Karibu kwa mahitaji yote ya GRAPHICS kama matangazo, covers, busness card, photo editing, n.k

E medics

Member
Sep 18, 2019
79
88
Katika kipindi hiki cha janga la virusi vya CORONA (covid-19) tunafahamu sote mambo mengi yanaenda kidigitali(mtandaoni) zaidi hivyo utahitaji post zako ziwe za kuvutia kwa wafuasi na wateja wako.

Hivyo tunakukaribisha kwa mahitaji ya vyote taja hapo juu ikiwemo kwa wasanii chipukizi hata wakubwa tunahuduma pia za visualized video mpaka 1080p pia lyrics za nyimbo tunafanya kwa bei nafuu videos zita range kwenye bei ya Tshs 15,000-30,000 kutegemeana na quality na urefu wa clip hii ni bei ya chini kabisa (note:video ni visualization na lyrics tu!)

Kwa upande wa picha .
•matangazo
•logo
•business cards
•covers (za nyimbo,parties kama bday, na page za mitandao)
•photo editing na kadhalika
Bei zina range kuanzia 10,000-25,000
Wahi sasa kwa mahitaji yote ya huduma tajwa hapo juu kumbuka bei zetu ni rahisi sana.
Sampo za kazi zetu zipo hapo chini pia zipo nyingi ukihitaji kuziona tutakutumia kupitia WhatsApp NŌ 0654223036 Pia kwa mawasilino zaidi tutafute kupitia namba hiyo hiyo
Karibu sana kazi zetu ni nzuri naamini utazipenda

Samples hizi hapa👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
20200413_170417.png
20200413_172027.png
 
Back
Top Bottom