haki

  1. V

    JamiiForums Tanzania Watanzania munaopenda haki acheni kuwaamini kirahisi wanasiasa wakongwe,na waliotisheka kuiba wanapodai wako upande wenu

    Habari Limekuwepo wimbi la akina Tibaijuka,akina Polepole,akina Ndugai, akina Warioba nk ambao walichangia pakubwa kuifanya Tanzania iwe jinsi ilivyo Leo.... Mfano;wote munaofahamu utawala wa Magufuri munamfahamu Polepole ni nani na alifanya mangapi lakini utashangaa munamuona mkombozi. Ata...
  2. JamiiForums Tanzania UPOPO WA TIKITI: Masimulizi ya kisiasa kutoka nchi ya Tongotongo na hatima ya haki katikati meno ya mamba na majqmbia ya wauaji

    UPOPO WA TIKITI: Masimulizi Kutoka Nchi ya Tongotongo Kuna nchi moja inaitwa Tongotongo. Katika nchi hii, kila kitu kinaonekana kwenda taratibu lakini kwa hesabu kali sana. Mitaani, wananchi wanapishana wakiwa wamebeba machungu na matumaini yao. Lakini katikati ya vumbi la barabara na mayowe ya...
  3. JamiiForums Tanzania Swali la msingi: Sheria ni Moja kwa wote?

    Kuna jambo linahitaji mjadala wa wazi, bila ushabiki wa kisiasa wala kumhukumu mtu kabla ya mchakato wa kisheria kukamilika. Wakili Peter Madeleka amekumbana na hatua za polisi katika mazingira yanayohusishwa na masuala yake ya kisheria. Wakati huo huo, mwaka 2023 mfanyabiashara Rostam Aziz...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa kujieleza ni haki ya kila mtu, lakini uhuru huo haupaswi kuwa sababu ya kumvunjia mtu au viongozi heshima

    Uhuru wa kujieleza ni haki ya kila mtu, lakini uhuru huo haupaswi kuwa sababu ya kumvunjia mtu au viongozi heshima. Tunaweza kukosoa, kuuliza na kutoa maoni kwa nguvu ya hoja, bila matusi, dharau au chuki. Tujenge utamaduni wa kuheshimiana tunapotoa maoni. Je, tunaweza kutofautiana bila...
  5. JamiiForums Tanzania Lissu katika kutetea haki ni amewazidi, zaidi ya maaskofu, mapadre, wachungaji, mitume na manabii(viongozi wa dini)

    Katika kutetea IMANI yake ,Lisu ni muumini wa HAKI ,utawala wa sheria na katiba. Katika hili amewazidi viongozi wote wa dini. Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi amewazidi UTAKATIFU hao wanaojiita mitime na manabii ,na MAFARISAYO WOTE waliokalia kiti cha Musa na kubeba fimbo ya HARUNI na kukaa viti...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Hauwezi kuwa na Vyama kwenye nchi isiyo na Haki

    Wakili Peter Madeleka, amesisitiza kuwa udhibiti wa haki za kimsingi nchini haupaswi kuangaziwa kwa jicho la kisiasa au vyama, bali kama suala la kitaifa linalogusa kila mwananchi na Katiba ya nchi. Akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha Mwananchi Digital, 8August 2026, Wakili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mtoto Kutunzwa na Wazazi Wote Wawili Baada ya Utengano – Funzo Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania

    Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto. Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
  8. JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Tutachunguza clip ya Bodaboda kuvutana na Askari Polisi, haki itatendeka

    KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026 Ndugu zangu nimeona, nimesikiliza na nimesoma comments; TUTACHUNGUZA kwa kina na kujua kiini cha tatizo...
  9. JamiiForums Tanzania Kutaka bikra kwa mwanamke utakayemuoa ni Haki yako kama mwanaume.

    KUTAKA BIKIRA KWA MWANAMKE UTAKAYEMUOA NI HAKI YAKO KAMA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Usione aibu kuulizia bikira kwa mwanamke unayetaka kumuoa. Muulize tuu unaogopa nini? Muulize kama hana anajihisi vipi kama utamuoa huku akiwa hana bikira. Sikiliza mtazamo wake. Hapo...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza viongozi wa Chadema wa mstari wa mbele wa kutetea haki na Demokrasia nashauri imarisheni mfumo wa uongozi hadi vijini

    Nchi yetu ni nchi ya demokrasia ya vyama vingi. Demokrasia inaleta ushindani wa hoja sera mawazo Bora zaidi ya kujenga nchi yetu. Viongozi wa Chadema wanastahili pongezi ya kukubali kukaa mstari wa mbele kutetea haki na Demokrasia KATIKA nchi yetu. Sisi kama WAZALENDO tunatamani tuone vyama...
  11. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutupia picha mbalimbali na video za Rais wa Tanzania ajaye, Tundu Antipas Lissu ili kumtia moyo kwenye kupambania katiba, utu na haki

  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ametendea Haki Hatima Ya Maisha ya watanzania Kiuchumi. Hali ya Maisha ni Ya Kutia Matumaini na Nuru

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako. Maana yake ni Kuwa usalama...
  13. JamiiForums Tanzania Haki uleta amani pale Palipo na Amani Haki inapatikana Ukiona mwana Siasa anatanguliza Amani baada ya HAKI huyo ni Tapeli

    Palipo na Haki amani hipo watu wanaotaja Amani huku neno HAKI kwenye vinywa vyao hao ni matapeli wanatumia neno amani kwa maslahi yao...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu vyama vilivyoshiriki na kupongeza uchaguzi vina haki ya kushiriki maridhiano?

    Wadau kama heading inavyoeleza, je vyama vilivyoshiriki uchaguzi vina haki ya kushiriki maridhiano?
  15. JamiiForums Tanzania HAKI YA KULIPWA FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI

    Habari ndugu zangu wanajamii forum, Nimekuja huku kuomba kujengewa uwezo na wataalam wetu mliopo katika jukwaa hili la Sheria. Mwaka juzi nilikuja na post yangu kuomba msaada baada ya kufukuzwa kazi serikalini Kwa zengwe la kutengenezwa. Ninashukuru Kwa yote, mambo yalienda sawa nikaja...
  16. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haijaikosea CCM na dola popote. Ni upotoshaji kutumia neno "MARIDHIANO" bali Tunachotaka sio Maridhiano bali ni Nchi kurejesha mfumo wa haki

    Watu hutafuta Maridhiano baada ya kugombana au kuhujumiana ata kupigana. Kama ilivyokuwa kenya. Ulikuwa ugonvi kati ya Odinga na Kenyata. Watu wakakaa wakataka waridhiane. Lengo ni kuondoa tofauti zao. Tanzania ni tofauti kabisa, Tena mbali mno. Je kuna ugonvi binafsi kati ya Lissu na Samia. Au...
  17. JamiiForums Tanzania Double standards kwenye kupigania harakati za Haki

    Hamjambo! Hii unaizungumziaje? Mtu anadai ni mwanaharakati wa haki za binadamu. Huku anapigana na dhulma za CCM. Alafu muda huohuo anawatetea Wamarekani wanapoionea Iran. Au yupo Upande wa Israel inavyowafanyia uhuni Palestina. Au mtu yupo Upande wa Ukraine anayeonewa na Urusi. Kumaanisha...
  18. JamiiForums Tanzania ACT: Kuna ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwa Wakazi wa Kitongoji cha Miyomboni - Bagamoyo wanashinikizwa kuhama

    Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kinalaani vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ubomoaji wa makazi, uteketezaji wa mali, vitisho na ukatili unaofanywa na Kampuni ya Nolic kwa kushirikiana na Kampuni ya Kilimo ya Azania Noble dhidi ya wananchi wa Kitongoji cha Miyomboni Kijiji...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

    Utawala wa sheria maana yake nini? Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga. Haki za wengine hawana habari...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania yasisitiza UNESCO kuhama kwa hiari Ngorongoro ni kulinda utu na Haki za Binadamu

    Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia (WHC) ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kilichoanza Julai 19, 2026 kinaendelea jijini Busan katika Jamhuri ya Watu wa Korea. Mkutano huo unahudhuriwa na takriban watu 3,000, akiwemo Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…