guest house

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hakimu adaiwa kujiua akiwa 'Guest House' Sumbawanga

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga iliyopo Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Michael Royan (31) anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumba ya kulala wageni ya ‘gesti’ iliyopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani humo. Akizungumzia tukio hilo leo Jumanne Novemba 29, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani...
  2. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Ajinyonga akiwa Guest House na kuacha ujumbe, "Maisha hayana maana"

    askari Polisi wa kituo cha kati cha Dar es Salaam (jina kapuni) amekutwa amejiua kwa kujinyonga katika nyumba ya kulala wageni. Askari huyo kabla ya kujitoa roho aliacha jumbe mbali mbali mojawapo ni kudai kuwa "maisha hayana maana" Askari huyo alijaribu kujizuia kujiua mara kadhaa lakini...
  3. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Shinyanga naomba mniambie sehemu nzuri ya kulala (Guest house)

    Habari za asubuhi wapendwa? Next week nina safari ya kwenda Shinyanga mjini, Sasa kwa wenyeji wa mji huu naomba mniambie sehemu nzuri ya kulala (Guest house), ya bei ya kawaida lakini pawe na huduma za msosi na vinywaji, sehemu ambayo naweza kupunguza stress za maisha na safari.
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania 1786 kulikua na shreia na taratibu za kufuata ukichukua chumba Guest House

  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika biashara ya nyumba ya wageni (Guest House)

    Nyumba ya wageni ikiwa kwenye location nzuri, penye shughuli za kibiashara, ni biashara iitakayo kuingizia pesa ya kula hata na ya ada ya watoto. Sikuhizi watu wanapenda vyumba ensuite, hivyo uwe na uhakika wa kupata maji. Maji yakikosekana fanya jitihada ya kujaza matank ya akiba. Kuna...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Somo letu: Wajua kwanini namba 13 ni namba ya mkosi? Je, umezaliwa tarehe 13?

    Mara Nyingine number 13 watu huichukulia kama namba ya mkosi , Lakini tunajiuliza sana kwanini watu huchukulia namba 13 kama namba ya mkosi, yanayosemwa yana maana kubwa sana ndio maana leo hii katika 1.Hotel kubwa za kimataifa ukiangalia vyumba vyote kwa namba ukifika namba 12 wanairuka namba...
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Walimu Tarime wanajisaidia Guest House wakati serikali inanunua madege

  8. M

    JamiiForums Tanzania Guest house nzuri around Mlimani City

    Habari zenu. Nilikuwa naomba kujuzwa guest house nzuri ambazo zinatoa breakfast karibu na Mlimani City
  9. M

    JamiiForums Tanzania Guest house za bei nafuu Dar

    Heshima kwenu washikadau Embu kwa wenye uzoefu tutajiane Guest House za bei nafuu kwa hapa Dar hasa maeneo ya Sinza na Manzese na hata maeneo mengine Bei kuanzia 10k,15k au 20k Karibuni
  10. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Nimeyumba kiuchumi. Naombeni mnitajie Guest House za kulala kwa Tsh 4,000 au chini yake

    Kichwa cha uzi kiko wazi! Nimepata teteleko la kimaisha upande wa uchumi. Naombeni mnitajie Nyumba za kulala wageni kwa pesa kiasi cha shilingi elfu nne au chini ya hapo kwa hapa Dar! Asanteni! Mwenye kibarua naomba tuwasiliane pia.
  11. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania GUEST HOUSE INAUZWA BUGURUNI SOKONI

    Guest house inauzwa buguruni sokoni. Zipo 2, zote zinauzwa million 120. Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not. Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au 0754677838 Unaweza wasiliana na mwenye guest directly kwa simu namba 0767234545 KIGOMA GUEST HOUSE
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wilaya yenye guest house nyingi

    Mimi katika kusafiri kwangu na kuishi maeneo mbali mbali, kati ya wilaya ambazo zina guest house nyingi ni Dodoma Mjini na Babati Mjini. Unakuta katika nyumba kumi za katikati ya mji 7 ni Guest houses. Ongezea wilaya ambayo unadhani ina GH nyingi
Back
Top Bottom