haji manara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Haji Manara: Sipendi kuitwa Mheshimwa, nisije nikaanza kuinua Mabega

    Diwani wa Kariakoo, Haji Manara amewaomba wananchi wasimuite 'Mheshimwa'.! 😂
  2. DuaZaMama

    GE2025 Manara afanya kampeni za mtaa kwa mtaa Kariakoo kuelekea Oktoba 29

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Haji Manara leo Oktoba 28, 2025, amefanya kampeni za kutembea mtaa kwa mtaa (walking campaign ) ndani ya Kata ya Kariakoo, Jijini Dar es Salaam, akiwaombea kura wagombea wa chama hicho katika nafasi mbalimbali.Katika kampeni...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Manara: Serikali ya CCM inajali elimu, awapatia wanafunzi elfu kumi

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haji Sunday Manara, amesema kuwa Serikali ya CCM imeendelea kuthibitisha kujali elimu kwa vitendo, kwa kuwekeza kwenye misingi imara iliyopelekea kuzalisha wasomi wengi nchini. Manara alitoa kauli hiyo leo aliposhiriki...
  4. Waufukweni

    GE2025 Manara: Wamiliki wa Malori fuateni Sheria, bora mtunyime Kura lakini Malori yatoke Kariakoo

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Haji Manara, amewataka wamiliki wa malori ya mizigo yanayoingia katikati ya jiji kuhakikisha wanazingatia sheria na kanuni za usafirishaji, hususan uzito unaoruhusiwa katika barabara hizo. ‎ ‎Akizungumza usiku wa kuamkia leo, Septemba 26, 2025, katika shughuli...
  5. Waufukweni

    GE2025 Haji Manara: Tuombee Mvua isinyeshe Oktoba 29, 2025 wasipate sababu, tukamchague Rais Samia

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haji Sunday Manara, ametoa wito kwa wanachama na wafuasi wa chama hicho kuombea mvua isinyeshe tarehe 29 Oktoba, 2025 siku ya Uchaguzi Mkuu nchini ili kuhakikisha kila Mtanzania anashiriki kikamilifu katika zoezi la kupiga...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Manara: Nitamfikia kila mpiga kura wa Kata ya Kariakoo

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haji Sunday Manara, ameahidi kuwafikia wapiga kura wote wa kata hiyo ili kuwaomba kura, akisisitiza kuwa bado ana nguvu na ari ya kufanya kazi hiyo kikamilifu. Soma Pia: Mgombea Udiwani kata ya Kariakoo Haji Manara akiomba...
  7. N

    Haji Manara acha uongo na uzandiki: Si kweli watoto wote wa marais wanasemwa ni Abduli na Ridhiwani tu

    Ndugu Haji Manara naomba usidanganye umma kwa kutafuta huruma ya kuteuliwa kuwa Meya wa Ilala kwa kutumia uzandiki na uongo: Kwa historia sahihi: Enzi ya Nyerere hakuna mtoto wake alitajwa kuwa fisadi au kutumia madaraka vibaya, wala yeye kamwe. 2. Ali Hassan Mwinyi hakutajwa sana kwa ufisadi...
  8. Bila bila

    GE2025 Kama kuwa Mtoto wa Rais ni tiketi ya kutajirika tuoneshe Buggati ya mabilioni ya Madaraka Nyerere na Jesca Magufuli

    Kwenye press yake Jana Mgombea Udiwani Kariakoo, Haji Manara katetea kitendo cha Abdul kumiliki magari ya kifahari eti ni haki yako sababu ni mama yake ni Rais. Huu utetezi wa kihuni ungeupeleka Kwa Wahuni wenzio. Pia soma >>> GE2025 - Haji Manara: Hii nchi ina utawala Octoba 29 hatoki mtu...
  9. BLACK MOVEMENT

    Ni Tanzania pekee ambako hadi Mgombea Udiwani anaitisha press ya kupiga watu mkwara mzito na vitisho juu

    Ukifuatilia siasa na habari za nchi. yingi za Africa huku kwetu ni nadara kukuta hata mkuu wa nchi anapiga raia wake mkwara na vitisho chungu nzima, hata Kagame hafanyihi huo ujinga. Sasa Tanzania hii sio tena Raisi, raia wanapigwa mkwara hadi na Diwani, nimeshangaa yule Mzungu mwitu...
  10. tonicimmobility

    GE2025 Haji Manara: Hii nchi ina utawala Octoba 29 hatoki mtu kuandamana

    Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv na Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Sunday Manara amewajibu wanaomsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na Vijana wanaoshinikiza kufanya maandamano kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu. Soma...
  11. ngara23

    Haji Manara kurejea Simba, na Ahmed Ally kupandishwa cheo

    Habari za uhakika ni kuwa Haji Manara amekubali kurejea Simba, Baada ya Rais wa Club hiyo Mo Dewji kumuomba msamaha sana ili arejee Haji Manara ilikuwa aonekane Leo kwenye uzinduzi wa jersey za Simba, lakini kutoka na malipo yake kutoka Kwa Mo Dewji kucheleweshwa, Sasa ni dhahiri tutamwona...
  12. SSH2025_2030

    Mheshimiwa Haji Manara anasubiri kuapishwa tu kama MEYA wa Jiji la Dar es Salaam

    Mstahiki Meya Haji Sunday Manara (2025-2030) karibu City hall
  13. GENTAMYCINE

    Nyie Gazeti la 'Habari Leo' mnadhani Haji Manara aliposema kuwa hiyo Klabu wenye Akili ni Wawili tu na waliobakia wote ni Majuha (Fools) alikosea?

    TANGA; YANGA ya Dar es Salaam ni miongoni mwa klabu tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokosa sifa ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaofanyika Tanga asubuhi hii. - Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, aliwaeleza...
  14. DuaZaMama

    GE2025 Haji Manara Aongoza Kwa kura za Maoni udiwani kata ya Kariakoo

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV, Haji Manara , ameibuka kidedea katika kura za maoni za kuwania nafasi ya Udiwani katika Kata ya Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Kura hizo za maoni zilifanyika leo Jumatatu tarehe 4 Agosti 2025, chini ya usimamizi wa chama...
  15. comrade_kipepe

    Kwanini Haji Manara anamshambulia Sana Gwajima??

    Haya madhaifu Yake hakuyaona kabla Gwajima hajaamua kua mkweli na kupinga utekaji? Inamana Gwajima asingetoka hadharani kupinga utekaji Manara asingempiga vita, kosa la Gwajima NI kukosoa serikali na kukemea utekaji. Inamana watu kama wakina Manara na Steve Mengele wanafurahia watu kutekwa...
  16. Waufukweni

    Mahojiano ya Dogo Patten na Mjini FM yazua mjadala Mitandaoni, ya muiuibua Haji Manara

    Wakuu! Baada ya msanii chipukizi wa Singeli, Dogo Patten, kususia mahojiano kwenye kipindi cha Gen Talk cha Mjini FM, gumzo limeibuka mitandaoni likihusisha watangazaji na mashabiki. Tukio hilo limezua hisia kali baada ya vipande vya mahojiano kuonyesha watangazaji wakimshinikiza msanii huyo...
  17. Waufukweni

    Haji Manara na Rushaynah "Kujifanya Wamerudiana" inaweza kuwa mpango wa CCM kututoa mchezoni Sakata la Viongozi wa CHADEMA na kujiuzulu kwa Polepole

    Wakuu! Hili la Haji Manara na mke wake wa zamani Rushaynah "kujifanya wamerudiana" linapaswa kuangaliwa kwa jicho la pili. Ni kama sehemu ya mkakati wa kupotosha fikra za Watanzania na kuwatoa kwenye reli ya mjadala mzito unaoendelea kuhusu mustakabali wa Taifa letu, hususan sakata la viongozi...
  18. Mohamed Said

    Mitandao ya Kijamii Inapocheza na Haiba ya Kuvutia ya Haji Manara

    Vijana wana vipaji vya ubunifu wa hali juu kupita kiasi. Kipindi nilichofanya mada ilikuwa nyingine kabisa lakini kipindi kilipokwenda hewani na kutazama picha iliyowekwa hawa vijana niliwavulia kofia. Muda si muda watazamaji wanagota laki +. Na ukweli hawa hawakunifuata mimi. Wamemfuata Haji...
  19. DuaZaMama

    Dulla makabila ameanza kuhofia Udiwani wa Haji Manara kata ya Kariakoo

    Baada ya Haji Manara kutangaza nia ya kutaka kuwa Diwani Kariakoo na kuchukua Fomu kupitia chama cha Mapinduzi CCM Dulla Makabila, amemua kutoa ya moyoni kuhusu maamuzi hayo ya Haji Manara “Kama pale tu ulikuwa hauna mamlaka yeyote na ukaninyoosha ndugu yangu safari hii ntasikia tu...
  20. DuaZaMama

    GE2025 Hajj Manara achukua fomu ya Udiwani kata ya Kariakoo

    Mwanahabari na aliyekuwa Msemaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Haji Manara, amechukua Fomu ya kuwania Udiwani katika Kata ya Kariakoo, Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Zoezi la uchukuaji fomu...
Back
Top Bottom