gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Gwajima kawekwa kizuizini au katekwa?

    Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa. Je, na familua yake nayo imezuuwa kuongea chochote? Viongozi wengine wa kanisa lake nao wamezuiwa hata kuhoji alipo? Tukumbuke wanaopotea pia hupotea kwa stahili hii Mwenye majibu...
  2. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Mbinu za Hatari Alizotumia Gwajima Kuwatoroka Polisi

    Inaelezwa kwamba polisi walishindwa kumpata Gwajima ilhali walikuwa wamemzunguka. Maswali yanayoibuka ni je, aliwezaje kuwatoroka. https://youtu.be/yQ2zT0LD5qg?si=Brdvz6bRNVe6d2_e TANGAZO: ‘Likizo Time’ Mlete mwanao asome nasi katika kituo chetu kwa kipindi hiki cha likizo, masomo yote...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Za ndani toka kwa watu walio mafichoni na Askofu Gwajima zinasema ameshajirekodi clips kuelezea watekaji na walio nyuma yao

    Habari zilizonifikia zinasema Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima huko mafichoni aliko na wapambe wake ameshajirekodi video zinazoelezea matukio mazima ya utekeji Lengo la Gwajima ili akitoka mafichoni akikamatwa na Polisi na kuwekwa mahabusu video hizo zirushwe mitandaoni ili...
  4. S

    JamiiForums Tanzania James Mbatia ahoji kulikuwa na haja gani ya kumfuata Askofu Gwajima kwa mitutu ya bunduki na Polisi?

    James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari Juni 5, 2025 ameeleza kuwa kilichofanyika kwa Askofu Gwajima si kitu sahihi na kama walikuwa wanamuhitaji Gwajima wangemuita na siyo kumfuata kwa mitutu. "Niombe hekima itumike hapa, pamoja na yote yaliyotokea tuvuke salama hapa. Ukumbuke...
  5. S

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Kukamatwa kwa Lissu na kufungiwa kwa kanisa la Gwajima ni athari za hofu

    "Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa limefungiwa. Sasa huyu ni mtu mmoja aliyekosea kama Gwajima sasa unamfungia yeye kama yeye kama...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PUBLIC NOTICE: Mch. Josephat Gwajima yupo anaendelea na maombi aliyotangaza Juni 1 - (7 days uninterrupted Fasting and prayers) toka 2 - 8/6/2025 !

    Watu wanauliza na ku - speculate Askofu Gwajima alipo na anafanya nini... Wengine kina DC wa Ubungo mhuni Albert Msando wanadhani na kudai labda Mchungaji wetu kajificha eti kwa kuwaogopa polisi.. Anadai kama ana haki na yuko sahihi, basi ajitokeze na kueleza nini kimetokea hadi ikawa vile...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Askofu Gwajima yupo mafichoni, mteja wangu hajakamatwa

    Kanisa hilo mpaka sasa limezungushiwa utepe wa njano wenye maandishi meusi, likiwa chini ya ulinzi wa polisi na hakuna muumini anayeruhusiwa kusogea, tangu alfajiri ya kuamkia Juni 3, 2025. Juni 2, 2025, Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta kanisa hilo kutokana na...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

    DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi. Pia soma ~ Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni
  9. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Waumini wa ufufuo na uzima tutaendelea na ibada kama kawaida pale ubungo na nchi nzima kuanzia jumapili, serikali ijue Gwajima hamiliki hilo kanisa

    Kama serikali ina tatizo na Askofu Gwajima basi washughulike naye huko ila sisi tutaendelea na ibada jumapili kama kawaida. Mkitaka mje na silaha na kutuua ila wala hatutaacha kukusanyika maana hilo ni agizo la biblia takatifu. Askofu Gwajima sio mmiliki wa kiwanja au jengo na wala sio...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na sakata la Gwajima, huenda ni Move ya CCM ili atoke aende ACT akagombee Uraisi, kumbuka ya Membe

    Huenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana. Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na...
  11. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mfuasi wa Kanisa la Askofu Gwajima kindaki ndaki

    Ngongo ni mfuasi na muasisi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Baada ya dhehebu letu takatifu kufutwa na kuzuiliwa kushiriki katika ardhi ya Tanganyika sasa nimelazimika kuanza kuswali Ijumaa 🕌. Ustadhi Ngongo.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Madhehebu rafiki ya kipendekost mpeni Gwajima platform aendelee kutusemea sisi voiceless

    Gazeti la mwanahalisi liliwahi kupatwa na misukosuko ya kufungiwa kama lilivyo kanisa la Rev Gwajima. Kama mtakumbuka, Waandishi walewale wa mwanahalisi ambao walikuwa victims wa kufungiwa kwa gazeti la mwanahalisi walihamia gazeti la Mawio wakiwa na maudhui yaleyale.....na kibano kiliendelea...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Gwajima na anaogopa nini wakati anachofanya si kosa?

    Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo? Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Sioni kosa la Askofu Gwajima kukemea matukio ya utekaji nchini, hiyo ndio injili safi

    Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika TLS Wakili Boniface Mwabukusi amesema waliofunga kanisa la Ufufuo na Uzima ndio wanahusika na utekaji. Soma > Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima Amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari Juni 04, 2025 ofisini kwake jijini...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yalaani kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima, wadai ni dhuluma na ukiukwaji wa uhuru wa kuabudu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma > ACT Wazalendo...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche Apinga Kufungwa kwa Kanisa la Gwajima: 'Hatutanyamazia Utekaji, Uovu'

    https://www.youtube.com/watch?v=vO-UWuTq9AU Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema kuwa chama hicho kinaungana na msimamo wa Askofu Josephat Gwajima, juu ya kupinga masuala ya utekaji ambayo ymekuwa yakiripotiwa nchini. Heche ameongeza kuwa kutokana na msimamo huo wanapinga pia...
  17. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Huku mtaani kwetu, Gwajima kaibuka kuwa shujaa wa Taifa

    Kila sehemu Jina lake linatajwa kama shujaa kwa uthubutu wake wa kuweza kukemea utekwaji hadharani. Pia watu wanapongeza jinsi alivyoweza kuwatoroka Polisi pale Baraza la Maaskofu Kurasini na pale kanisani kwake Ubungo Gwajima Mmoja ana mbinu zaidi ya askari buku. Gwajima hakika ni Master of...
  18. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Gwajima anaanzisha ugomvi yeye halafu anawakimbia yeye like seriously ?

    Anajiita Bishop ila matendo yake kama mhuni wa kinondoni, hapendi shwari anapenda shari, mdomo usio na kiasi, ubishi, ujuaji kiburi mbele ya mamlaka ambayo ina nguvu kuliko yeye na ukoo wake wote. Tamaa yake ya kutaka kiti cha uraisi ni njema ila nia yake moyoni juu ya kutaka kiti hicho cha...
  19. tpaul

    JamiiForums Tanzania Waislamu na Wakatoliki mko wapi Askofu Gwajima ananyanyaswa?

    Wakuu naingia moja moja kwenye mada bila kuwachosha. Nawashangaa sana Wakatoliki na Waislamu kwa kukaa kimya hadi sasa huku askofu Gwajima akinyanyaswa bila wao kukemea wala kutoa tamko lolote kuhusu serikali kufunga Kanisa la Ufufuo na Uzima kihuni na bila kufuata utaratibu. Walichokifanya...
  20. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima aliomba Unaibu Waziri kwa Rais Samia

    Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!! Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!! Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
Back
Top Bottom