haji manara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Haji Manara na Hersi haziivi tena

    Kuna taarifa kutokea viunga vya corridor za Yanga kuwa Haji Manara na Mhandisi Hersi ambaye ni Rais wa Yanga haziivi. "....hujiulizi kwa nini hata hajaposti picha za Hersi akiwa Ufaransa na boss wa Man City kwenye Mkutano wa ECA? Kwa taarifa yako, Manara amemkasirikia Hersi eti kisa usemaji wa...
  2. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Manara arudishwe haraka kabla mambo hayajaharibika

    Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga. Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani. Sasa kitendo cha...
  3. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Haji Manara unatakiwa usome alama za nyakati. Wakati umeanza kukukataa

    Bro Haji alama za nyakati zinaanza kukukataa kwenye game yako uliyoweza kuimasta kwa muda mrefu ya usemaji wa timu za mpira. Kila nikitazama miaka mitatu mpaka minne sikuoni tena ukiwa na ule ushawishi kwenye timu za football. Nakushauri ustaafu kabla haujastaafishwa kwa aibu. Nimekuwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Anthony Lusekelo: Hamna msemaji aliyefikia kiwango cha Haji Manara

    Mtumishi wa Mungu Anthony Lusekero (Mzee wa Upako) amefunguka jana Septemba 4, 2024 kupitia Global TV na kueleza kuwa mpaka sasa hakuna Msemaji aliyefikia kiwango cha Haji Manara.
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Eng Hersi Said kumkaribisha Dullah Makabila Yanga, ni mbinu ya kumfukuza Manara Yanga

    Dullah Makabila na Manara wana uhasama mkubwa. Manara alimwoa aliyekuwa mke wa Dullah Makabila (zaylisa) huu mzozo ulikuwa mkubwa hadi Makabila akatunga wimbo wa kumkejeli Manara wa mzungu pori Dullah Makabila aliyekuwa shabiki wa Yanga alihamia Simba na kufanya tamasha la Simba day Sasa Leo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Emg.Hersi umemkosea sana heshima na adabu Haji Manara

    Kumbuka Haji Manara ndio amekusaidia kuifanya yanga iwe na mafanikio haya yanayoonekana leo, wengi wanaweza wasijue lakini amekusaidia sana kujua mengi yanayohusu Simba, Eng Hersi wewe ni msomi na mtu makini sana, unajua sana ku set strategies, I love it, lakini kuondoka kwa Manara pale Simba na...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Manara - Nipo tayari kuwa mfagiaji Yanga/ siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji yanga na Rais kashaamua

    Haji Manara amesema yupo tayari kufanya kazi ndani ya Yanga hata ikiwa kazi ya ufagiaji na kamwe siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji Yanga. Aidha Manara amesema anaheshima alichokisema Rais wa Klabu hiyo Eng Hersi Said wakati akifanyiwa Mahojiano na Wasafi FM siku 2 zilizopita na kusema Haji...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huenda Yanga SC wenye akili wakawa ni Wawili Watatu tu kwa Kauli hii ya Rais Hersi Said

    𝗛𝗘𝗥𝗦𝗜 𝗔𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 “Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, Makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga. “Wafanyakazi wa...
  9. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa

    “Haji Manara kwasasa ni Mwanachama hai wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpatia klabuni. Yanga inaye Afisa habari (Alikamwe) ambaye ndiye anaisemea Klabu” Injinia Hersi Kwa mnavyomjua zungu lazima ata react vibaya, maana alijua akitoka kifungoni atarudi nafasi yake, ila kakuta Alikamwe...
  10. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anapaswa kumuachia Ally Kamwe kuwa msemaji mkuu wa Yanga sc, kwa maana wakati wake umeisha (umepita)

    Kila kitabu na zama zake , Haji Manara alikua moto sana kipindi anashindana na Murro wakati Haji akiwa Simba sc na Muro akiwa msemaji wa Yanga hakika nilishuhudia na kusikia maneno yenye mbwembwe na kejeli humo humo ndani yake hakika gemu ilichangamka mno tena mno na hiyo yote kwa kua walikua...
  11. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Haji Manara Amesusa? Hakufurahishwa na matokeo ya Yanga?

    Salamu ni upotezaji wa muda twende moja kwa moja kwenye mada. Tangu Yanga waibamize Simba 'Kigoli' kimoja huyu msemaji ambaye siku za hivi karibuni alionesha kuitaka sana hiyo kazi. Hata kupelekea dogo msemaji kujiuzulu. Leo yupo kimyaaaaaaa hakuna mahali alipojitokeza kuonesha kafurahishwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kumtambulisha Hamissa Mobeto mbele ya Makamu wa Rais ni upuuzi wa kiwango cha kimataifa kwa Haji Manara

    Kiukweli nimesikitika sana, yaani siku ya Mwananchi imegeuka kuwa siku ya watu kutangaza ndoa? Eti Hamisa mnafunga ndoa lini? Why between my interview unakuwa mpumbavu kiasi hiki? Hamissa Mobetto ni nani hadi atambulishwe siku hiyo ya Mwananchi, maskini mmempiga chini Ally Kamwe hajaonekana...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alivyomuharibia Antonio Nugaz maisha, yupo Magomeni anauza nguo

    Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem) Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii, kipindi alikimudu kwelikweli. Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli. Augost 2021 Haji Manara huyu hapa...
  14. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Leo utakuwa pande zipi kuenjoy na kuitazama Yanga katika kilele chao cha wiki ya Mwananchi?

    Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025. Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi? Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Zaiylissa ninayemuona hapa katika Clip akifanya Mazoezi ndiyo huyu huyu Mke wa Haji Manara au?

    Yaani kuna Zoezi moja naona ameshika Mashine huku anaichanua Miguu yake Kulia na Kushoto na 'Kitu' Kimetuna tu.
  16. Unavoidable Servant

    JamiiForums Tanzania Wananchi tunatoa angalizo mapema kuhusu tamasha la 'wananchi day', MC wetu ni Kitenge na Zembwela

    Inabidi tuambiane mapema uongozi wa Yanga ufahamu msimamo wa Wananchi ni kwamba hatutaki kumuona Manara. Mc wetu ni Maulid Kitenge na Zembwela imeisha hiyo. Ally Kamwe ni Boss hii siyo kazi yake.
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna watu wamepanga kumzomea Haji Manara siku ya wananchi

    Nyota imefubaa ghafla, kuna wahuni toka matawi mbalimbali ya Yanga wamepanga kumzomea Haji Manara siku ya wananchi endapo atashika microphone kusema chochote. PIA SOMA - Kama kujiuzuru kwa Ali Kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara, ni bora Manara aondoke Yanga
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga umuonye Haji Manara, utoe tamko tafadhali hatutaki shida za Simba Yanga

    Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Upo uwezekano mkubwa mashabiki wa Yanga wakamzomea Haji Manara siku ya Mwananchi kutokana na mapenzi yao kwa Ally Kamwe

    Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu tarehe 8 akidai watafanya mauaji, akaahidi kuwa endapo Simba hatofungwa chini ya bao 4 atarudi pale...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Manara tukiwapiga Simba chini ya Goli nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja

    “Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.” —— Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
Back
Top Bottom