hadhara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

    Wanaukumbi, Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini? Sisi Watanzania tumechagua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dhana ya mikutano ya hadhara kufanyika majimboni vipi wapinzani wasiokuwa na madiwani na wabunge

    Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ambayo mh rais aliapa kuilinda inatoa nafasi ya vyama vyote kufanya mikutano ya hadhara kuzungumza na wanachama wao. Kauli ya mama ya kwamba mikutano ya hadhara kwa sasa hapana na inaruhusiwa kwa mbunge au diwani afanyie Jimboni kwake...
  3. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Rais ana uwezo wa kuifuta sheria ya vyama vya siasa (Na. 5 ya 1992) inayoruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?

    Kama jibu ni ndiyo, Sheria ipi nyingine ana madaraka ya kuifuta bila kushirikisha Bunge?
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuitisha Baraza Kuu mwezi Julai, suala la Wabunge 19 wa Viti Maalum kumalizwa rasmi

    Hii ndio Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe au waweza kumuita Mtemi Isike aliyoitoa kwa waandishi wa habari, alipokuwa kanda ya Magharibi katika ziara yake ya Operesheni Haki. Amesema baada ya vikao vya Baraza Kuu ratiba ya Mikutano ya hadhara nchi nzima itapangwa.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya katumbuliwa kwa heshima tofauti na yule DAS wa Kisarawe aliyetumbuliwa kwenye mkutano wa hadhara!

    Tunakumbushana tu kwamba kutenguliwa, kutumbuliwa na kusimamishwa siyo jambo jipya kwa viongozi wetu wa kisiasa. Niseme tu CCM ni lazima waendelee kuwa wamoja huyu Ole sabaya siyo wa kwanza na hatakuwa wa mwisho kutumbuliwa. Nakumbuka yule DAS wa Kisarawe alipotumbuliwa na hayati Magufuli...
Back
Top Bottom