habari

  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Nawapongeza vyombo vya habari nchini, mpo sahihi sana, sio lazima tuige mtindo wa kuishambulia nchi yetu

    Waandishi wa Habari mlikuja kulalamika kwamba wananchi wanawashambuli kuhusu kukaa kimya, baada ya statement hii ya semaji Gerson Msigwa mna lipi la kusema? ==== Kuhusu vyombo vya habari vya Tanzania, Msigwa ameanza kuvipongeza kutokana na kazi nzuri wanayofanya kwa weledi na umakini mkubwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa

    Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Msigwa, Serikali inaumizwa na CNN kuweka HABARI za Mauaji, ila Serikali Haiumizwi na Mauaji iliyoyafanya Kwa Wananchi

    Mnaendelea kutupa sababu za Maandamano DEC 9 , tutatoka!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya habari vya nje vimechapisha na kutangaza taarifa za upande mmoja na kupotosha kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi

    Msemaji Mkuu wa Serikali amedai kuwa Vyombo vya habari vya nje vimeandika habari ya upande mmoja kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi "Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Vyombo vya nje vifuate taratibu za uandishi, walichofanya CNN, Al Jazeera na wengine sio sawa, ni ukiukwaji wa makusudi

    Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika. Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na...
  6. JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa kuongea na Waandishi wa habari leo Nov 23, 2025

  8. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania puuzeni babari zinazotolewa na CNN, kwa sababu ni chombo ambacho hakiaminiki na kimeshutumiwa sana na Donald Trump

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kuwaambia ya kuwa kaeni Makini sana na habari na taarifa zinazotolewa na CNN ya Marekani. Kwa kuwa ni chombo ambacho kimekuwa kikitumika kufanya propaganda na kutoa taarifa zenye kuleta taharuki ,kuchafua watu, taasisi, Nchi,jumuiya na hata vyama vya kisiasa...
  9. JamiiForums Tanzania nyinyi si mnasema ni vyombo vikubwa vya habari tz aibu naona mm

    oneni sasa wananchi wameamua kupuuza habari zenu hawatoi hata maoni
  10. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Larry Madowo: Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma

    Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma. Lakini sisi tunaieleza dunia kupitia televisheni na mtandaoni.
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 TCRA yatoa onyo kwa vyombo vya habari kusambaza maudhui yanayoweza kuhatarisha amani kutoka kwa watu wenye kesi za uhaini

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kuutaarifu umma na kuvikumbusha vyombo vyote vya habari nchini, ikiwemo televisheni, redio, machapisho, mitandao ya kijamii, tovuti na majukwaa ya kidijitali, juu ya wajibu wao wa kufuata sheria na kanuni za mawasiliano katika kutoa habari kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Waandishi wa Habari: CCM Yatangaza Taarifa Muhimu Kutoka Makao Makuu - 19 Novemba 2025

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya mkutano maalum na waandishi wa habari utakaofanyika Jumatano, tarehe 19 Novemba 2025, katika Makao Makuu ya CCM, kuanzia saa 5:00 asubuhi. Mkutano huu ni sehemu ya jitihada za chama kutoa taarifa kwa umma, kufafanua masuala muhimu ya kisera, na...
  14. JamiiForums Tanzania The Return of Makonda in Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo - Makonda ni Mlokole, Mcha Mungu Kwelikweli

    Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja. Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua. Watu wale wenye nia mbaya na Taifa la Tanzania ninauhakika wameanza kutetemeka. Karibu makonda...
  15. JamiiForums Tanzania D9 ndio Habari Kagame looo

    Habari Kila kona. D9 una division Four points 28 inaturudisha kule kule Mo9. Nii ni mbaya na ngumu kumeza Pamoja na msamaha wa jana naona ni mwendo wa D9. Hapa nahisi Namba moja wa Kule Kwa warembo anatumia mwanya wa hili janga. Ninavyomjua yule mtu mrefu hataacha yapite bila kujichukulia...
  16. JamiiForums Tanzania Nimesoma bandiko la mwandishi wa habari Twitter kwamba kuna watanzania wameanza kupewa silaha na Kagame

    Kuna muandishi wa habari Rwanda ambaye makazi yake ni Marekani kaandika kwenye Twitter yake kwamba kapenyezewa habari na watu wake wa karibu waliopo ndani ya jeshi la Rwanda kwamba Kuna watanzania wameanza kupewa bunduki na wanajeshi wa Kagame hii ishu ni inaweza kuwa serious wakuu sababu huyu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika akishapata Ajira, Cheo au biashara hana habari na mambo ya haki, mali, wala shida za Tanganyika

    Mpe mtanganyika ajira, cheo, tenda au awe na biashara yake, atajiona wa tofauti sana,
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, ruhusuni JamiiForums kwasababu kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika kupitia habari

    Maendeleo makubwa hayawezi kuja pasipo kufahamu changamoto zinazozuia mafanikio JamiiForums kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika hasa katika maswala yanayoigusa jamii kwa ujumla kupitia habari, jambo lililokuwa likisaidia Serikali kuona changamoto za Wananchi wake na kutatua...
  19. JamiiForums Tanzania Jennifer Bilikwija Jovin, ashitakiwa kwa Uhaini kwa Sababu ya Kuhimiza Umma Kutumia Barakoa kwa Usahihi

    Kushoto: NIffer akiwa katika make-up yake katika sura ya kikazi. Kulia: NIffer akiwa anashuka kutoka kwenye karandinga la magereza mahakamani kwa kuchechemea, kuashiria kuwa amepigwa hadi kuteguliwa mguu. Jennifer Bilikwija Jovin, maarufu kama "Niffer" ni Mwandishi wa Habari, Mwanamitindo na...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA na Askofu Mwamakula acheni kuchapisha mitandaoni habari za uongo

    Inasikitisha sana kuona huyu Askofu wa CHADEMA, ndugu Mwamakula pamoja na chama chake wakipost mara kwa mara habari za uongo ili mradi kuishambulia CCM. Wakikamatwa na kufunguliwa mashtaka watamlaumu mtu? Jana Askofu wa CHADEMA kazusha kuwa Rais Samia kahojiwa na THE REPORTER KE na kujibu jinsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…