habari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, umeshasikia habari za Waafrika wa Bombay?

    The Bombay Africans in the 19th century, Waafrika waliookolewa na wanamaji Waingereza kutoka jahazi zilizobeba watumwa kwenye Bahari ya Hindi; wengi walikuwa vijana, watoto au wanawake. Waingereza waliwapeleka kwenye vítuo maalum huko Uhindi - Bombay; maana waliona wakiwarudisha pwani la Afrika...
  2. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli angejaliwa subira hakika angekuwa habari nyingine

    Pamoja na kupungukiwa subira hakika JPM alikuwa na tamaa ya dhati kabisa kuisaidia Nchi yetu iweze kufikia maendeleo ya kweli. JPM hakuwa na subira ya hata chembe kitu ambacho kiliwaumiza na wasio husika. Mfano mzuri ni suala la vyeti fake JPM alitakiwa angalau wale ambao walikuwa na uzoefu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Fursa kwa wakazi wa Dar Fursa ya ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko

    Fursa kwa wakazi wa Dar es salaam na Habari ndugu,napenda kuwapa taarifa kuwa kuna fursa ya uanzishaji na ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko Dar es salaam. Maeneo yanagaiwa kwa walio tayari kwa ufugaji na pia kwa maelezo zaidi unaweza nitafuta kwa 0762842787 kupata taarifa zinazohusiana...
  4. JamiiForums Tanzania Habari wadau wenzangu

    Wakuu nina shida na kioo cha tecno phantom 5 ila kiwe na bodi lote maana hii nilioletewa imevunjika vunjika mwenye nayo tuyajenge
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari Gordon Kalulunga adaiwa kusakwa na Jeshi la Polisi, aishi mafichoni

    Mwandishi wa Habari mkongwe Gordon Kalulunga anadai kusakwa na Jeshi la Polisi kila Kona ya jiji la Mbeya. Kwa maelezo yake Kalulunga anasema tarehe 6 mwezi huu saa sita mchana alipigiwa simu na Msaidizi wa OCCID wilaya ya kipolisi Mbalizi Christopher Makawia na kumwambia, "tukutane pale Benki...
  6. JamiiForums Tanzania Maelfu waandamana Addis Ababa kupinga propaganda za vyombo vya habari vya magharibi

    Maelfu waandamana mji mkuu wa Ethiopia “Addis Ababa “ kupinga propaganda dhidi ya nchi yao, wakivitaka vyombo hivyo kuacha kuitangaza vibaya nchi hiyo. Huku wengi wakiahidi kuwa wapo teyari kupambana na vikosi vya Tigray kama wataitaitajika kufanya hivyo kulitetea taifa hilo.
  7. JamiiForums Tanzania Uwepo wa waandishi wa habari makanjanja ni hatari ndani ya jamii/ nchi

    WAANDISHI MAKANJANJA NI HATARI NDANI YA NCHI. Anaandika Robert Heriel. Leo nitatumia lugha ngumu kidogo, nafahamu nazungumzia kazi za watu ambazo zinawaingizia kipato. Hata hivyo Nia yangu sio kuonyesha ubinafsi, kuwaonea kijicho, isipokuwa kuwataka wabadilike, ili tujenge jamii Bora na taifa...
  8. JamiiForums Tanzania Wanahabari walia na waajiri kutopeleka michango mifuko ya hifadhi ya jamii

    Giza limetanda sekta ya habari wana habari hususani wa sekta binafsi walia na waajiri kitopeleka michango katika mifuko ya hifadhi ya Jamii e.g (Nssf). Mbunge Ester Bulaya ambae kitaaluma ni mwanahabari pia, juzi bungeni aliuliza swali dogo la nyongeza kuhusu kilio cha wana habari...
  9. JamiiForums Tanzania TBC ni kituo cha kwanza duniani kuwa na studio yenye jiko

    Wadau habari zenu !! Siku ya leo majira ya asubuhi nilioata wasaa wa kutazama chombo chetu cha habari cha taifa TBC TV katika hali ya kustaajibisha leo nikaona studio yao ina jiko kitu ambacho nimekiona cha ajabu sana,. Nimebahatika kutazama vituo kadhaa vikubwaa mfano CNN, BBC, Al jazeera...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Habari njema sana kwa wamiliki wa magari

    Kuanzia sasa, Serikali yetu, Awamu ya Sita, imeamua kununua mafuta moja kwa moja kutoka nchi marafiki. No mtu kati tena!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar

    Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam. ===== CCM yapiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia mjini CHAMA Cha...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
  13. JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia kwenye Vyombo vya Habari

    Taasisi husika zinashauriwa kuwa na mpango mkakati wa kutoa elimu za mara kwa mara maeneo ya kazi ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa ya ngono katika vyombo vya habari Vilevile ni muhimu kuanzishwa dawati huru la kuripoti kwa siri vitendo hivyo pale vinapotokea
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Kijaji avitaka Vyombo vya Habari Kutangaza Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru

    Waziri Dkt .Kijaji Avitaka Vyombo vya Habari Kutangaza Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru Na. Paschal Dotto-MAELEZO Waziri wa Habari, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na kufanya kazi na vyombo vya habari katika kutangaza mambo...
  15. JamiiForums Tanzania Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

    Ni Simba Sports Club Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Fc Kutoka Botswana. Baada ya Mechi Iliyopita Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli Mbili Bila Ugenini, Leo Jwaneng Galaxy Wanakuwa na Kibarua Kizito mbele ya Miamba ya Soka Afrika Simba Sc kuhakikisha Wanapata Ushindi Wa Goli 3 bila Dhidi ya Wenyeji Wa...
  16. JamiiForums Tanzania Wakati mnawafanyia harassment wamachinga, mnakumbuka habari ya Mohamed Bouazizi aliyesabababisha serikali za kiarabu kuanguaka?

    Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai. Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao. Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vinewasaliti Wamachinga na Watanzania

    Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga. Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba: Wengi wanapoteza...
  18. JamiiForums Tanzania Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

    Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo. Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
  19. JamiiForums Tanzania App ya kudownload movie zilizotafsiri na sizoni bure

    *****†********
  20. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka azungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma

    NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI WA CCM, SHAKA HAMDU SHAKA ALIPOKUA ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO 12 OCTOBA 2021 DODOMA "Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kusimamia na kuimarisha haki za binadamu, usawa, demokrasia, kupinga aina zote za ubaguzi pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…