habari

  1. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam. Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya Israel: Hamas imechagua mtu hatari zaidi kuongoza harakati hiyo baada ya Haniyeh

    Shirika la Utangazaji la Israel lisema kuwa uteuzi wa Sinwar unashangaza na ni ujumbe kwa Israel kwamba yu hai na kwamba uongozi wa Hamas huko Gaza uko imara, upo na utabaki. Kwa upande wake, mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati wa gazeti la Times of Israel, Avi Iskharov, amesema kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Habari njema: Venezuela yaalikwa mkutano ujao wa BRICS+

    Mshindi wa kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu uliomalizika juma lililopita nchini Venezuela, Bwana Nicholas Maduro amepewa mualiko wa kuudhuria mkutano mkuu wa BRICS(jumuiya mpya inayokuwa kwa kasi zaidi duniani), utakofanyika katika mji wa Kazan-Urusi mwezi Oktoba mwaka huu. Mualiko huu unaweza...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa ITV ukiondoa taarifa ya habari, wana kipindi gani kingine cha maana?

    Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku. Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania. Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Habari za Wakati wanajamii; Napenda kufahamu Namna Gypsum (Calcium Sulphate) inavyotumika kupunguza Chumvi kwenye udongo shambani.

    Habari za Wakati wanajamii; Napenda kufahamu Namna Gypsum (Calcium Sulphate) inavyotumika kupunguza Chumvi kwenye udongo shambani.
  6. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

    Hii Taarifa ina ukweli gani? Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki === Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari havikuwepo ndani ya chumba cha Mahakama wakati maamuzi shauri la Mwambukusi yanasomwa: Je, walikatazwa kuingia mahakamani?Na nani?

    Leo huku ya shauri alilofungua Maambukusi imetoka. Wakati kesi hii inaanza hadi inamalizika vyombo vyote vikubwa vya habari nchi vilijiweka mbali na viunga vya Mahakama. Hakuna chombo kinachofafanunua chanzo cha kesi, hoja na utetezi uliotolewa. Hakuna chombo kinachofahamu TLS iliwakiulishwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Vyombo vingi vya habari havina taarifa za kutosha za yanayoendelea nchini. Tunategemea hawa ndio wahabarishe umma juu ya mambo ya msingi?

    Kila wakati huwa ninajiaminisha kuwa umma mkubwa wa watanzania hawako informed kabisa, yaani wako kwenye gizo totor kuhusu mambo ya nchi yanayogusa maisha yao. Hii inakuwa reflected na idadi ya ounline news outlets tulizonazo. Jambo kubwa lililotokea kwenye serikali jana ni mabadiliko ya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani

    Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
  10. L

    JamiiForums Tanzania IMF kuinua makadirio ya ongezeko la uchumi wa China ni habari njema kwa uchumi wa dunia

    Hivi karibuni Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liliinua makadirio ya ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wa 2024, kutoka asilimia 4.6 za awali hadi asilimia 5, hatua inayoonesha imani ya jumuiya za kiuchumi za kimataifa kuhusu uchumi wa China. Makadirio haya pia yameongeza matumaini...
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Magoma akana kushinda kesi dhidi ya uongozi wa Yanga

    “Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Mbona Maafisa wa Habari wa Timu za Tanzania zilizoshiriki 'Kagame Cup' ya mwaka huu hawatuambii imekuwaje 'Wametepeta' mapema sana?

    Itasaidia sana kama wakisema kile Kilichowaponza ili Vilabu vingine vya Simba, Azam na Yanga vijifunze kwa baadae.
  13. JamiiForums Tanzania Naombeni kujua jamani

    Hi guyz, Wakubwa shikamooni. Mimi ni mgeni, naomben kujua vitu vya kuzingatia nsije nkajikuta nimepuyanga jomon .
  14. L

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha Republican mwishoni mwa Mwaka huu. Imeonyesha namna wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao,kukomaa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi TBC ni ya Serikali au ya chama tawala, Mbona habari za vyama pinzani hazisikiki?

    Habari wanJF. Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivyo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
  16. JamiiForums Tanzania Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

    Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka. Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na...
  17. JamiiForums Tanzania Maxence Melo hakuwahi kufikiria kuwa mwandishi wa habari

    Maxence Melo Miaka 20 iliyopita ,bwana Melo alikuwa miongoni mwa wa waasisi wa mtandao wa Jamii Forum, mtandao uliokuwa ukiibua masuala ya rushwa na kusaidia kushinikiza uwajibikaji wa viongozi wa kisiasa. Shughuli hizo zilimpelekea kufahamika duniani, kwa kuwakilisha uandishi bora katika...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesomea Uandishi na Utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari. Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Asanteni 🙏
  19. JamiiForums Tanzania Betty Mkwasa: Fani ya Uandishi wa Habari ipo ICU kwa sasa na Nasikitika Wahusika tumenyamaza tu, huku ikienda Kufa kabisa

    "Siku hizi Mtu akiwa tu ni Maarufu, Mchekeshaji, Msanii au Mbwabwaji Mitandaoni basi haraka sana anakuwa Mtangazi wa Redio na Tv. Naumia sana kuona hii Fani yenye Heshima kubwa duniani kote sasa hapa Tanzania ikiwa ipo ICU na Siku si nyingi inaenda Kufa kabisa. Sikatai ujio wa Teknolojia kwani...
  20. JamiiForums Tanzania NATAFUTA DLDM YA KUNUNUA, DAR ES SALAAM

    Habari, Natafuta Dldm ya kununua offa yangu 2.5 Hadi 3 Mil Mauzo kwa siku angalau iwe 25k Hadi 30k kwenda juu DUKA LA DAWA MUHIMU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…