Wenyeji wa Shinyanga naomba mniambie sehemu nzuri ya kulala (Guest house)

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
19,331
14,259
Habari za asubuhi wapendwa?

Next week nina safari ya kwenda Shinyanga mjini, Sasa kwa wenyeji wa mji huu naomba mniambie sehemu nzuri ya kulala (Guest house), ya bei ya kawaida lakini pawe na huduma za msosi na vinywaji, sehemu ambayo naweza kupunguza stress za maisha na safari.
 
Hbr za asubuhi wapendwa??,Next week nina safari ya kwenda Shinyanga mjini,Sasa kwa wenyeji wa mji huu naomba mniambie sehemu nzuri ya kulala (Guest house),ya bei ya kawaida lkn pawe na huduma za msosi na vinywaji, sehemu ambayo naweza kupunguza stress za maisha na safari.
Ingependeza kama ungesema kiwango cha bei nikupe machaka mazuri na ya karibu na mji au pembeni kidogo
 
Kama hupend mikelele mingi , UNAWEZA ZAMA APO LIGA HOTEL,ndani ya Ngokolo,pia SIMEJ nako sio haba kama utaamua uchili apo LUBAGA UKABE WATOTO WA MAJENGO MAPYA USHUANI,
Usichukue guest za katikati sana ya mji sio nzuri kivile kwa nature ya mazingira japo kwa huduma ziko safi kabisa
Hivi Karena hotel Ni sh. Ngapi Mkuu?
 
Kama hupend mikelele mingi , UNAWEZA ZAMA APO LIGA HOTEL,ndani ya Ngokolo,pia SIMEJ nako sio haba kama utaamua uchili apo LUBAGA UKABE WATOTO WA MAJENGO MAPYA USHUANI,
Usichukue guest za katikati sana ya mji sio nzuri kivile kwa nature ya mazingira japo kwa huduma ziko safi kabisa
Mfano kutoka LUBAGA hadi stendi ya basi kwa Bodaboda ni Shilingi ngapi?.
 
Stendi ziko mbili , yaani sehem mji uliko ni mbali sana na stendi ya MKOA ,NOW SHY TOWN KUNA STENDI TATU,IBINZAMATA hii kwa ajili ya magari ya nje ya mkoa ( masafa marefu).
Pia KUNA NGUZO NANE( stendi ya magari yanakwenda maeneo ya hapo hapo shy na viunga vyake) ,pia STENDI YA ZAMANI AMBAYO IKO katikati ya mji kwa ajili ya magari ya wilayani .
Nauli ukipigwa ni buku 2 kwa hio stend ua ibinzamata ila kwingine kama sio mvivu ata kutembea unatembea.
kumbuka shy kuna boda boda aka daladala za baiskeli nauli yake ni cheaper
 
Ok!!, Nashukuru Mkuu Kwa Ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom