habari

  1. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi Asisitiza Ushirikiano wa Serikali na Wadau wa Habari

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba akionyesha Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB mbele ya mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Mpango wakati wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Habari zenu Wana-JF

    Habari zenu wana Jamii Forums, kwa ID ninaitwa nguvu ya buku, nina umri wa miaka 30 na ninatokea Iringa. Moja ya vitu vilivyoniongoza kujiunga humu ni kupata elimu, kubadilishana mawazo na watu, kujifunza kuhusu biashara, n.k. Ninatarajia kushirikiana na wanajukwaa wengine, kujifunza, na pia...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Habari zenu Wakuu

    Mi ndiyo nimeingia kivingine humu,kama kawaida Upendo na Heshima kwa kila mtu,tuko pamoja Wakuu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa pili wa umoja wa mabaraza ya habari Afrika

    https://www.youtube.com/live/TESsdXCNBrU?si=zVojh8cRb2WhaVBx Mkutano wa Pili wa Mabaraza ya Habari Afrika 2025 umeelezwa kuwa ni fursa ya kihistoria kwa vyombo vya habari barani Afrika kuimarisha ushirikiano wa kikanda, kukuza matumizi ya teknolojia mpya, na kushiriki kikamilifu katika...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna habari nzito inakuja hii ya polepole ni cha mtoto .!

    Wakuu mkae kwa kutulia , jamaa wa super black anaelekea kuuchochea moto
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

    Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania imetolewa kwenye taarifa ya habari ya nje

    https://www.facebook.com/share/r/1BykRQbp9J/ Dah hadi huku wamejuaje?? Kumbe fisiem imeingia madarakani tokea 1977 hadi naleo .
  8. JamiiForums Tanzania Taja habari zinazo trendi kwa sasa!!

    Mohamed Hussein Zimbwe Junior anatembea na Mkataba wa Yanga!! Zinazoonekana Mtandao siyo Romans bali ni Ukweli, Wakala wa Mohamed Hussein alikutana Na Uongozi wa Yanga Palm Hotel akapewa mkataba,Siku ambayo wakala wake alifata mkataba Walienda na Mchezaji hadi Hotelini akamuacha kwenye gari...
  9. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mrema asema CHADEMA imekuwa kama chombo cha habari

    Wakuu ni kweli hii imetoka kwa Mrema?
  10. JamiiForums Tanzania Profesa Mkumbo: Serikali na CCM tunahitaji vyombo vya habari madhubuti

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika kukuza uwajibikaji na kuimarisha utawala bora nchini. Akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari na...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachoiponza Kenya ni kuachia vyombo vya habari kuhubiri siasa kwa 95%

    Hilo ndilo kosa kubwa linalofanywa na uongozi wa Kenya siasa kwenye vyombo vyao vya habari ni Kwa 95%,vipindi vya kimaendeleo Kwa Kenya vinapatiwa 5% only,Tujifunze Kwa majirani, hakika mungu anaipenda sana tanzania yetu. #Anatuletea mifano kwenye malongo yetu. #Vyombo vya habari vinanguvu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Yezebeli kupaka wanja na kujipamba baada ya kupata habari za uhaini, aliutoa wapi?

    Salaam, Shalom! Mnasema wanaume ni majasiri, kuna mwanamke mmoja aliishangaza Dunia. Mchawi huyu alikuwa mke wa Mfalme Ahabu, alikuwa mchawi sugu, alikuwa amemtia limbwata mfalme, Mchawi huyu akauwa manabii wote nchini pake manabii wa Mungu aliye hai, waliopona kuuwawa walifichwa mapangoni...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  14. JamiiForums Tanzania waandishi wa habari ni wanasiasa Wana vyama vyao ndio maana wanaandika habari za upande mmoja nchi yetu Haina Tena hazina ya waandishi tuna machawa !

    Sisi wazee wa zamani tulioshuhudia kalamu Bora za waandishi wa habari tukiwaona Hawa wa kisasa tunachanganyikiwa!! Taaluma ya habari imenajisiwa vibaya mno ,waandishi karibia wote ni wanasiasa na wapambe na nimakuwadi wa chama Fulani ? Watawezaje kubalance habari? Leo hard news zinazohusu nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Wi-fi router za yas saiv ndio habari ya mjini, utaenjoy hadi basi!

    UNAONA UNAVYOHANGAIKA KUNUNUA BANDO KILA SIKU? WI-FI ROUTER ZA YAS (TIGO) NDO KITU PEKEEE KINGEKUSAIDIA Kua na wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose kifaa hiki. 1. Ukiwa na wi-fi unaweza kukuza biashara yako. kwasababu wateja watapenda kuja ofisin...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO RITA Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma hawajibu wananchi mitandaoni wala kusuluhisha changamoto zetu

    Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sasa nchini Taasisi ambazo ziko chini ya serikali zimekuwa zikitoa huduma mbovu kwa wateja wake kwa kiasi ambacho kinakatisha...
  17. JamiiForums Tanzania Throwback : Tupac alivyowatemea mate waandishi wa habari

    Tarehe 5 July 1994, Tupac aliwatemea mate waandishi wa habari walikuwa wakisubiri kumuhoji baada ya kutoka katika mahakama ya state Supreme mjini New York. Alikuwa akikabiliwa na shtaka la unyanyasaji wa kingono uliompelekea kufungwa kwa miezi 9.
  18. A

    JamiiForums Tanzania Zijue athari za Uchawi wa ghaskhini katika kazi zetu za kujipatia kipato

    Zijue athari za uchawi wa ghaskhini katika kazi zetu za kujipatia kipato Habari ya mchana ndugu mpendwa mfuatiliaji wa makala zetu mbalimbali zenye kukupa ufahamu juu ya maradhi mbalimbali yanayoizunguka jamii yetu, iwe ni maradhi yanayotokana na mazingira yanayotuzunguka au viumbe wenzetu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Wamiliki wa Maduka ya Spare za Magari, Mafundi, Wamiliki wa Gereji, Wapenda Habari za Magari Hii ni Yetu Sote

    Ndugu Wajumbe, Miezi kadhaa nyuma nilileta Nyuzi fulani juu la Kiu yangu ya kukamilisha jambo hili ambalo kwa asilimia 90 limekamilika, na leo ninaleta habari njema na fursa ya kipekee kwenu nyote mnaohusika na sekta ya magari nchini! Tunayo furaha kubwa kuwatambulisha rasmi App ya Auto...
  20. JamiiForums Tanzania Una habari? Wanasayansi "wameiona" Safina ya Nuhu wa Biblia

    Safina ya Nuhu ni moja kati ya habari maarufu zilizoandikwa kwenye Biblia na zinazochunguzwa sana na wanasayansi. Sasa baada ya karne nyingi za mijadala, kejeli, na mashaka, matokeo mapya ya kisayansi yameanza kugeuza mtazamo wa ulimwengu kuhusu Safina ya Nuhu. Katika milima mirefu mashariki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…