Habari ya uzima wana JF,
Sina mengi ya kusema leo, ila niende moja kwa moja kwenye hoja, hakuna neno "amani" bila neno 'haki' nyuma yake.
Kama wewe ni mpenda haki, amani, uhuru na mabadiliko ya kweli katika nchi yetu, basi haya yanayoendelea dhidi ya Kanisa la Ufufuo na Uzima hayapaswi...