hadhara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Arusha kufanya mkutano mkubwa wa Hadhara 4/07/2024

    MKUTANO WA HADHARA CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana. Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali atoa machozi akihutubia, usajili wanachama kidijitali umefanikiwa sana

    Mdude Nyagali ametoa machozi akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi.
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Sijaona positive impact ya mikutano ya hadhara tunayofanya. Wananchi wapo busy kutafuta maisha

    Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano. Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Babati: Chongolo kuongoza mkutano wa hadhara wa CCM leo Machi 10, 2023

    Na Bwanku M Bwanku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo leo Ijumaa Machi 10, 2023 anatarajia kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM Mjini Babati kwenye viwanja vya Stendi ya zamani. Mkutano huo ni wa kufunga baada ya ziara yake ya siku 6 mkoani humo akiambatana na Wajumbe wengine wa...
  5. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania WanaCCM Arusha wamtaka Mrisho Gambo naye aitishe mkutano wa hadhara kujibu mapigo ya Lema

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Arusha kumekucha upya baada ya Godbless Lema kutua nchini na kulitikisa jiji lolote la Arusha kwa kishindo cha mapokezi, shamrashara mitaani na mkutano mkubwa wa hadhara. Sasa makundi mbalimbali ya wanaCCM yameamua kupiga kelele kwa mbunge wa Jimbo la Arusha mjini...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya hadhara imeruhusiwa na Serikali ya Awamu ya Sita ili kudhihaki Magufuli?

    Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini. Ninaomba michango yenu.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nilijua tu kwamba mikutano ya hadhara bila ajenda madhubuti itadoda!!

    Baada ya rais wa Tanzania kuruhusu mikutano ya hadhara mimi nilijiuliza ni ajenda zipi wapinzani wanapaswa kwenda nazo? Pongezi Kwa mama Kwa kuruhusu mikutano? Katiba mpya ambayo pia mama kasema anataka mchakato wake uanze? Kupanda kwa bei ya chakula ambapo pia unahitaji uangalifu maana...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuzindua Mikutano ya Hadhara Kanda ya Nyasa

    Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe anatarajiwa kuzindua rasmi kanda ya Nyasa Februari 23 wilayani Sumbawanga Mkoa wa Rukwa na kisha kufungua mkutano wa hadhara mkoani Iringa Februari 28 mwaka huu. Hayo yameelezwa Jumanne Februari 21, 2023 na Mwenyekiti wa Chadema wa mkoa huo, William Mungai...
  9. saidoo25

    JamiiForums Tanzania MBOWE na ZITTO kwanini wameamua kuziacha hoja za wananchi mikutano ya hadhara

    MBOWE NA ZITTO KWANINI WAMEAMUA KUZIACHA HOJA ZA WANANCHI MIKUTANO YA HADHARA Nimefuatilia mikutano ya hadhara ya Chadema na ACT Wazalendo sijawasikia Mbowe wala Zitto wakizungumzia au wakipaza sauti zao juu ya mambo makubwa yanayolalamikiwa na wananchi. Mfano suala ulinzi wa rasilimali za...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya hadhara imeruhusiwa ili itumike kuua legacy ya Hayati Magufuli ya kufunika kasoro za sasa

    Kwa mara ya kwnza tunashuhudia upinzani wa aina yake nchini Tanzania, upinzani ambao unaacha kupigana na utawala uliopo na badala yake unapigana na kivuli cha marehemu Magufuli. Naomba ieleweke kuwa hili halitokei kwa bahati mbaya, Zitto Kabwe kukejeli ndege zilizonunuliwa na Serikali ya...
  11. Mbunge Afrika Mashariki

    JamiiForums Tanzania CUF-Chama Cha Wananchi, Taarifa kwa umma kuhusu mkutano wa hadhara kesho Magomeni Kanisani

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MKUTANO WA HADHARA KESHO MAGOMENI KANISANI: Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Lipumba kesho Jumamosi Februari 11, 2023 anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara ulioandaliwa na Wilaya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge waonyesha punic baada ya ruksa mikutano ya hadhara

    Nilikuwa najiuliza kwanini wabunge wameanza kuongea kishabiki kwenye bunge hili? Jibu kumbe ni mikutano ya hadhara. Wemekuwa waki lalama kama vile wenyewe ni wapinzani na kupuuza ukweli wa mambo. Kizuri Bashe amekuwa anajua data kuliko wenyewe. Mikutano kuruhusiwa tu sasa tumeshaanza kuona...
  13. YB Renny

    JamiiForums Tanzania Suala la ukusanyaji taka mitaani, majumbani na maeneo ya hadhara

    Ningependa kujua suala la ukusanyaji wa taka katika mitaa, majumbani...tangu nimerudi kutoka nchi za wenzetu... sijawahi kuona gari la taka likipita...au utaratibu wa hii nchi ukoje ... maana naona ni tofauti sana..
  14. Mbunge Afrika Mashariki

    JamiiForums Tanzania Chama cha CUF wananchi wilaya ya Kinondoni kufanya mkutano mkubwa wa hadhara Magomeni Februari 2, 2023

    CuF- chama cha wananchi wilaya ya kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia prof.Lipumba. Usipange kukosa njoo tuisimamishe kinondoni, njoo tuijaze magomeni. #ChamaMakini #ViongoziMakini
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni lini John Cheyo na Prof. Lipumba watafanya mikutano ya hadhara?

    Imebidi niulize ili labda kama kuna anayejua ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Wanasiasa hawa na vyama vyao atueleze. Mchumi Lipumba na Bwana Mapesa ni wanasiasa wakongwe mno, bila shaka wataitumia fursa hii ya mikutano ya hadhara ili kuimarisha vyama vyao.
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuzindua Mikutano ya Hadhara Februari 19

    Siku moja baada ya CHADEMA kuzindua mikutano ya hadhara jijini Mwanza, Chama cha ACT Wazalendo nacho kimetangaza kuanza mikutano yake Februari 19, 2023 jijini Dar es Salaam. Akisoma maamizio ya kamati kuu ya chama hicho iliyoketi jana Dar es Salaam, katibu mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mikutano ya hadhara haikufutwa na Magufuli peke yake

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa haukuwa wa Hayati John Magufuli pekee, bali na uongozi wa chama chake- Chama cha Mapinduzi (CCM). Mbowe ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 22, 2023 katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Siamini kuwa CHADEMA hawana watu wa kusema kwenye mikutano ya hadhara hadi wawasubiri Lissu, Lema, na Wenje

    Hawa vijana wa CHADEMA waliojazana humu na kutoa maneno ya kejeli kumbe ni bure kabisa. Ni bure kiasi kwamba hawawezi kuongea kwenye mikutano ya hadhara na ndiyo maana wameahirisha kuanza mikutano ya hadhara hadi Lissu, Lema, na Wenje waje.
  19. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Nape aonya waandishi mikutano ya hadhara

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewasihi waandishi wa habari kuepuka kuandika maneno yasiyo ya staha na kuegemea upande mmoja wakati wa mikutano ya vyama siasa iliyoruhusiwa na Rais Samia Suluhu Hassan hivi karibuni. Nape alienda mbali zaidi na kusema...
  20. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wanasiasa wanaofanya siasa za matusi, na kashfa zilizosababisha mikutano ya hadhara ya kisiasa kuzuiwa

    Taarifa zilizotoka za kuruhusu mikutano ya hadhara ya kisiasa hapo majuzi zinadai kuwa mikutano hiyo ilizuiwa baada ya baadhi ya wanasiasa kufanya mikutano hiyo kuwa pango la matusi,kashfa na uchochezi. Hebu kwa uchache tukaone haadhi ya video za wanasiasa hao
Back
Top Bottom