habari

  1. JamiiForums Tanzania Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Wanahabari, Isack Gamba, Ahmed Juma Baragaza, Fredwaa, Ephraim Kibonde, Agnes Almasy, Samadu Hassan, Gardner G Habash, Prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo. Inaweza ikawa ni kawaida au isiwe kawaida hasa tukifanya ulinganifu na tasnia nyingine ambazo ni siasa...
  2. JamiiForums Tanzania Propaganda za Oakland zinadaiwa kuwayumbisha The Guardian na vyombo vya habari

    Propaganda za Oakland zimewayumbisha The Guardian na vyombo vya habari. Mradi wa Regrow unaendelea na fedha zinatoka kama kawaida. Kumekuwa na taarifa hasi kuwa benki ya Dunia imesimamishwa kuendeleza mradi wa REGROW taarifa hizi si za kweli ni upotoshaji wa taasisi ya Oakland institute. Kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia mafuriko nchini, miaka 60 ya muungano na SGR ya Dar-Dom

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Mobhare Matinyi Msemaji Mkuu wa Serikali. ======== Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi, Aprili 20, 2024 jijini Dar es salaam ametoa taarifa kuhusu hali ya mafuriko nchini...
  4. JamiiForums Tanzania Uhuru wa habari wakati wa Magufuli ulikuwaje?

    Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively, 1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania? 2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri vipi waandishi wa Habari? 3. Kulikuwa na uvumi kuwa Magufuli alikuwa akiwafuatilia waandishi wa habari...
  5. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
  6. JamiiForums Tanzania Njama za uhaini za kina Hans Poppe (Sehemu ya 2️⃣)

    Karibu katika sehemu ya pili ya uchambuzi wa kina wa kesi ya Hatibu Gandhi na wenzake dhidi ya Jamhuri. Kesi iliyo na historia ya kuvutia na kusisimua sana, kesi iliyoficha mengi yasiyojulikana haswa na kizazi cha sasa cha Tanzania. Kesi inayomuhusisha nguli wa maswala ya michezo mzee wetu...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania haina Polisi wala waandishi wa habari

    Kiukweli nimekereka mpaka basi, kuona waandishi wa habari wanamdhalilisha bila huruma yule dogo wanayesema amebaka kuku. Polisi nao na ukiritimba wao wameenda kituo kizima kumkamata. dogo kama yule ni wakufuatwa nakikosi chote kile? alikua au? Mbona hao polisi wakiitwa kwenye show za kiume...
  8. JamiiForums Tanzania Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar yaongeza kasi ufuatiliaji marekebisho sheria za habari

    Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO) imekuwa mstari wa mbele katika jitihada za kufuatilia mchakato wa marekebisho ya sheria za habari ikiwemo sheria ya Utangazaji No. 7 ya 1997, ambayo ilifanyiwa marekebisho na sheria No. 1 ya 2010. Katika vikao mbalimbali ZAMECO ilitoa...
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu haliya mvua na maafa ya mafuriko nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HALI YA MVUA NA MAAFA YA MAFURIKO NCHINI
  10. JamiiForums Tanzania Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na Mvua Kubwa katika Mikoa ya Morogoro na Pwani

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Ijumaa, Aprili 12, 2024 3:30 Asubuhi Ukumbi wa TTCL, Jengo la TTCL, Ghorofa ya 12, Barabara ya Samora, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/nUer3g5TXCs?feature=shared UPDATES Mvua na Mafuriko Itakumbukwa kwamba tarehe 24...
  11. JamiiForums Tanzania Azam Media waomba Radhi kwa wadau wa mpira kwa kurusha interview ya Mahojiano na aliyekua mchezaji wa Yanga Sc Fiston kalala Mayele

    Azam media wameomba Radhi mashabiki, uongozi wa Yanga Sc na wadau kwa ujumla. --- Azam Media Limited imepokea mrejesho kuhusu mahojiano yetu na Fiston Mayele, aliyewahi kuwa mchezaji wa Young Africans Sports Club. Tumejiridhisha kuwa Young Africans Sports Club haikupewa nafasi ya kujibu hoja...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kuwekeza kwenye taxi mtandao

    Nimefanya Kazi ya uber kwa muda kidogo Nikiwa napewa Day waka na Watu au Marafiki zangu. Sasa nimefanikiwa Kupata kiasi cha pesa nahitaji Gar za mkataba au mikopo Nafuu . Pesa niliyonayo ni Million 3. Sehemu nyingi nilizoenda wanataka Hati ya Nyumba. Sasa naomba msaada kwa yeyote anaejua juu...
  13. JamiiForums Tanzania Kamati ya taifa ya Maafa imetembelea Rufiji na Kibiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAAFA YA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI MKOANI PWANI
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Hizi habari zipelekwe kwenye jukwaa lake

    Leo tumeamka na nyuzi za lugha mpya na zina dominancy ya kutosha humu, nashauri zipelekwe kwake kwenye eneo husika maana nimeliona lipo humu
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi nguli wa maudhui ya kiingereza, Zephania Ubwani afariki dunia

    Mwandishi mkongwe wa habari nchini, aliyekuwa akiandikia Gazeti la The Citizen linalochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Arusha, Zephania Ubwani amefariki dunia leo mchana baada ya kuugua ghafla wakati akiwa katika majukumu ya kikazi katika Hoteli ya Kibo...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa azungumza na Vyombo vya Habari

    Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3 Aprili, 2024. 📍 Dodoma, Tanzania.
  17. JamiiForums Tanzania Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

    Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara. Inasadikika kuwa chanzo...
  18. JamiiForums Tanzania Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo

    Israeli parliament passes law paving the way for Al Jazeera closure Prime Minister Benjamin Netanyahu promises to use the law to shutter local operations of Al Jazeera. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has promised to “act immediately to stop” Al Jazeera’s operations in the country...
  19. JamiiForums Tanzania Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

    Habari. Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2. Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Wanauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari. Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo...
  20. JamiiForums Tanzania TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…