Kwanini kila anayeshindana na Gwajima anashindwa vibaya?

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Huyu mchungaji awali aliwahi pambana na makonda ,aisee mpaka mpambano unaisha makonda alilambishwa sakafu kila round hatimaye akautwaa mkanda, Mwanabongofleva Diamond akataka kuomba pambano ila kabla mpambano haujaanza mzee wa ufufuo akafufua udhaifu wa huyu mbana pua, kuona hivyo mbana pua akakimbia, miaka ikaenda siku sikimeguka bashite akafa kwenye ulimwengu wa siasa ,kutokana na makonde mazito yaliyoharibu mhimili wake wa kisiasa.

Bwanaeeee haijakaa sawa akaibuka shemegi yake ,akaomba pambano ,mama alijitahidi kumshika mchungaji sehemu ambazo ukishikwa mwanaume unaganda kama barafu,ewolaaa kama undertaker mchungaji akautoa mkono wa mama akamkaba roba ya mbao ,mama akapiga yowe kuita kina afande na mgambo wamsaidie, hapo sasa kila upande ukagwaya kumsaidia maana undertaker anatisha!!!,si akaibuka spika mbishi akasema huyu undertaker niachieni nikammalize hawezi kumdhalilisha shemu kihivyo, watu wa karibu wakamsihi asiende maana wanaujua mziki wa undertake.

Jamaa si mnamjua mbishi kweli akaingia kwa mkwara mzito, undertaker alimwacha mama ,akamfuata spika ,spika akampiga na fimbo ,undertaker akafloat ,huku spika akishangilia kumflotisha undertaker ghafla taa zikazima ,zinawaka tunamkuta spika kafloat undertaker kasimama kamwekea mguu refa anahesabu hadi tatu undertaker anakua new siasa champion2022,akitetea taji lake la 2021 ,kuna mtu naona anataka mpambano ngoja nikanunue pepkon sinema tamu sana
 
Mpaka mr job anaachia ngazi ina maana hana cha kupoteza wamemwaga mboga nae si amwage ugali? Si hana cha kupoteza? Sisi wananchi tuko nyuma yake😂 atueleze bana movie ilichezwaje?

Hii movie kama vile inataka kunoga vile maana kazi ya gwaji boy ni kuuma na kupuliza😂 sio mhusika sana kwenye hii movie ila ni muhimu sana kwenye kuchochea ili wamalizane wenyewe. Akiona mambo yanamkaba anarudi kanisani kwake anasimama kwenye mgongo wa mahubiri😂

Nina hamu kweli, nani mwingine ana hanu na hii movie? Watu watakapoanza kufungua midogo yao🤣🤣

Kuna kipindi mr speaker aliumwa mpaka india hivi ni nini kilikuwa kimempata?
 
Gwajima ni mjinga flani tu. Anapenda sifa za kijinga za watu wa kijijini
Acha hizo. Unakumbuka sakata la Lowasa na Dr Slaa ?Gwajima alikuwa mshenga. Gwajima anakuwa close na mtu mzito kipindi kile kama Lowasa. Then akahamia kwa Magufuli. Hadi kaupata ubunge. Gwajima ni smart si mjinga.
 
Ni smart kwa misukule kama wewe
 
Huyo gwajima mbona yeye mwenyewe kashaanguka vibaya Hadi leo yupo kwenye site ya XXVideo
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Iyo ni imani yako na unavyoamin na ni haki yako kikatiba kashindana na nan na kamshinda nan

Ata halima mdee alimshindwa ila akasaidiwa na mjomba wake jiwe dikteta mkuu sasa
Ww ni muumin sasa unataka kutuaminisha kua Baba yenu wa kiroho ni mtukufu na anauwezo binafsi
 
Hio Ni kweli kabsa lakini gwajiboy hakuwahi kuthubutu kumshambulia jiwe hata kwa bahati mbaya
ila walizinguana tu sana , enzi ya Mzee wa monduli yupo CDM uchaguzi 2015 na mvurugano uliendelea mpaka akahamishwa Tangayika packers
 
Huyu mchungaji awali aliwahi pambana na makonda ,aisee mpaka mpambano unaisha makonda alilambishwa sakafu kila round hatimaye akautwaa mkanda, Mwanabongofleva Diamond akataka kuomba pambano ila kabla mpambano haujaanza mzee wa ufufuo akafufua udhaifu wa huyu mbana pua, kuona hivyo mbana pua akakimbia, miaka ikaenda siku sikimeguka bashite akafa kwenye ulimwengu wa siasa ,kutokana na makonde mazito yaliyoharibu mhimili wake wa kisiasa.

Bwanaeeee haijakaa sawa akaibuka shemegi yake ,akaomba pambano ,mama alijitahidi kumshika mchungaji sehemu ambazo ukishikwa mwanaume unaganda kama barafu,ewolaaa kama undertaker mchungaji akautoa mkono wa mama akamkaba roba ya mbao ,mama akapiga yowe kuita kina afande na mgambo wamsaidie, hapo sasa kila upande ukagwaya kumsaidia maana undertaker anatisha!!!,si akaibuka spika mbishi akasema huyu undertaker niachieni nikammalize hawezi kumdhalilisha shemu kihivyo, watu wa karibu wakamsihi asiende maana wanaujua mziki wa undertake.

Jamaa si mnamjua mbishi kweli akaingia kwa mkwara mzito, undertaker alimwacha mama ,akamfuata spika ,spika akampiga na fimbo ,undertaker akafloat ,huku spika akishangilia kumflotisha undertaker ghafla taa zikazima ,zinawaka tunamkuta spika kafloat undertaker kasimama kamwekea mguu refa anahesabu hadi tatu undertaker anakua new siasa champion2022,akitetea taji lake la 2021 ,kuna mtu naona anataka mpambano ngoja nikanunue pepkon sinema tamu sana
Njoo ujibu ndoto za watu
 
Back
Top Bottom