gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Waliompiga mawe Askofu Gwajima kuhusu sintofahamu ya chanjo, njooni hapa. Mtalipa fidia gani kwa waathirika wa chanjo?

    Chanjo yaanza kubadilisha utu wa binadamu. Ni kipindi cha ukweli na uwazi. Msiwafanye Watanzania mazezeta ama kwa makusudi, ama kwa kutokujua kwenu, ama kwa vyoyote vile. Kama mnavyotoa takwimu za wachanjwaji, mnaweza kutoa takwimu za kweli za wahanga wanaoganda damu na madhara mengine...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Gwajima: Machinga wanasaidia mahitaji ya haraka

    Picha Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum Dkt. Dorothy Gwajima, amesema, masuala ya changamoto za Machinga ikiwemo kuhamahama, watazungumza na Mamlaka za Mikoa ili kuona namna Bora ya kutatua tatizo hilo, na hii itakuwa ni kwa nchi nzima. Waziri...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima awapongeza Ngariba, asisitiza kupaza sauti

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewapongeza Ngariba walioacha kufanya ukeketaji na kugeuka kuwa wanaharakati wa kukemea vitendo vinavyo dhalilisha utu wa mtoto wa kike na kumuachia maumivu makali. “Tuwavushe mabinti zetu kutoka usichana...
  4. JamiiForums Tanzania Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham. Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
  5. JamiiForums Tanzania Je, treni ya Gwajima inaenda mikoa ipi, na inapita njia gani?

    Kwenye usiku wa kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017, mtumishi wa Mungu, Askofu Gwajima kupitia madhabahu ya kanisa lake la Uzima na Ufufuo aliitangazia dunia kuwa kanunua treni yake, tena kanunua kwa pesa taslimu. Ndugu Watanzania wenzangu, naomba kujulishwa hiyo treni wanapandia wapi...
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekana Askofu Gwajima ndiye mtanzania anayeishi maisha ya furaha kuliko wote

    Huyu jamaa mimi nimeshindwa kumdefine, haeleweki hatabiriki kiufupi huyu huwezi kudeal nae anajua kicheza namba sita kila sehemu yupo Kazi iendelee
  7. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima acha kumkana Job Ndugai; Rais nakujuza

    Mu hali gani! Mama is so smart sisi wataalamu wa movies za kungu fu tunamwita master. Alipoingia wengi ,hasa mm tulimdharau kuwa yuko soft anadhani uraisi ni kikoba. Muda ukaenda akachagua mbwa mbalimbali madarakani ,ndo nikajuta hata kuwa CCM nkasema huyu naee ,yeye pia muhanga wa lile...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini kila anayeshindana na Gwajima anashindwa vibaya?

    Huyu mchungaji awali aliwahi pambana na makonda ,aisee mpaka mpambano unaisha makonda alilambishwa sakafu kila round hatimaye akautwaa mkanda, Mwanabongofleva Diamond akataka kuomba pambano ila kabla mpambano haujaanza mzee wa ufufuo akafufua udhaifu wa huyu mbana pua, kuona hivyo mbana pua...
  9. JamiiForums Tanzania Gwajima: This is Ndugai I know!

    Gwajima kwenye press conference yake leo amesema mwanzoni alipomsikiliza Ndugai aliona ni kama hoja vile. Akamtumia Ndugai text “this is Ndugai I know”. Ndugai akamwambia mtani mimi nimechanja lakini naumwa. Gwajima akamwambia “mtani hautakufa mpaka tumalize safari…maana yake tufike 2025” Je...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  11. JamiiForums Tanzania Press ya Gwajima kujirudia yale ya Nape?

    Jana alisema leo Saa 5 atakuwa na jambo lake.. Hata hivyo ameahirisha ghafla mpaka Saa 9 alasiri.. Hii inanipeleka nyuma wakati Nape aliitisha press kama hii baada ya kuvuliwa uwaziri.. Baada ya kuzuiwa kutoa hotuba yake ndioo akawa hana namna isipokuwa kuitolea akiwa kwenye gari... Na hata...
  12. JamiiForums Tanzania Josephat Gwajima kuliamsha dude kesho saa 5 asubuhi

    Ameitisha mkutano na wanahabari muda huo
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Tanzania maambukizi yafikia watu 47 toka 14 kwa siku

    WAZIRI DK DOROTHY GWAJIMA AZINDUA MPANGO WA JAMII HARAKISHI NA SHIRIKISHI WA CHANJO YA COVID -19 AWAMU YA PILI === Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Kampeni Harakishi na Shirikishi kwa Jamii awamu ya pili na kusema, changamoto za...
  14. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Domokaya tuliyemchoka!

    Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima. Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani. Uongo mwiingi
  15. JamiiForums Tanzania Gwajima: Mfalme mwache avimbe, wewe songambele

    "....Mfalme hata akivimba wewe mwache avimbe lililo kuu songambele." Askofu Gwajima. "....muulizeni tuedit maandiko Matakatifu?!" Askofu Gwajima. "....Corona niliipinga kabla hata ya Ubunge na kamwe sitorudi nyuma." Amesema Askofu Gwajima.
  16. JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima: Hamnitishi kitu, nilicho nacho nimepewa na Mungu

    "Mungu akikupa amekupa, Wanadamu wakikupa ukiwapingapinga kidogo wanasema tukunyang'anye tulichokupa, heri kupewa na Mungu kuliko kupewa na Wanadamu,mimi hunitishi kitu kwasababu kila nilichonacho nimepewa na Mungu" Mhe. Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe kuptia CCM https://t.co/08EMrlwm6
  17. JamiiForums Tanzania Jerry Slaa ni utoto, Gwajima alidanganywa, Polepole amedhamiria

    Jerry Slaa ni kijana wa CCM aliyelelewa na kufundishwa maadili ya CCM, makosa aliyofanya hakujua madhara yake, Kwa sisi wakongwe ni kuwa Jerry Slaa alifanya utoto na naamini baada ya kuitwa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ametubu, hivyo adhabu yake yaweza kuwa ya kawaida. Gwajima-huyu...
  18. JamiiForums Tanzania CCM msihangaike na hawa akina Polepole, Silaa na Gwajima, bali hangaikeni na wanaowatuma ambao mmewakumbatia Sekta Nyeti na Serikalini huko

    Tena Mwenyekiti Taifa CCM ( Rais Samia ) kama Wasaidizi wako wanakuficha sasa Mimi GENTAMYCINE leo 'nakuchana' Mubashara hapa hapa kuwa kwa 85% unazungukwa na Wanafiki na Maadui zako ambao tayari wameshakupima na Kukuona ni Mwepesi kwa Mipango yao 'Ovu' Kwako hivyo shtuka mapema kabla yale ya...
  19. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Huyu Amaleki anayezungumziwa na Askofu Gwajima ni nani?

    UCHAMBUZI; HUYU AMALEK ANAYEZUNGUMZIWA NA GWAJIMA NI NANI HASA? Anaandika, Robert Heriel. Leo ni Sabato, nitazungumza Kwa uchache Sana nisichoshe watu. Ingawaje napendelea maandiko marefu mno. Tumesikia kuna Mfungo wa Masaa 72 yakumtoa Amalek katika Nchi, mfungo huo umehusishwa na Gwajima...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Tufanye gwajima anavuliwa ubunge, je ni nani wa chama gani unadhani atamrithi!!?

    Ndugu wanabodi naomba niwaulize swali la mtazamo tu. Na hii ni kutokana na waswahili wasemao dalili ya mvua ni mawingu, kwamba kutokana na maamuzi ya vikao vya ccm leo ikiwa vitaamua mbunge wa kawe avuliwa ubunge wake na kutokana pia na historia ya kisiasa ya jimbo la kawe unadhani ni chama gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…