Laiti Gwajima na Rais Samia wangenyamaza

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,100
Reaction score
13,698
1748801348334.png

Siyo siri wala uvumi tena. CCM sasa iko msambweni tokana na matamko ya makada wake wawili Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan na Mnec Josephat Gwajima. Laiti wawili hawa wangenyamaza badala ya kuanika nguo zao za ndani hadharani.

Kwanza, Gwajima kama. mtu aliyetolewa jalalani na Magufuli na kumpa ubunge, siyo saizi ya Samia ambaye si Mwenyekiti tu bali Rais wa Jamhuri.

Pili, Gwajima alitaka kujipendekeza akaishia kujiteketeza kwenye chama kilichomvumilia kwa biashara yake ya kitapeli ya kiroho.

Tatu, ni rahisi kujua kuwa CCM itapata kazi kubwa kumshughulikia Gwajima ingawa nina uhakika watamshughulikia.
Nne, badala ya kuvuana nguo, wangeshughulikia tatizo la utekaji na ukamataji wapinzani na kuwabambnikizia kesi.
Tano, kwanini Gwajima kaona hili tatizo karibu na uchaguzi wakati lilianza wakati wa Magufuli aliyemtengeneza Gwajima kama alivyodai mbunge na msukuma mwenzake Kasheku Msukuma?
Sita, je Gwajima ana udhu wa kuaminika hata kuheshimika wakati alikuwa ndani ya chama kile kile anachokizodoa kwa kushindwa kusitisha utekaji?
Mbona. hajaongelea ufisadi na ugaidi vya kutisha ambavyo naye ni mshirika na mnufaika?
 
View attachment 3352986

Siyo siri wala uvumi tena. CCM sasa iko msambweni tokana na matamko ya makada wake wawili Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan na Mnec Josephat Gwajima. Laiti wawili hawa wangenyamaza badala ya kuanika nguo zao za ndani hadharani.​

Kwanza, Gwajima kama. mtu aliyetolewa jalalani na Magufuli na kumpa ubunge, siyo saizi ya Samia ambaye si Mwenyekiti tu bali Rais wa Jamhuri.​

Pili, Gwajima alitaka kujipendekeza akaishia kujiteketeza kwenye chama kilichomvumilia kwa biashara yake ya kitapeli ya kiroho.​

Tatu, ni rahisi kujua kuwa CCM itapata kazi kubwa kumshughulikia Gwajima ingawa nina uhakika watamshughulikia.​

Kwa hiyo uzi wako umelenga kuwanasihi wanyamaze wote wawili au nia ilikuwa umnange/umzodoe mmoja?Watu wanatekwa hawatekwi?Wanateswa au hawateswi?Kuna waliouwawa au hawapo?Tumia akili njema siyo hizo za kuandika ujingaujinga.
 
View attachment 3352986
Siyo siri wala uvumi tena. CCM sasa iko msambweni tokana na matamko ya makada wake wawili Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan na Mnec Josephat Gwajima. Laiti wawili hawa wangenyamaza badala ya kuanika nguo zao za ndani hadharani.

Kwanza, Gwajima kama. mtu aliyetolewa jalalani na Magufuli na kumpa ubunge, siyo saizi ya Samia ambaye si Mwenyekiti tu bali Rais wa Jamhuri.

Pili, Gwajima alitaka kujipendekeza akaishia kujiteketeza kwenye chama kilichomvumilia kwa biashara yake ya kitapeli ya kiroho.

Tatu, ni rahisi kujua kuwa CCM itapata kazi kubwa kumshughulikia Gwajima ingawa nina uhakika watamshughulikia.

Kwani kupinga utekwaji ni nongwa kwa nani?
 
Bado mnatapatapa hamtaki kujibu hoja za Bishop, toka artiste press hakuna hata mmoja amekuja na majibu including ikulu.
 
View attachment 3352986
Siyo siri wala uvumi tena. CCM sasa iko msambweni tokana na matamko ya makada wake wawili Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan na Mnec Josephat Gwajima. Laiti wawili hawa wangenyamaza badala ya kuanika nguo zao za ndani hadharani.

Kwanza, Gwajima kama. mtu aliyetolewa jalalani na Magufuli na kumpa ubunge, siyo saizi ya Samia ambaye si Mwenyekiti tu bali Rais wa Jamhuri.

Pili, Gwajima alitaka kujipendekeza akaishia kujiteketeza kwenye chama kilichomvumilia kwa biashara yake ya kitapeli ya kiroho.

Tatu, ni rahisi kujua kuwa CCM itapata kazi kubwa kumshughulikia Gwajima ingawa nina uhakika watamshughulikia.
Wa jalalani ni huyu kizimkazi wewe ulimfahamu lini?
 
Kwa hiyo uzi wako umelenga kuwanasihi wanyamaze wote wawili au nia ilikuwa umnange/umzodoe mmoja?Watu wanatekwa hawatekwi?Wanateswa au hawateswi?Kuna waliouwawa au hawapo?Tumia akili njema siyo hizo za kuandika ujingaujinga.
Michawa hii ni shida anashindwa tu kusema huu mzozo ukiendelea utawachania mikeka mashetani hawa
 
View attachment 3352986
Siyo siri wala uvumi tena. CCM sasa iko msambweni tokana na matamko ya makada wake wawili Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan na Mnec Josephat Gwajima. Laiti wawili hawa wangenyamaza badala ya kuanika nguo zao za ndani hadharani.

Kwanza, Gwajima kama. mtu aliyetolewa jalalani na Magufuli na kumpa ubunge, siyo saizi ya Samia ambaye si Mwenyekiti tu bali Rais wa Jamhuri.

Pili, Gwajima alitaka kujipendekeza akaishia kujiteketeza kwenye chama kilichomvumilia kwa biashara yake ya kitapeli ya kiroho.

Tatu, ni rahisi kujua kuwa CCM itapata kazi kubwa kumshughulikia Gwajima ingawa nina uhakika watamshughulikia.
Nne, badala ya kuvuana nguo, wangeshughulikia tatizo la utekaji na ukamataji wapinzani na kuwabambnikizia kesi.
Tano, kwanini Gwajima kaona hili tatizo karibu na uchaguzi wakati lilianza wakati wa Magufuli aliyemtengeneza Gwajima kama alivyodai mbunge na msukuma mwenzake Kasheku Msukuma?
Sita, je Gwajima ana udhu wa kuaminika hata kuheshimika wakati alikuwa ndani ya chama kile kile anachokizodoa kwa kushindwa kusitisha utekaji?
Mbona. hajaongelea ufisadi na ugaidi vya kutisha ambavyo naye ni mshirika na mnufaika?
Msikilizeni sana askofu,mpigieni makofi pale anapoongea yenye kuliponya taifa lakini msimuamini sana kupita kiasi kwakuwa yeye naye ni mbogamboga wale wale
 
Back
Top Bottom