gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Gwajima hana mchango wowote wa maana kwa Watanzania

    Katika ulingo wa siasa na ujenzi wa taifa, mchango wa viongozi hupimwa kwa fikra, busara, na uwezo wao wa kuchochea maendeleo na mshikamano wa kitaifa. Hata hivyo, yapo majina ambayo yanapojitokeza kwenye majukwaa ya siasa, hugeuka chanzo cha mtafaruku, kejeli, na migawanyiko badala ya kuwa...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Gwajima akitumia mafuta ya kutoa mapepo yanayotengenezwa na Sheikh Mwaipopo, yanaweza kumsaidia kutoa mapepo yanayomsumbua

    Nashauri watu walio karibu na Gwajima wamshauri amuone Sheikh Mwaipopo amsaidie dawa ya kuondoa mapepo. Sheikh huyu anauza mafuta ambayo yanasaidia kuondoa mashaitwani. Nina imani yanaweza msaidia Gwajima kwa tatizo hilo
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Gwajima hawezi kujibiwa kwa propaganda za kitoto. Watanzania ni watu waelewa wanajua mbivu na mbichi

    Kuleta propaganda yaani uongo kwenye siasa ili kurubuni watu ni upuuzi. Fikiria mzee Ali Kibao alivyowauma Watanzania. Yaani mchana kweupe watu wanamchukua kama kuku na kisha kuuliwa Alafu tunaambiwa kuwa kifo ni kifo tu... Leo wanaibuka Masheikh, Wasanii machawa, wapuuzi wajinga na...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Gwajima aendelea kukiona cha mtema kuni: Kesi ya Gwajima kupinga kanisa lake kufutwa yatupiliwa mbali na Mahalama Kuu

    erikali inasema haijafuta* Kanisa la Gwajima - hakuna maamuzi ya kufuta Kanisa la Gwajima linaloenda kwa jina la Glory of Christ TANZANIA Church. Na wala Barua ya kufuta haijawahi kupelekwa kwenye Kanisa hilo. Kwamba, kinachoonekana kufutwa kwenye ile Barua ya Msajili wa Jumuiya, ni Kanisa...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Gwajima ulivyozungukwa na polisi uliwatoroka ukiwa umevaa dela, wakati wewe ni jasusi wa Mungu

    Gwajima pale ulivyozungukwa na polisi ulitoka na dela na kutokea mlango wa nyuma kwanini ulivaa dela wakati wewe unasema ni jasusi la Mungu, jasusi la Mungu livaa dela. Hukupaswa kuvaa dela ungesema mimi ni jasusi la Mungu na nyinyi ni majajusi la dunia tupambane alisema Sheikh Mwaipopo Soma...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtazamo wangu juu ya alichoongea Mchungaji Hananja kuhusu Askofu Gwajima

    MTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI ZA HANANJA DHIDI YA ASKOFU GWAJIMA Katika historia ya mataifa mengi, viongozi wa dini wamekuwa mstari wa mbele katika kukemea maovu ya kijamii, kisiasa na kiutawala. Martin Luther King Jr. alipaza sauti dhidi ya ubaguzi wa rangi Marekani; Desmond Tutu alisimama dhidi...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Hananja anajilipua kuhusu Gwajima, asema unapokuwa Kiongozi unatakiwa uwe na uvumilivu

    https://www.youtube.com/live/s50bQ_jh8Us
  8. Ahead

    JamiiForums Tanzania Gwajima hayupo peke yake,watawala msijidanganye!

    Yaani maumivu niliyonayo hapa hayaelezeki,toka wiki iliyopita najiuliza nipo Tanzania au nimetekwa na mimi nipo nchi zingine zisizokuwa na umoja wa kitaifa kwa dini na makabila yote,kinacho nitafakarisha ni juu ya kufungia makanisa ya Gwajima, Japo mimi sijawahi na sio muumini wake ila nimeona...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muumini wa Kanisa la Gwajima “Rais tusamehe, tufungulie Kanisa Watoto tusali, kama kuna tatizo malizana na Baba”

    Abel Masebo ambaye alijitambulisha kuwa ni muumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la Ufufuo na Uzima) amezungumza na Azam TV na kueleza ujumbe wake kwa Rais wa Nchi akimuomba afungue Kanisa hilo ambalo limefungiwa na Serikali. Amezungumza hayo akiwa nje ya Kanisa la Kanisa la...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Gwajima watakiwa kusalia nyumbani

    Katibu mkuu wa Kanisa la Glory of Christ (Nyumba ya Ufufuo na Uzima), Dk Erick Shoo ametangaza kutokuwa na ibada katika matawi yote ya kanisa hilo leo Juni 8, 2025 ikiwa ni utekelezaji wa kufungwa kwa kanisa hilo. Hivyo Dk Shoo amewataka waumini hao kuabudia kila mtu nyumbani kwake hadi...
  11. mshale21

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Josephat Gwajima kesho ataongea anakuja na the great come back kupitia Yuotube

    Wapenda haki kesho tumuunge mkono, kuna come back sio ya kitoto, yaliyofichwa yatafichuliwa, aliahidi kuwa atapigana hadi watekaji wajitokeze
  12. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Gwajima sahau ubunge

    Tafuta shughuli ya kufanya 2025-2030
  13. F

    JamiiForums Tanzania Gwajima kanisa lako limefungiwa kwasababu lina muonekano wa kumilikiwa na mtu binafsi

    Ungekuwa ni askofu wa Kanisa Katoliki, Gwajima ungebanwa wewe binafsi na sio kanisa lako kufungiwa. Lakini kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la askofu Josephat Gwajima, haya yamewezekana kwasababu kanisa lako lina muonekano wa taasisi inayomilikiwa na mtu mmoja (mali ya mtu binafsi). Ndivyo yaliyo...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Mathias Gwajima (video): I perform better Katikati ya mawimbi na misukosuko kama hii

    https://youtu.be/et3R9kBTCk0?si=EMC9TylxgoDfmsRO ➡Anasema "...Tulieni, maana mimi kwenye mawimbi na misukosuko ndimo huwa na perform better. Ni salama, nitatoka kwa wakati wa Bwana..."
  15. Keynez

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kusanyikeni mdai haki yenu ya kuabudu

    Kulifunga kanisa la Ufufuo na Uzima na kunyima maelfu ya waumini wa Kanisa hilo uhuru wa kikatiba wa kuabudu siyo jambo dogo linalotakiwa kuchukuliwa kwa wepesi. Ningeshauri Waumini wa kanisa hili na Watanzania wengine wote wa imani zote na madhehebu yote wanaoamini katika utawala wa sheria na...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata

    Kila mtu anasema lake.. Rais Samia: Yeye indirectly, kusema bila shaka Gwajima dini yake ni ya kichawi. Kwa hiyo inawezekana alitoroshwa na wachawi Ili asiingie kwenye mikono ya watekaji! Wengine wanasema: Siku hiyo, alijifanya mwanamke, akavaa dera, akawazuga Polisi kiasi cha kushindwa...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya wafunga Makanisa 6 ya Ufufuo na Uzima

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeyafunga makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, Mtaa wa Mnadani Rujewa VWilaya ya Mbarali, Wilaya ya Chunya, Rungwe, Kyela na Jijini Mbeya. Taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamini Kuzaga amesema wameyafungia makanisa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Hakukuwa na haja ya Polisi kutumia nguvu Kanisani kwa Gwajima, si wangemuita tu

    Mwanasiasa James Mbatia amesema hakukuwa na haja ya Jeshi la Polisi kutumika kwenda kuzingira Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kwa kuwa walitakiwa kumuita Askofu huyo badala ya kutumia nguvu. Ameongeza kuwa amekutana na viongozi kadhaa wa Dini ngazi ya Askofu...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 James Mbatia: Suala la Askofu Gwajima hekima itumike, linaanza kuibua hasira zaidi na linavuka mpaka

    Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku akidai suala la Askofu Josephat Gwajima linapaswa kushughulikiwa kwa hekima ili kupata ufumbuzi...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

    Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima. Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu...
Back
Top Bottom