Manara aliitukana timu nzima bado mkamwajiri sembuse kucheza derby?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,429
Reaction score
139,486
Hili ni somo kwa mashabiki. Muwe na akiba ya maneno kuunga mkono kila kitu.

Hivi kweli viongozi wenu wanaweza kukaza mpaka mwisho? Kama sio kuja kula matapishi yenu ni nini?

Hao viongozi sio watu wa kuwaamini sana. Fikiria kuna mtu aliitukana Yanga mzima matusi ya nguoni kwamba hamna akili. Lakini bado viongozi wenu wakawasaliti na kumwajiri kama msemaji wa timu.
 
wacha tuone👿
 
Tusubiri tarehe tu
FB_IMG_1743086259926.jpg
 
Hili ni somo kwa mashabiki. Muwe na akiba ya maneno kuunga mkono kila kitu.

Hivi kweli viongozi wenu wanaweza kukaza mpaka mwisho? Kama sio kuja kula matapishi yenu ni nini?

Hao viongozi sio watu wa kuwaamini sana. Fikiria kuna mtu aliitukana Yanga mzima matusi ya nguoni kwamba hamna akili. Lakini bado viongozi wenu wakawasaliti na kumwajiri kama msemaji wa timu.
Wakati Manara anayasema hayo wengi tulimuita mwehu. Lakini Manara alikuwa anaongea anachokijua.
JamiiForums-189255672.jpg
 
Unakazaje ilihali mwenyewe una madudu yako watu wamekuwa wanatumia tu busara? Kaza kwenye hili watu wakukazie kwenye yajayo.
 
Hili ni somo kwa mashabiki. Muwe na akiba ya maneno kuunga mkono kila kitu.

Hivi kweli viongozi wenu wanaweza kukaza mpaka mwisho? Kama sio kuja kula matapishi yenu ni nini?

Hao viongozi sio watu wa kuwaamini sana. Fikiria kuna mtu aliitukana Yanga mzima matusi ya nguoni kwamba hamna akili. Lakini bado viongozi wenu wakawasaliti na kumwajiri kama msemaji wa timu.
Ni kweli hatuna akili ila tukicheza na nyie kipigo kipo pale pale
 
Back
Top Bottom