gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kanusho la Dorothy Gwajima kuhusu kuzushiwa kusema Polepole alikuwa rafiki wa kweli linaongea mengi sana

    Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana kuwa, Sijawahi kutoa kauli hiyo na pia si sahihi kusambaza taarifa za uzushi iwapo kulikuwa na ulazima...
  2. ngara23

    Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

    Nampongeza sana Waziri Dr Dorothy Gwajima ( wazara yake siijui vyema) Kwa kuthubutu kupinga uchafu wa ushoga ambao ni kinyume cha maadili ya Mtanzania na mtu mweusi Kwa ujumla Ushoga na usagaji ni kinyume cha nature yaani maumbile Vita dhidi ya agenda ya ushoga ni ngumu mno Nadhani hapa...
  3. jimama26

    Mama Dorothy Gwajima suala la ushoga hulioni? Mbona linazidi kushika kasi? Umenyamazishwa?

    Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako. Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu...
  4. Waufukweni

    Askofu Gwajima: Baba yangu aliniambia "watakuua" nikamwambia hafi mtu hapa

    "Siku za mwanadamu zinapangwa na Mungu, zikiisha zimeisha, hata kama ungetibiwa na watu milioni moja, zikiisha zimeisha. Siku zako kabla hazijaisha, wakuwinde na vyombo vya ajabu hautapatikana", - Ask. Gwajima. Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza katika Ibada...
  5. Pdidy

    Waziri Gwajima msaada wako huku Arusha na hii kesi na ndugu wapewe funzo kupora mali za wajane

    MAMA YETU GWAJIMA SHIKAMOO POPOTE ULIPO KWANZA NIKUTAKIE HERI YA SIKUKUU YA WANAWAKE BORA KTK NCHI HII KUTOKEA UONGOZINI NISIKUCHOSHE NAJUA UKO KTK SHAMRA SHAMRA BADO TUNAOMBA MSAIDIEN HUYU MDADA MJANE MUMEWE KAFIA..NDUGU WAMEPORA HELA ZA MCHANGO NA SASA WANAPORA NA MADUKA NA NYUMBA MBAYA...
  6. Samia atosha tukutane2030

    Jasusi wenu Gwajima karudi kasi kwenye kazi yake ya utapeli

  7. Carlos The Jackal

    Kama walishindwa kujua Mh Gwajima Bishop alipo, basi Hawana intelijensia yoyote , Kauli ya Polisi ya "Tunawafatilia" ni Kujimwambafai tu !!.

    Jambo nalowahakikishia kama Mh Polepole , Balozi, alifika Nchini hawakujua, Kakaa miezi yote hiyo hawakujua, Utasema wana INTELIJENSIA??. Bisho Gwajima Kakaa Dar , muda wake wotee huo mpaka Leo hii, hata hawajui anapolala ,licha ya wao KUMFATILIA sana usiku na mchana , Utasema wana...
  8. R

    Gwajima wa Ufufuo na Uzima aja kivingine. Mkwara wa "kufa mtu"

    Kila mmoja atumie njia anayoweza kuikomboa TANGANYIKA. Gwajima msikilize, namuunga mkono , ndiyo njia aliyochagua! Wewe na mimi Je?
  9. The Father of All

    Gwajima wataje watekaji badala ya kujibaraguza na kutafuta kiki kwa uchawa na utapeli

    Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye akili zake anayeupenda ukiachi wauaji wetu . Kinachoshangaza ni kusema eti serikali na vyombo vya...
  10. Idugunde

    Askofu Gwajima alikuwa wapi? Hao watu anaosema ameaacha kama wafungwa wapo wapi?

    Anasikika juzi kwenye ibada ya mwaka mpya akisema kuwa kuna watu ameaacha mahala wamewekwa kizuizini Amesema atataja aseme mapema ili tujue kama watu bado wapo hai ambao tunadhania walishauwwawa. Please Askofu sema ukweli ulikuwa wapi?
  11. S

    Hawa ndiyo wanaccm wanaoteswa na Samia. Wanaccm wengine 2026 hii pazeni sauti kama Gwajima! Nanyi hamko salama

    1. Humphrey Polepole. Alikuwa balozi, katibu mwenezi wa ccm taifa na mbunge. 2. Geoffrey Mwambe. Alikuwa waziri wa uwekezaji na mbunge. 3. Daniel Chonchoriro. Mjumbe wa mkutano mkuu CCM. 4. Sinda Mseti . Mgombea udiwani kupitia CCM huko Sirari. 5. Gwajima . Alikuwa mbunge (CCM) Jimbo la...
  12. The Palm Beach

    Askofu Josephat Gwajima: Mlipaswa kunisikiliza. Hata hivyo itakuwa vilevile kama nlivyowaeleza...!

    https://youtu.be/4ZAYXzEBXt8?si=izBx2goyWhBTHUYH RV Mahuburi ya Askofu Josephat Gwajima Jana katika mkesha wa mwaka mpya kanisa GCTC - UFUFUO NA UZIMA yalikuwa too philosophical, indirectly yakiwalenga watesi wake - CCM, Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake... Soma pia PreGE2025 - Askofu...
  13. R

    PostGE2025 Askofu Gwajima: Ilibidi Maaaskofu wetu wakimbie nchi kuokoa uhai wao

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema Kanisa halitayumbishwa wala kujadiliana katika masuala yanayohusu imani yake, akisisitiza kuwa yuko tayari kuisimamia imani hiyo kwa gharama yoyote. Akizungumza katika ibada ya kufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026...
  14. The Father of All

    Kama gwajima si chawa na pandikizi, inakuwaje hatekwi kama akila Ben Saa8 na Humpy Polepole?

    Kichwa kiko wazi. Nashindwa kumuelewa tapeli na askofu wa kujipachia Josephat Gwajima. Anajitahidi kutupiga changa la macho akijifanya kulaani utekaji na maovu ya chama chake. Ukimchunguza, licha ya kuwa. tapeli wa kidini kama wengine wanaowahadaa na kuwaibia mazwazwa na wavivu waliokata tamaa...
  15. The Father of All

    Tuliwaonya kuwa Gwajima ni chawa mkatupuuzia

    Leo, tapeli gwajima anatesa. Wapo walioahadaika wakadhani anaichukia serikali wakati ni chawa wake. Ukiangalia anavyopayuka na kuendelea kuwa huru ukamlinganisha na Polepole, unapata jibu. Gwajima si chawa wala tapeli tu la kiimani na kiasiasa. Tumtahahadharini jamani.
  16. W

    Neno la Mwaka 2026 kutoka kwa Asofu Gwajima

    Wakuu, Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa Neno ni kutoka Matendo 27:25 "Basi wanaume changamkeni kwa sababu namwamini Mungu ya Kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa"
  17. Sifi Leo

    Ni kweli maandamano yalianzia kwa Mpina kisesa, na kwa Gwajima Ubungo? Je wako wapi?

    Moja ya kauli aliyowai kuitoa RAIS Samia, ni kuwa adui zake no wale wa kijani na sio vinginevyo hahahaha! Je, ni kweli maandamano upande wa Mwanza yalianzia kisesa kwa Luhaga Mpina? Je, hao walipmdamana walipewa pesa na Mpina? Kwa upande wa Dar mambo yalianzia kwa KANISA la Mzee Gwajima...
  18. Common Folk

    Nitashangaa kama serikali haijaandaa "VIONGOZI WA MAANDAMANO". Gwajima au Polepole wangefaa sana. Hao ndiyo wana ushawishi pande zote

    Ulishajiuliza kwa nini Kenya Gen Z walikuwa wanaandamana huku wakiwa na viongozi ila serikali haikuwa inawakamata hao viongozi (wanaharakati)?. Kenya kwa sasa iko shwaaariii! Jibu ni kwa sababu ni rahisi ku-contain maandamano yenye viongozi kuliko yasiyo na viongozi. Leaderless demonstrations...
  19. October 2pm

    Wamemshindwa Gwajima wataka kupambana na Wakatoliki. Astaghafirullah

    Mwaicheza baikoko hiyo. Mweee! Walahi mwaingia maskani ya vita. Mwafikiri kubeba silaha ni kushinda hehee. Hamjui mtajuzwa. Kikundi ya Gwajima hakizidi watu elfu arobaini kimewatoa nishai. Mwathubutuje kuingia kwa Wakatoliki. Mwacheza Nye. Humohumo wamo. Hehee. Kati yenyu wamo. Mayii. Miye sijui...
  20. M

    PostGE2025 Mchungaji Hananja alimponda Askofu Gwajima kuwa anatukana Matusi madhabahuni, leo mwanaye kapigwa risasi

    Nimeshanga sana kusikia kuwa Mch Hananja ana mwanae anayesoma Udsm. Alipigwa risasi Mgongoni na ana jeraha kubwa. Huko nyuma alimtakia Askofu Gwajima kuwa aache matusi madhabahuni. Kisa tu anakemea utekaji na maovu. Hapa tunajifunza nini? Tusitetee maovu.
Back
Top Bottom