njia ya kipekee ya maendeleo ya kila nchi. Hayo yameejiri wakati Semina ya Kwanza ya Haki za Binadamu kati ya China na Afrika ilifanyika Ijumaa huko...
  16. GE2025 Mpina: Lissu yupo Gerezani kwa sababu anapigania haki

    Kada wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina amedai kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea 'misukosuko ya kisheria' kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ni kwakuwa anapigania haki, demokrasia na ulinzi wa raslimali za Taifa Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania...
  17. Mwabukusi akemea vurugu za polisi mahakamani, asema ni shambulio dhidi ya haki

    Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam. Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni...
  18. N

    Mi ni mnyonge? Sielewi. Ninyonge ninyongeni haki yangu nipeni

    Nachanganyikiwa mnyonge ni mtu wa aina gani? Mgonjwa ama maskini? Kama mnyonge ni mgonjwa sasa hawa wagombea wanaojiita wanyonge tunachaguaje wagonjwa wasio na nguvu watutumikie? Watapata wapi nguvu ya kututumikia? na Taifa litaendeleaje? Kama mnyonge ni maskini kama mimi niambiwe maana...
  19. Hatua ya Kusitishwa kwa JamiiForums: Uchambuzi wa Kisheria na Haki za Wananchi

    Disclaimer: Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri rasmi wa kisheria, bali ni uchambuzi wa kisheria na kikatiba kwa lengo la kuelimisha na kujadili...
  20. Kati ya haki na amani kipi ni muhimu zaidi na kipi hutangulia kingine?

    Naomba niwaulize hasa viongozi wa dini wa kiislamu na kikristo kati ya hayo mawili kipi huanza ili kingine kifwate. Mfano. Mtu anaiba kura ukikemea unaitwa mchochezi Yani mwizi wa kura anakuwa na haki kuliko yule anayefichua wizi. Ndani ya jamii kuna utekaji na mauwaji ya raia holela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…