graphics

  1. N

    KIBUYU KIMELIA TFF ANAHAHA KUTAFUTA HURUMA(nitatengenezea graphics)

    Lile jamaa libabe la mdomo na kutukana watu hovyohovyo limekula nyundo huko kinachosubiriwa ni kutangazwa rasmi licha ya njemba hilo kulialia kupitia kwa wanasiasa waliombee msamaha.... nitalipia graphics za hali ya juu kutambulisha habari hiyo ambapo nishaaongea na wataalamu kadhaa wa kazi...
  2. Ukiachana na Yanga kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC tunataka Ubingwa wa Graphics 🙌

    Hivi GRAPHICS wa YANGA SC hawezi fungua CHUO ili awape Darsa hawa wa vilabu Vidogo? Nimecheka hapa naona watu wanasema kaiba ile sehemu ya kutembea na funguo, niwatoe ushamba tu kwamba Kile kitu kinaruhusiwa kabisa katika fani ya graphics na ni sehemu ya sheria za "Fair use policies" katika...
  3. M

    Graphics designer mwenye uzoefu na masoko anahitaji haraka

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
  4. Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

    Salaam wakuu. Natumai wote mpo wazima. Naomba kazi ya Graphic Design kama • Kudesign logo • Kudesign business cards • Kudesign presentation Yaani kiujumla any design kwa kutumia • Adobe photoshop • Adobe Illustrator Uzoefu wangu ni miaka 2, Sijafundishwa chuo nimejifunza...
  5. Unahitaji Logo? Ingia hapa

    Watu, salamu kutoka Azma Africa. Uzi huu ni mahsusi kwa yeyote anaehitaji Logo na anaamini tunaweza kufanya nae kazi. Zifuatazo ni hatua ambazo kwa kawaida huwa tunazifuata mpaka kukamilisha zoezi la kutengeneza Logo ya mteja, karibu. Hatua ya kwanza: Utatupa maelezo ya namna...
  6. M

    Mfanyakazi wa graphics na video production anahitaji

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
  7. Natafuta muwekezaji kwenye Biashara ya Photography, Video Production na Graphics

    Habari wana jamii Ni matumaini yangu ni wazima wa Afya Kikiwa kimepita kipindi kirefu toka Nilete maombi kwenu. Niseme tu Asante Kwa waliokuja na kunipa mawazo na kunisahauri ila Nakuja tena mbele yenu kwa unyeyekevu Nikiomba ni mpate muwekezaji ili kuweza kulikamilisha wazo langu Baada ya...
  8. KWA WANAO FAHAMU SOFTWARE YA VIDEO EDIT & GRAPHICS KU INSTALL KWENYE UBUNTU

    Habari wanandugu wenzangu naomba kwa mtu anae fahamu software ya Video Editing na Graphics kwenye Ubuntu tuwasiliane nitamlipa.
  9. Ukihitaji Graphics Designer (Professional Graphics Designer) Nicheki kwa 0769820510/0787892657

    Kwa mtu yeyote mwenye Uhitaji wa Graphics Designer, including Motion Graphics Designer tuwasiliane kwa namba 0769820510, Gharama zetu ni nafuu sana!
  10. S

    Ushauri wa Laptop nzuri kwa ajili ya graphics design

    Habari wana JF, Naombeni ushauri nataka kununua laptop kwa ajili ya graphic designing. Je, ninunue laptop ipi? Naomba ushauri wa brand na aina. Mkifanya description kubwa mtanichanganya. Mfano ukisema lenovo thinkpad T350, inakuwa rahisi kwa mimi kwenda madukani na kuitafuta. Bajeti yangu...
  11. Natafuta kazi ya kuwa Graphics Designer

    Rejea Post yangu ya Natafuta kazi ya Graphics Designer.. Naitwa NICKSON AIVAN, Nilipokuja kwa mara ya kwanza kutangaza nataka kazi ya kuwa graphics designer wanaJamii Forums mlinitia moyo na wengne kunitafuta kunipa tenda nashukuru sana Kama unatafuta mtu wa graphics ofisin kwako au unakazi...
  12. Graphics introduction

    Habari zenu wakuu? Jina langu haimaanishi najua kila kitu ila ni ndoto yangu kuwa a great grapher but nataka kuulza hivi kuanzisha photo studio ikiwemo kupata camera nzuri ya kuanzia kazi inagharimu shingapi? Naomba msaada wenu wakuu.
  13. Natafuta kazi ya Graphics Designer..

    Naitwa NICKSON AIVAN, Natafuta kazi ya Graphics Designer (Adobe Photoshop, Adobe Illustrator na kiasi kwenye After Effect na Premier Pro) nina uzoefu wa miaka mitano kwenye fani hii pia ni mshindi wa Best graphics designer kwa wanafunzi wa Dar es salaam (UniAward 2019/2020) sifa nyingne ni kama...
  14. Natengeneza logo, flyer na Poster

    Habari wana JF Natoa huduma za utengenezaji wa graphics kama ifuatavyo Natengeneza LOGO kwa matumizi ya ofisi,biashara au matumizi binafsi.Bei ya kutengenezea logo ni Tsh 30,000 na ukinitafuta tutazungumza kuweka mambo sawa Natengeneza FLYER kwa ajili ya kutangaza biashara yako kwa Tsh...
  15. Karibu kwa mahitaji yote ya GRAPHICS kama matangazo, covers, busness card, photo editing, n.k

    Katika kipindi hiki cha janga la virusi vya CORONA (covid-19) tunafahamu sote mambo mengi yanaenda kidigitali(mtandaoni) zaidi hivyo utahitaji post zako ziwe za kuvutia kwa wafuasi na wateja wako. Hivyo tunakukaribisha kwa mahitaji ya vyote taja hapo juu ikiwemo kwa wasanii chipukizi hata...
  16. Wataalamu wa graphcs design, tunadesign logo, posters stickers na vipeperushi kwa bei sawa na bure

    habari zenu wakuu, kwa wale wote wanaotaka LOGO kwa ajili ya makampuni, NGO's na mashirika mbal mbali, ukitaka LOGO ya 3D au 2D zote tunadesign kwa 50,000 tu unapata brand logo yako nzuri na yakuvutia... pia ukiitaji POSTERS zenye kuvutia wasomaji tunadesign kwa 20,000 tu...na pia ukiitaji...
  17. Software development and graphics design services

    Karibu, Tunatoa huduma zifuatazo kwa bei nafuu: 1. Graphics design a. Logo Design b. Brochure Design c. Banner Design d. Flyer Design e. Products Brand Design f. Software Layout Design 2. Software Development a. Website Design and Development b. Blog Design...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…